Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kepa auzwe mapema
Ikilengwa tu imo
Screenshot_20200722-225736.jpg
 
Lampard hamna Kocha nyie acheni utani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitegemea nn endapo unacheza katika uwanja wako huku unasubiri ukabiziwe kombe.!?? Ni ase8 pekee anae weza kufugwa mbele ya hayo. We tuliza mshono hapo tarehe 1 uje ubakwe
Sasa mbona hujasema mapema kama leo mnaramba loloz kama zote,

Takataka kama takataka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitegemea nn endapo unacheza katika uwanja wako huku unasubiri ukabiziwe kombe.!?? Ni ase8 pekee anae weza kufugwa mbele ya hayo. We tuliza mshono hapo tarehe 1 uje ubakwe
Ramba lolo kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie nyau si mtoe timu uwanjani, mnazingua bwana[emoji57][emoji57]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom