Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii wiki hii na hiyo vita ya big4 loh

Chelsea kapoteza
Arsenal kapoteza
Leicester kapoteza
United ??????
 
Ollachuga na yule sijui Papa Gx walizidi tarumbeta sana na kujifanya watabiri leo wamenyooshwa kisawa sawa wamekimbia jukwaa ,na hapa sisi hatutoki tunapiga kambi mpk asubuhi ...

Aya sasa ondokeni tubaki wenyewe. Muda wenu umeisha
 

Cech delivers new No.1 for Lampard after €33m Chelsea transfer agreed

According to Turkish outlet Haber 365, Chelsea have struck an agreement with Trabzonspor for 24-year-old Ugurcan Cakir. The fee is believed to be €33m with Cakir set to move this summer.

Cakir’s rise in Turkey is said to have attracted the attention of Liverpool, who reportedly made a bid for the Turkey international last summer before opting to sign Adrian.

Turkish journalist Ugur Karakullukcu via Turkish-Football reported that Jurgen Klopp made an official offer for Cakir last summer.

1594642489362.png
 
Ukweli ni kwamba Leicester kubaki top 4 ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano na wakiweza lazima mtu afe na mmojawapo wa kutolewa kafara ni Manure
 
Hii siku ya tarehe 14 Chelsea vs Norwich ni siku ambayo maiti anakufa na mwoshaji ambaye Chelsea mtatukanana sana humu ndani ..kipigo nakiona View attachment 1505450
Hatakama wabovu lakini hawatafungwa na Norwich.. Hawa kiama chao kipo mechi mbili za mwisho yaani Liverpool pale anfield na ya mwisho wolves
 
Imenibidi nije niandike kidogo!

Chelsea alikutwa na Makosa

• Chelsea alipigwa Transfer Ban ya Two Windows

Mancity alikutwa na Makosa:
• Man City hakupigwa Transfer Ban
• Karuhusiwa kucheza UCL
• Lakini kapigwa Faini

Eti Hakuna ushahidi wa Makosa ya Man City! Lakini kapigwa Faini 😱

Ndiyo tujuwe kuwa Ulaya Hujuma zipo
 
Imenibidi nije niandike kidogo!

Chelsea alikutwa na Makosa

• Chelsea alipigwa Transfer Ban ya Two Windows

Mancity alikutwa na Makosa:
• Man City hakupigwa Transfer Ban
• Karuhusiwa kucheza UCL
• Lakini kapigwa Faini

Eti Hakuna ushahidi wa Makosa ya Man City! Lakini kapigwa Faini

Ndiyo tujuwe kuwa Ulaya Hujuma zipo
Hapo kabla niliwahi kusema siasa zinaingizwa kwenye baadhi ya watu walipinga sana. Kuna baadhi ya mambo Chelsea inàfanya hayapewi kipaumbele kabisa wala husikii media zikisifia lakini jambo hilohilo lifanywe na timu za waingereza media zitapeperusha taarifa dunia nzima.

Chelsea tunahujumiwa sana lakini ndio ivyo hatuna la kufanya. Tulipofungiwa sisi hata hawakutaka tulipe fine then ban iondolewe. Wanajaribu kufanya mambo ambayo yatamrudisha nyuma mwekezaji akate tamaa aiuze timu lakini yule Mrusi anawakomalia.
 
Big 4.
Liverpool
ManCity
ManUtd
Wolves.

*Naomba mtunze huu ujumbe*
 
Kesho kuna maiti anakufa na mwoshaji ambaye ni cheltako
 
Imenibidi nije niandike kidogo!

Chelsea alikutwa na Makosa

• Chelsea alipigwa Transfer Ban ya Two Windows

Mancity alikutwa na Makosa:
• Man City hakupigwa Transfer Ban
• Karuhusiwa kucheza UCL
• Lakini kapigwa Faini

Eti Hakuna ushahidi wa Makosa ya Man City! Lakini kapigwa Faini

Ndiyo tujuwe kuwa Ulaya Hujuma zipo
Acha kitonga wewe

Mnamtegemea man city apigwe ban ndio chelsea kucheza uefa


Pambana,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom