Umekunywa gongo wewe nini?Hawezi kujuta mkuu, hapo North london wanaenjoy life,that's why kina Luiz wanakuja kukamilisha ndoto zao,
Auba n Lacca have enjoyed every single day since they joined us.
#coyg[emoji837][emoji837][emoji837]
kwa upande wangu huyu dogo bado pesa ndefu sana sio mchezJi mbaya no mzuri but nahic atapata shda eplNasikia kilichobaki kwa Kai Havertz ni wino tu unasubiriwa kwa gharama ya paundi Mil 70
Makubaliano binafsi na Kai Havertz
- Atapangwa kwenye first team
- Ataungana na akian Werner na Rudiger
- Atafundishwa na kocha guru Katika eneo la kiungo mshambuliaji Katika historia ya EPL
- Kucheza kwenye ligi bora na timu bora kutoka jiji la London
kama umemuangalia cio mzur kweny dribbling but anakimbia sana tofaut na Willian ana dribble pia anwez kukumbia akachukua attention ya opponents defense kitu ambacho sikion kwa uyu dogo but akisajiliwa itakua pow piaKupata shida kwa maana ipi? Uchezaji wake? Umbo lake?
Hakika ww ni mkorof sana mkuuUnayo mangapi mpaka sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa hivyo si mngekuwa timu kubwa sasa[emoji3]
Na ndio mngekuwa king of london, ila kwakuwa hamna mataji ya kutosha nyinyi mnabaki kuwa kama Brighton tu[emoji23]
Punguza hapo 1 itabaki 4Makombe matano[emoji23][emoji23][emoji23]?? Sio gape kubwa, ulikaa 50 yrs unasaka kombe moja tu ushasahau? Sasa hayo 5 si itakuwa karne mbili na nusu
Hii comment huwa wanairuka teh tehKusanya mataji weka hapo tupige hesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
King kama king
Ndo wewe inabidi hujishangae timu yenu tangia ilopoanzishwa kwny miaka ya 1880s na hauna hata kombe 1 la uefa hata chelsea ya mwaka 1905 imekushinda halafu na bado unapiga kelele zakoKwanini ubague mataji!!! [emoji23][emoji23]Ushashindwa wewe kama ndio hivyo basi Nottngham Forest kubwa kuliko chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
London is Red
Lampard akishapenda chongo anaona kengezakwa upande wangu huyu dogo bado pesa ndefu sana sio mchezJi mbaya no mzuri but nahic atapata shda epl
Huyo auba mwenyewe anataka kusepa ndio ujue level yako Ni ipi?Nani akatae Arsenal ikiwa kwenye ubora wake,sisi tunaleta Watu km Auba,Pepe na hatupo UEFA,ht tusipocheza Europa tunaweza kuattract good players,wewe jaribu usiende Uefa uone nani atakuja kwenye utopolo huo [emoji3][emoji3][emoji3]
"When Arsenal knock it's a different knock"~Raul
#Coyg[emoji837]
Mzee unachofeli unamfananisha winger na kiungo mshambuliaji ( no.10) nafikiri ingefaa umfananishe kai na ozil au de bryne au Bruno though pia huyo dogo ni kiraka hata winger anachezakama umemuangalia cio mzur kweny dribbling but anakimbia sana tofaut na Willian ana dribble pia anwez kukumbia akachukua attention ya opponents defense kitu ambacho sikion kwa uyu dogo but akisajiliwa itakua pow pia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupata kichekesho kama hiki piga *105#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti David Luiz ndoto yake Ni Arsenal?we utakuwa una tatizo la akili Luiz angekuwa na ndoto za kucheza kwenu asingekuja kwenu akiwa ana umri wa miaka 32Hawezi kujuta mkuu, hapo North london wanaenjoy life,that's why kina Luiz wanakuja kukamilisha ndoto zao,
Auba n Lacca have enjoyed every single day since they joined us.
#coyg[emoji837][emoji837][emoji837]
Kwani si ndio maana tumemtandika juzi kwa kudhihirisha hiloWee una roho ya paka, kama ingekuwa hivyo si mngechukua ubingwa badala ya Liverpool
Bora kwa lipi? [emoji23]Huoni aibu?Timu bora London ni Chelsea iliyo nafasi ya 3, nyie 10 mnatia aibu