Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

naona kuna watu hawana nguvu za kiume inakojoa haraka haraka tu

Mara tu tatu
 
Utadhani siye aliyempigia Man City anavyomsulubu. Hua nikisema Kepa na De Gea ni wabovu shots za mbali Ollachuga Oc uwe unaelewa
 
Hii mechi sina haja ya kuimalizia nawasubiri kesho wenye timu yao wakiwa wanamponda lampard
 
Goli mngerudisha muda umeenda, kurudisha muda huu ni kukaribisha mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom