Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

FA Cup
Manchester United - Chelsea

Match will be on 19 July at
:
🇮🇷Tehran: 21:30
🇪🇹Addis Ababa: 20:00
🇳🇬Abuja: 18:00
🇷🇺Moscow: 20:00
🇺🇿Tashkent: 22:00
🇮🇳New Delhi: 22:30
🇬🇧London: 18:00

Time left: 65 Hours, 09 Minutes
 
mtu umejipinda umeshusha nondo zako za maana kurasa kama 3 na ushehe kiustaarabu kwa lugha maridhawa kabisa, kanafumuka katoto huko hata hujui kalipochomokea kanaandika simpo tu maneno matatu "hii ni takataka"
Dah,unabaki kumuhurumia tu.
"Na research ya nguvu umefanya halafu empty brain mmoja kwa simple words anasema takataka hiyo au kiazi wewe"
 
kanafumuka katoto huko hata hujui kalipochomokea kanaandika simpo tu maneno matatu "hii ni takataka"
emoji44.png
emoji44.png
emoji44.png
emoji44.png
😂😂😂😂😂😂
 
Pulisic on this weekend game v United: ''At Chelsea we want to win. This is a huge trophy. He (Lampard) has told us what it means to him and the club. Even though fans are not going to be there, the guys understand what it means." #CFC

Pulisic: "It would be amazing to win the FA Cup. All the guys are on the same page. When I was [younger] I would see a lot of Premier League games, but I saw a few FA Cup Finals here and there. And I saw what this competition means to this country.'

Pulisic on the FA Cup: "It is a big trophy and I am excited that we have the opportunity to win it." #CFC

Pulisic: “It has been a tough season, obviously, with a lot of ups and downs. But we are going in confident — and finishing with a trophy is always the best way to end the season.” (ES) #CFC
 
Eden Hazard na Tibaut Courtois wachukua ubingwa wa Laliga kupitia Real Madrid baada ya kuwachabanga Villarreal goli 2-1 usiku huu
Ni habari njema kwa Chelsea kwa Real Madrid kuchukua ubingwa kwani sasa wataweza kuitumia mojawapo ya clauses za bonus kwenye mauzo ya Hazard inayodai Real Madrid wakichukua ubingwa wa Laliga Chelsea italipwa paundi mil 18 ukijumliash na paundi mil 16.2 za kumuuza Pasalic sasa tuna Mil 34.2
 
Kuna pundits walikuwa wakiulizwa maswali na mashabiki kwenye kipindi cha Fan Zone cha leo Suppersport3 kuhusu nani wao wanafikiri wataweza kumaliza top 4 msimu ujao. Kwa pamoja wakatabiri top 4 ya msimu ujao kama ifuatavyo
  1. Man City
  2. Liverpool
  3. Man United
  4. Chelsea
Sababu kuu waliotoa ni ubora wa wachezaji waliopo na waliosajili
Mwaka jana pundits hawa hawa waliitabiria Chelsea nje ya top 6 na sasa hao hao wanaorudisha Chelsea kwenye top 4
Bado usajili hata dirisha halijafunguliwa ili waone ni akina nani wataungana na akina Ziyech na Timo wao wameshaanza kutabiri
 
Ni habari njema kwa Chelsea kwa Real Madrid kuchukua ubingwa kwani sasa wataweza kuitumia mojawapo ya clauses za bonus kwenye mauzo ya Hazard inayodai Real Madrid wakichukua ubingwa wa Laliga Chelsea italipwa paundi mil 18 ukijumliash na paundi mil 16.2 za kumuuza Pasalic sasa tuna Mil 34.2
Bado chelsea wana bonus kama real madrid akifuzu uefa watailipa chelsea £15m
 
Kutokuwepo kwa Kante twendeni na 3-4-3 defensive zaidi

.........Pulisic - Giroud - Willan.......

Alonso - Kovacic - Joginho - James

.......Rudger - Zouma- Azipucueta.....
Mkuu hapo kati lazima viungo waongezeke hatuwezi kuwa na mabeki wengi ivyo hasa tunacheza na timu ambayo nayo inataka kuhold mpira. Amini nakuambia lazima kwenye kiungo atakuwepo Mount. Then na RLC Wanaweza kuingia badae.

Pulisic-Giroud-Willian

Mount-Jorginho-Kovacic

Alonso-Rudiger-Zouma-Azpilicueta

Hapo 4-3-3 lazima itumike walau tunaweza kwenda sawa na kasi yao. Since Kanté hatakuwepo itabidi Kova amuachie Mount awe anapanda zaidi then yeye Kova astick zaidi katika ukabaji huku ushambuliaji ufanywe zaidi na mawinga.
 
Watatumaliza kwenye hii formation
Alonso is a wing-back more than an LB
Kama ni 4-3-3 lazima Azpi acheze LB
Mimi ninachoona kocha ataanza na 3-4-3 na baadaye kuwaingiza Akina Mount, Barkley na James kuswitch kwenye 4-3-3 kwa kumuondoa Alonso na wengineo watakaokuwa wamechoka au kubakia na formation hiyo hiyo kama mambo yameenda vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom