Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwenda sawa na kasi yao tutafungwa, hatuna uwezo huo wa kwenda jino kwa jino (Mount, Jognho, Barkely) hawa watamezwa.

Tusimpe advantage ya kucheza kama anavyotaka, Bora tubane tufunge njia zote/ gap zote. Game plan iwe counter attach (Pulisic & willan) au twende kwenye penalty.
Naam km game ya city tu
 
Mkuu hapo kati lazima viungo waongezeke hatuwezi kuwa na mabeki wengi ivyo hasa tunacheza na timu ambayo nayo inataka kuhold mpira. Amini nakuambia lazima kwenye kiungo atakuwepo Mount. Then na RLC Wanaweza kuingia badae.

Pulisic-Giroud-Willian

Mount-Jorginho-Kovacic

Alonso-Rudiger-Zouma-Azpilicueta

Hapo 4-3-3 lazima itumike walau tunaweza kwenda sawa na kasi yao. Since Kanté hatakuwepo itabidi Kova amuachie Mount awe anapanda zaidi then yeye Kova astick zaidi katika ukabaji huku ushambuliaji ufanywe zaidi na mawinga.
Mfumo sahihi wa kumfunga man u Ni 3-4-3 basi sio tofauti na hapo huo mfumo unaosema wewe ndio aliofungwa na ole Mara tatu
 
Watatumaliza kwenye hii formation
Alonso is a wing-back more than an LB
Kama ni 4-3-3 lazima Azpi acheze LB
Mimi ninachoona kocha ataanza na 3-4-3 na baadaye kuwaingiza Akina Mount, Barkley na James kuswitch kwenye 4-3-3 kwa kumuondoa Alonso na wengineo watakaokuwa wamechoka au kubakia na formation hiyo hiyo kama mambo yameenda vizuri
Mkuu 3-4-3 tuna viungo gani wenye ubavu kukabiliana na kina Matic, Pogba na Bruno? Kanté angekuwepo sawa ningekubali lakini hayupo na sote tunafahamu mistakes za Jorginho. Kesho tunahitaji wings wanaoweza kupandisha timu then viungo wasaidie ukabaji sana.
 
Kwenda sawa na kasi yao tutafungwa, hatuna uwezo huo wa kwenda jino kwa jino (Mount, Jognho, Barkely) hawa watamezwa.

Tusimpe advantage ya kucheza kama anavyotaka, Bora tubane tufunge njia zote/ gap zote. Game plan iwe counter attach (Pulisic & willan) au twende kwenye penalty.
Ndio maana nikasema ushambuliaji ufanywe zaidi na mawinga viungo hatuna wa kuwrza kuwadhibiti Matic, Pogba na Bruno. Viungo wetu wasaidiane na mabeki kwenye ukabaji huku Azpi na Alonso wasaidie kwenye mashambulizi
 
Nimejaribu kufuatilia katika hizi game 3 tulizofungwa haijalishi ni mfumo gani utacheza ila ni perfomance ya mchezaji mmoja pia kuja kuunganisha timu nzima. Kwasababu katika mechi zote tulizocheza nao ni sisi ndio tunaongoza kwa possesion lakini tunafungwa maana yake ni kwamba wao wanajituma zaidi hasa wanapopata nafasi lakini pia ubutu wetu katika safu ya ushambuliaji.

Game ya kesho hatuhitaji kubaki nyuma tuseme tucheze kwa kushambulia kama tulivyocheza na Man City (hii ni case nyingine kwa sababu ya weakness yao siku ile). Twende mbele tukashambulie na kwa sababu ya ubora wa Pulisic na Giroud imani yangu kwa mchezo wa kushambulia zaidi tunapata magoli yakatupa ushindi ila swala la kutoruhusu goli I cant guarantee. Muhimu ni kupata goli la mapema halafu unabaki kuulinda.

4-3-3 ndio mfumo mzuri wa kushambulia then baadae ndio tunaweza switch kuja kwenye 3-4-3 kuulinda ushindi.
 
