Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie mandundule vp mmekubali kwamba team yenu ni yanga iliyochangamka
 
Playing Kepa was a mistake
Kepa Arrizabalaga was not ready for this game. In the FA Cup Semifinal against Manchester United, Lampard opted to play Willy Caballero and it paid off. The Argentine was assertive, bold and quick with his feet. With a good and decisive performance on his back, Caballero was full of confidence to play against Liverpool. More than that, on a day like this, Chelsea needed someone bold to go for every ball, make every jump and organize the defense.
Playing Jorginho was a mistake also
For the past few games, Chelsea has had one weak link in the midfield: Jorginho. In the game against Manchester United, Jorginho’s performance was decent. But in reality, he should have dominated considering United’s awful performance. Still, Jorginho was the weak link in the midfield with his inability to make tackles, track back or pass the ball forwards rather than backwards.
 
Naon kama huu ndio msim wa mwisho kw kepa amefail kuprove, sawa defenc yetu inashida ila kipa na yeye anashida zaidi kuna magoal tunafungwa kipa hata hajitutumui kufanya save

Magoal anayofungwa kepa ni yale yale ya kila siku anavyofungwa yani mtu akiwa mbali tu akishoot anajua kabisa anafunga

Kwa hali ile hata tukiwa na beki nzuri kama kipa na yeye anaendelea kufanya mistake stil tutakuwa itakuwa bado hatujawa tayari kushindania ubingwa
Kazi ya kipa mzuri ni kufunika ubovu wa defence au kupunguza madhara ya poor defending. Kepa kashindwa hiyo, hafai hata kuwa Sub, bora Caballero awe sub
 
Habari ya mjini ndio hii
Leroy Sane ajisahau na kuropoka kwenye press conference akisema kuwa
"Chelsea wamefanya usajili wa maana kuwasajili wajerumani wawili wenye vipaji vya juu Kai Havertz na Timo Werner msimu huu wa kiangazi"
Ansema hivi kimombo
Sane declared: "It‘s good for Chelsea, that they signed two German top talents with Werner and Havertz this summer."
 
Adjustments.jpg
 
Viwango vya wachezaji wa Chelsea vs Liverpool tarehe 22 Julai 2020 saa 4.15 usiku saa za Afrika ya Mashariki pale uwanja wa Anfield, Liverpool
  1. Christian Pulisic (Left winger): 9 - Kacheza vizuri sana japo kwa dakika 40 tu. Captain America sasa ni dhahiri ni zaidi ya replacement ya Hazard kwa dribling aliyofanya na kuwatoka Takriban mabeki world class wa Liverpool wanne sio mchezo na kutoa assist kwa Tamy, Assist ambayo angeikosa angehukumiwa hukumu labda kubwa kuliko zote alizowahi kuhukumiwa Tammy
  2. Mateo Kovacic (Central midfielder): 8 Kajitahidi kucheza vizuri - superb midfielder
  3. Callum Hudson-Odoi (Right winger): 8 Kaleta uhamsho kwa dakika 40 alizocheza, laiti yeye na Pulisic wangekuwepo tangu mwanzo matokeo yangekuwa mengine
  4. Tammy Abraham (Striker): 7.5 - Kufunga goli kumempa point zaidi
  5. Kurt Zouma (Centerback): 7 - Kajitahidi ila wenzake huko nyuma walimuangusha- Ndie CB pekee aliyeonyesha consistence kwenye klabu ya Chelsea tofauti na Rudiger, na Christensen
  6. Olivier Giroud (Striker): 6.5 - Kacheza vizuri na goli la kwanza la Chelsea ni ukweli mtupu kuwa kafanya timing ya haraka kabla mpira ule haujaokolewa akausindikiza wavuni. Pamoaj na hayo Giroud alithibitiwa kisawasawa na VVD
  7. Mason Mount (Left winger): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi japo alicheza kawaida, tatizo la Mount tangu ligi ianze ni kwenye eneo la ukakamavu
  8. Cesar Azpilicueta (Right centerback): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi hasa kwenye kudefend
  9. Reece James (Right wing-back): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi, bado bwana mdogo hakai kwenye consistent form, bado mechi ya Unietd alicheza vizuri hii alipwaya kidogo kwenye ukabaji
  10. Antonio Rudiger (Left centerback): 5 Kacheza vibaya - Rudiger hayuko kwenye form yake ya mwanzoni mwa ligi japo hii ni kawaida kwa baadhi ya wachezaji kupanda na kushuka kiwango
  11. Marcos Alonso (Left wing-back): 5 - Poor defending, alishindwa kabisa kumfanyia marking na kumkaba Chamerlain kwenye goli la tano la Liverpool
  12. Willian (Right winger): 5 - Kacheza chini ya kiwangi juzi - tuseme ukweli kwenye ile mechi Willian alicheza chini ya kiwango. Alitoa mpira kizembe kwa Nabi Keita na kusababisha goli la kwanza lifungwe
  13. Kepa Arrizabalaga (Goalkeeper): 4 - Worst form ever - Muda wake darajani hauna ubishi umefikia kikomo
  14. Jorginho (Central midfielder): 3 - Worst form - JO alishindwa kufanya clearance kama ambavyo alitakiwa kufanya. Kawekwa mfukoni na Nabi Keita na kubakia akirukaruka uwanjani tu. Laiti Kante angekuweko kwenye hiyo nafasi, leo hii wana Chelsea ingekuwa ni furaha tu. Chanzo cha mabeki kufanya vibaya ni uwezo mdogo aliouonyesha Jo katika kukaba. Pia kule mble hakupeleka mipira yeyote ya maana
 
Naon kama huu ndio msim wa mwisho kw kepa amefail kuprove, sawa defenc yetu inashida ila kipa na yeye anashida zaidi kuna magoal tunafungwa kipa hata hajitutumui kufanya save

Magoal anayofungwa kepa ni yale yale ya kila siku anavyofungwa yani mtu akiwa mbali tu akishoot anajua kabisa anafunga

Kwa hali ile hata tukiwa na beki nzuri kama kipa na yeye anaendelea kufanya mistake stil tutakuwa itakuwa bado hatujawa tayari kushindania ubingwa
Afadhali juzi na Manure hakupangwa tungebugizwa tu
 
Viwango vya wachezaji wa Chelsea vs Liverpool tarehe 22 Julai 2020 saa 4.15 usiku saa za Afrika ya Mashariki pale uwanja wa Anfield, Liverpool
  1. Christian Pulisic (Left winger): 9 - Kacheza vizuri sana japo kwa dakika 40 tu. Captain America sasa ni dhahiri ni zaidi ya replacement ya Hazard kwa dribling aliyofanya na kuwatoka Takriban mabeki world class wa Liverpool wanne sio mchezo na kutoa assist kwa Tamy, Assist ambayo angeikosa angehukumiwa hukuma labda kubwa kuliko zote alizowahi kuhukumiwa Tammy
  2. Mateo Kovacic (Central midfielder): 8 Kajitahidi kucheza vizuri - superb midfielder
  3. Callum Hudson-Odoi (Right winger): 8 Kaleta uhamsho kwa dakika 40 alizocheza, laiti yeye na Pulisic wangekuwepo tangu mwanzo matokeo yangekuwa mengine
  4. Tammy Abraham (Striker): 7.5 - Kufunga goli kumempa point zaidi
  5. Kurt Zouma (Centerback): 7 - Kajitahidi ila wenzake huko nyuma walimuangusha- Ndie CB pekee aliyeonyesha consistence kwenye klabu ya Chelsea tofauti na Rudiger, na Christensen
  6. Olivier Giroud (Striker): 6.5 - Kacheza vizuri na goli la kwanza la Chelsea ni ukweli mtupu kuwa kafanya timing ya haraka kabla mpira ule haujaokolewa akausindikiza wavuni. Pamoaj na hayo Giroud alithibitiwa kisawasawa na VVD
  7. Mason Mount (Left winger): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi japo alicheza kawaida, tatizo la Mount tangu ligi ianze ni kwenye eneo la ukakamavu
  8. Cesar Azpilicueta (Right centerback): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi hasa kwenye kudefend
  9. Reece James (Right wing-back): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi, bado bwana mdogo hakai kwenye consistent form, bado mechi ya Unietd alicheza vizuri hii alipwaya kidogo kwenye ukabaji
  10. Antonio Rudiger (Left centerback): 5 Kacheza vibaya - Rudiger hayuko kwenye form yake ya mwanzoni mwa ligi japo hii ni kawaida kwa baadhi ya wachezaji kupanda na kushuka kiwango
  11. Marcos Alonso (Left wing-back): 5 - Poor defending, alishindwa kabisa kumfanyia marking na kumkaba Chamerlain kwenye goli la tano la Liverpool
  12. Willian (Right winger): 5 - Kacheza chini ya kiwangi juzi - tuseme ukweli kwenye ile mechi Willian alicheza chini ya kiwango. Alitoa mpira kizembe kwa Nabi Keita na kusababisha goli la kwanza lifungwe
  13. Kepa Arrizabalaga (Goalkeeper): 4 - Worst form ever - Muda wake darajani hauna ubishi umefikia kikomo
  14. Jorginho (Central midfielder): 3 - Worst form - JO alishindwa kufanya clearance kama ambavyo alitakiwa kufanya. Kawekwa mfukoni na Nabi Keita na kubakia akirukaruka uwanjani tu. Laiti Kante angekuweko kwenye hiyo nafasi, leo hii wana Chelsea ingekuwa ni furaha tu. Chanzo cha mabeki kufanya vibaya ni uwezo mdogo aliouonyesha Jo katika kukaba. Pia kule mble hakupeleka mipira yeyote ya maana

Pulisic ni zaidi ya Hazard sio? Kwahiyo Hazard hajawahi piga chenga wachezaji wanne?
 
Wanastahili kutukanwa, mijitu imebaki kusheherekea ushindi wa wengine tu
Fainali za Europa mwaka jana yalikuwa hivi hivi, tumeyazaba vibao vinne leo hii etti wameshasahau
Sasa kama wewe umetinduliwa 5/tano/mkono/5g juzi tu na umesahau/unajisahaulisha leo sembuse mimi niliyefungwa mwaka jana
 
Habari ya mjini ndio hii
Leroy Sane ajisahau na kuropoka kwenye press conference akisema kuwa
"Chelsea wamefanya usajili wa maana kuwasajili wajerumani wawili wenye vipaji vya juu Kai Havertz na Timo Werner msimu huu wa kiangazi"
Ansema hivi kimombo
Sane declared: "It‘s good for Chelsea, that they signed two German top talents with Werner and Havertz this summer."
Kwani baba rahman hakuwa talent????
 
Viwango vya wachezaji wa Chelsea vs Liverpool tarehe 22 Julai 2020 saa 4.15 usiku saa za Afrika ya Mashariki pale uwanja wa Anfield, Liverpool
  1. Christian Pulisic (Left winger): 9 - Kacheza vizuri sana japo kwa dakika 40 tu. Captain America sasa ni dhahiri ni zaidi ya replacement ya Hazard kwa dribling aliyofanya na kuwatoka Takriban mabeki world class wa Liverpool wanne sio mchezo na kutoa assist kwa Tamy, Assist ambayo angeikosa angehukumiwa hukuma labda kubwa kuliko zote alizowahi kuhukumiwa Tammy
  2. Mateo Kovacic (Central midfielder): 8 Kajitahidi kucheza vizuri - superb midfielder
  3. Callum Hudson-Odoi (Right winger): 8 Kaleta uhamsho kwa dakika 40 alizocheza, laiti yeye na Pulisic wangekuwepo tangu mwanzo matokeo yangekuwa mengine
  4. Tammy Abraham (Striker): 7.5 - Kufunga goli kumempa point zaidi
  5. Kurt Zouma (Centerback): 7 - Kajitahidi ila wenzake huko nyuma walimuangusha- Ndie CB pekee aliyeonyesha consistence kwenye klabu ya Chelsea tofauti na Rudiger, na Christensen
  6. Olivier Giroud (Striker): 6.5 - Kacheza vizuri na goli la kwanza la Chelsea ni ukweli mtupu kuwa kafanya timing ya haraka kabla mpira ule haujaokolewa akausindikiza wavuni. Pamoaj na hayo Giroud alithibitiwa kisawasawa na VVD
  7. Mason Mount (Left winger): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi japo alicheza kawaida, tatizo la Mount tangu ligi ianze ni kwenye eneo la ukakamavu
  8. Cesar Azpilicueta (Right centerback): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi hasa kwenye kudefend
  9. Reece James (Right wing-back): 6 - Hakuwa kwenye form yake juzi, bado bwana mdogo hakai kwenye consistent form, bado mechi ya Unietd alicheza vizuri hii alipwaya kidogo kwenye ukabaji
  10. Antonio Rudiger (Left centerback): 5 Kacheza vibaya - Rudiger hayuko kwenye form yake ya mwanzoni mwa ligi japo hii ni kawaida kwa baadhi ya wachezaji kupanda na kushuka kiwango
  11. Marcos Alonso (Left wing-back): 5 - Poor defending, alishindwa kabisa kumfanyia marking na kumkaba Chamerlain kwenye goli la tano la Liverpool
  12. Willian (Right winger): 5 - Kacheza chini ya kiwangi juzi - tuseme ukweli kwenye ile mechi Willian alicheza chini ya kiwango. Alitoa mpira kizembe kwa Nabi Keita na kusababisha goli la kwanza lifungwe
  13. Kepa Arrizabalaga (Goalkeeper): 4 - Worst form ever - Muda wake darajani hauna ubishi umefikia kikomo
  14. Jorginho (Central midfielder): 3 - Worst form - JO alishindwa kufanya clearance kama ambavyo alitakiwa kufanya. Kawekwa mfukoni na Nabi Keita na kubakia akirukaruka uwanjani tu. Laiti Kante angekuweko kwenye hiyo nafasi, leo hii wana Chelsea ingekuwa ni furaha tu. Chanzo cha mabeki kufanya vibaya ni uwezo mdogo aliouonyesha Jo katika kukaba. Pia kule mble hakupeleka mipira yeyote ya maana
Alafu UBAWO ulisomekaje baada ya game mkuu?

5g

Acha kumfananisha Hazard kishundu na upuuzi.

Ova
 
Wanastahili kutukanwa, mijitu imebaki kusheherekea ushindi wa wengine tu
Fainali za Europa mwaka jana yalikuwa hivi hivi, tumeyazaba vibao vinne leo hii etti wameshasahau
Binadamu tumeumbwa kusahau tutawakumbusha siku ya August 1. Wanafanya ivyo kwa sababu msimu huu wameshindwa kutufunga kabisa kwa iyo ni kama releaf kwao.

Hopeless anapokosa cha kufanya ndio matokeo yake hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom