Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Wakulu,
Mimi napita tu maana furaha tuliyo nayo haina mfano.
Arsenal kwa sasa inacheza game tena game hasa maana Newcastle walipania hasa kuvuruga. Wakashindwa speed ya Arsenal ni kali sana.
Sasa mzee Wenger ambae usajili wake wa mwaka jana ulileta maswali sasa yanajibiwa. Arteta sasa anachanganya vizuri na pale katikati hapana tatizo.
Newcastle walikuja na plan kwamba waibane midfiled ya Arsenal waliwadhibiti Rosicky na Song na walipewa kazi hiyo Check Tiote, Gabriel Obertan na Yohan Kabaye. Kwa hali hio walifanikiwa kwa kiasi kikubwa na wakapata goli kupitia Ben Arfa.
Lakini kama kawaida ya timu zikienda Emirates zinaanza kucheza 10 men behind the ball na wakawapa Arsenall all ball possession.
Tunakwenda Merseyside kucheza na Everton na Ander Santos huenda akacheza kipindi cha pili maana Gibbs is so good at the moment.
Ile kazi niliyopewa ya ku-deal na Artillery division inaleta matokeo mazuri tunataka nafasi ya tau kama si ya pili.
Tatizo la kazi hii unashinda mno kwenye kuchora designs mbalimbali za artillery na research inachukua muda mwingi kuhakikisha weapon system yetu ni ya kuotea mbali.
Kila la kheri wakulu.
...so long as Gaffer ataendelea kumtumia Rosicky badala ya Ramsey kwenye midfield, we are safe....
Gervinho maskini, ...kihirizi cha AFCON kama kilivyowahi waathiri kina Kolo Toure, na Song kipindi kile,
naye performance yake ime dip...