Naam km game ya city tu
Mkuu kama uliangalia game na Man City. Sisi tulimfunga kwa sababu kuu mbili. Ya kwanza ni kwasababu ya weakness yake kwenye beki kama ulivyoona hasa lile goli la Pulisic japo hata uwezo binafsi wa mfungaji ulichangia ila asilimia kubwa ni uzembe wa beki sasa situation kama ile usitegemee kuiona game ya kesho. Pia issue ya pili ilipelekea ushindi wetu ni kwa sababu hawakuanza na striker. Either Aguero or Jesus kama angeanza mmoja wao mpaka kipindi cha kwanza kinaisha yawezekana tungekua tushakula hata goli 3 ni kwa sababu ya ubovu wa beki yetu kwa hiyo mistakes nyingi zinafunikwa na viungo(Kanté).

Sasa situation kama hiyo usiilete kwanye game ya Man U wenyewe wana striker wakali na wako moto pamoja viungo huwezi fananosha na Man City.

We jiulize kwa nini Man U kamfunga Man City nje ndani msimu huu? Mimi huwa siamini bahati kwenye mpira hawa jamaa wanajituma kesho tunahitaji kucheza mpira na sio tubaki nyuma kuwasubiri wapoteze ndio tufanye counter attack. Tutakula nyingi munooooo
 
Ilo wazo lako ni zuri silipingi, hao city walifungwa nje ndani na utd na tena walikuwa wanashambulia kama unavyotaka we we, option nzuri ni kuemploy hyo formation ya 3-4-3 huku tukitumia pulisic n willian coz wanakasi....kama wakitupress kwa mbele na kuziba mianya ya pass tutumie long balls kwa hao winger maana wana kasi ukisema tushambulie afu kiungo Wa mwsho jorginho aisee ni kiama
 
Ninachosema mimi ni kwamba mbinu ya kuimaliza game mapema ni kushambulia mwanzo 4-3-3 then badae kama itafanikiwa ndio tunaswitch kuja 3-4-3. Kwanini nasema tuanze kushambulia kwa sababu kama tusimfunga Man U mapema tunaweza pata shida kupata ushindi mwishoni hawa ndio huwa wanacharuka.

Yote kwa yote kama wachezaji hawatajituma hakuna kitu tutafanya itakua ni dhahama nyingine msimu huu.
 
Screenshot_20200718-110113_1595060723219.jpg
 
Nadhani huyo Lampard ambaye amekuwa quoted hapo ni wa Namtumbo

Lampard wa Chelsea ya London pale UK, amesema

Ukweli ni kwamba tuna mechi ngumu dhidi ya United katika nusu fainali na hata fainali hutegemei kukutana na mpinzani rahisi

United kwa sasa wana best front three in the country, in terms of form and goals, ukimuongeza na Fernandez ambaye tangu asajiliwe ameipa zaidi nguvu United

Hiyo sio direct quotes (word to word) aliyoisema, ila ni elaborated quotes

Kama unadhani makocha wa Ulaya wanaropoka kama wale ma Lampard wa Namtumbo umepotea
 
Kwanza umekosa like yangu sababu ya neno nyumbu, japo umeongea point

Pamoja na Chelsix kuonekana ni underdog kwenye mechi ya kesho lakini kuna mambo mengi sana bado hayapo dhahiri

Mfano Man Utd ambayo inazipa nafasi kubwa sana mbio za top 4, tarehe 13 wamecheza game ngumu na Sotton, ikafuata game nyingine ngumu ya Palace tarehe 16, halafu baada ya siku 3 baadae inakutana tena na Chelsea huku ikiwaza game yake muhimu sana ya Westham tarehe 22. Nimeongea hayo kukupa picha kwamba mechi zinafulizana sana, wachezaji wanachoka huku kila siku wakikutana na mechi ngumu.

Kwa upande wa Chelsea japo mechi hazijafululizana sana kama za Man Utd kabla ya mechi yao, lakini baada ya mechi ya United Chelsea ana kibarua kizito sana cha kwenye mbio za top 4. Baada ya kucheza na United, Chelsea atakutana na Liverpool moja kati ya mechi muhimu sana msimu huu kwake. Kwahiyo top 4 race ita determine vikosi vya kesho.

Nakukumbusha tu, Chelsea akipigwa na Liverpool, halafu United akishinda dhidi ya Westham na Leicester ashinde dhidi ya Spurs, mechi ya mwisho United na Leicester wanaweza kucheza kutafuta draw ili waingie top 4. Ili hiyo draw isiwasaidie Utd na Leicester, Chelsea anapaswa kuifunga Wolves goli 15 - 0

Kutokana na hali hiyo niliyoielezea hapo juu, sitashangaa kuona Utd na Chelsea wakichezesha wachezaji wa kikosi cha pili ili kujiimarisha zaidi kwenye top 4 race.

Endapo kocha mmoja hatajali mambo ya top 4 race na mwingine akijali, yule anayejali zaidi anaweza kupoteza mechi ya kesho.
LAMPARD alichosema ni kweli kabisa. Manyumbu kwa sasa mko form baraa, hii chelsea tunaingia kama underdog kwa sababu ya madhaifu makubwa timu tuliyonayo kwa sasa (beki ovyo, ushambuliaji butu, viungo nyanya).

Sisi kuwafunga nyie inategemea na madudu mtakayofanya uwanjani, tutatumia makosa yenu kama fursa kwetu kuwaadhibu. Fursa moja wapo pia ni De gea
 
Achane uzembe, nyie ndio mna nafasi nzuri ya kushinda.

Mmepata muda mzuri wa kupumzika(5days)
Sisi timu yetu wachezaji wanaonekana kuchoka. Wanapumzika (2days). Plus safari ya London mara mbili.

Current form mara nyingi hai-determine matokeo ya big matches.
 
Nadhani huyo Lampard ambaye amekuwa quoted hapo ni wa Namtumbo

Lampard wa Chelsea ya London pale UK, amesema

Ukweli ni kwamba tuna mechi ngumu dhidi ya United katika nusu fainali na hata fainali hutegemei kukutana na mpinzani rahisi

United kwa sasa wana best front three in the country, in terms of form and goals, ukimuongeza na Fernandez ambaye tangu asajiliwe ameipa zaidi nguvu United

Hiyo sio direct quotes (word to word) aliyoisema, ila ni elaborated quotes

Kama unadhani makocha wa Ulaya wanaropoka kama wale ma Lampard wa Namtumbo umepotea
Hata yako siyo quote ya word to word. Ulichofanya wewe ni kujaribu kupulizia perfume kinyesi. Yan nilichobandika hapo na ulichoongea ni kilekile ila tu wewe unaremba maneno tu.

Nyumbu
 
Mkuu kama uliangalia game na Man City. Sisi tulimfunga kwa sababu kuu mbili. Ya kwanza ni kwasababu ya weakness yake kwenye beki kama ulivyoona hasa lile goli la Pulisic japo hata uwezo binafsi wa mfungaji ulichangia ila asilimia kubwa ni uzembe wa beki sasa situation kama ile usitegemee kuiona game ya kesho. Pia issue ya pili ilipelekea ushindi wetu ni kwa sababu hawakuanza na striker. Either Aguero or Jesus kama angeanza mmoja wao mpaka kipindi cha kwanza kinaisha yawezekana tungekua tushakula hata goli 3 ni kwa sababu ya ubovu wa beki yetu kwa hiyo mistakes nyingi zinafunikwa na viungo(Kanté).

Sasa situation kama hiyo usiilete kwanye game ya Man U wenyewe wana striker wakali na wako moto pamoja viungo huwezi fananosha na Man City.

We jiulize kwa nini Man U kamfunga Man City nje ndani msimu huu? Mimi huwa siamini bahati kwenye mpira hawa jamaa wanajituma kesho tunahitaji kucheza mpira na sio tubaki nyuma kuwasubiri wapoteze ndio tufanye counter attack. Tutakula nyingi munooooo
Unajua unachokiongea..

Na mimi ninachokihofia kwa Chelsea ni Counter..pace ya Willian na Pulisic itaweza kutusumbua
 
Kikosi chenu sio kikubwa kiivyo, na majeruhi ya Kante na Gilmour ndio hayajawasaidia kabisa

Mechi ya kesho inaweza isiwe ile mashabiki tunayoitazamia
Sasa Chelsea ina kikosi cha pili aisee? Nakuunga mkono Lampard labda anaweza kutoa sadaka mechi ya kesho, akapumzisha gari la mkaa akalifanyia matengenezo kwa ajili ya trip ya kumfuata Liverpool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom