mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,260
- 12,867
Lampard ametufanya tuanze kuombea matokeo ya leicity ipigwe na Bournemouth kwa kweli tuna wakati mgumu hiki kipindi ....ila so far so good Bournemouth 2 levity 1 tunaomba ya endelea hivi1. Lampard anashindwa kupanga kikosi
2. Lampard anashindwa kufanya sub
3. Lampard anakosa ubunifu
4. Lampard mbinu zake ni dhaifu
5. Lampard anapendelea baadhi ya wachezaji
6. Lampard ameshindwa kuorganize wachezaji
7. Lampard ni mgumu kukubali ukweli
8. Lampard uwezo wake ni mdogo kuifundisha Chelsea.