Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona Chelsea ya leo inasuasua aiseee....jamaa hawajaipanda vema kabisa
 
Essien has been more of a liability for Chelsea.Nasri scores and the guy is like a statue on no man's land..
 
dah!chelsea hamfai!pamoja na sisi man utd kuwa nyuma yenu na kuwasukuma kama mbuzi kagoma kwenda kwa kuwapa support ya kuwashangilia lakini wapiii!hopeless
 
dah!chelsea hamfai!pamoja na sisi man utd kuwa nyuma yenu na kuwasukuma kama mbuzi kagoma kwenda kwa kuwapa support ya kuwashangilia lakini wapiii!hopeless

Yaani sikio la kufa hili halisikii dawa..Pamoja na dua kutoka O.T lakini wapi.
 
poleni sana wakuu kumbe hamkutupania kama napoli asanteni sana kwa kutupatia moyo wakulichukua kombe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom