Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,806
5-0 ni 5GHata 5G hujui maana yake wewe empty kabisa
Tunaposema 5G tuna maana 5-0
Ngoja nikupe shule
1-0 = 1G
2-0 = 2G
3-0 = 3G
4-0 = 4G
5-0 = 5G
Sasa ile 5-3 kweli ni 5G, ndio maana ni hatari sana kuwaruhusu Ma-penguin nafasi ya kuingia kwenye mijadala ya Maths
5-3 ni 5g
Hope umeelewa tofauti