Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

....lol.....mmeibuka ee?...
Komaeni sasa, sio baada ya kichapo mnaingia tena mitini...
 
Nilisahau kutoa pongezi pande hizi hongereni kwa mafanikio ya jana.
 
Sasa tunakutana na Benfica in Quarter Finals...wakina Ramires na David Luiz watatusaidia kuichakachua hiyo timu.
KTBFFH
Keep The Blue Flag Flying High!
 
...yashakua hayo baada ya kututisha eti "ngojeeni mpaka mkutane na gooners"...:wink2:

hahaha.. karibu tena jukwaani mkuu! kumbe yale madongo ulikuwa ukiyasoma .. hahaha najua mtapotea tena!! ... msikimbie nyumba na kutuacha wageni... hahaha!!

P.S - Gooners tutamaliza kazi tuliyoianza home kwenu... hilo usiwe na khofu! shekhe .. haha
 
Jamani leo El Nino katoa manyunyu..

haha..on Wednesday he's going to rain kabisa!
VIVA CHELSEA...inanisikitisha kwamba ushindi wetu utaipa Man u ushindi wa EPL...yan nlitaka msimu huu watoke kapa kabisa!
 
Chelsea mnafanya kitu gani uwanjani? Mnakusudia kupaki contena toka first half??????????
 
mpira mzuri sana!so far chelsea hamjatuangusha man utd!endeleeni hivyohivyo kusonga mbele tuko nyuma yenu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom