Hapo kwenye kupendelewa mchezaj yupi anapendelewa1. Lampard anashindwa kupanga kikosi
2. Lampard anashindwa kufanya sub
3. Lampard anakosa ubunifu
4. Lampard mbinu zake ni dhaifu
5. Lampard anapendelea baadhi ya wachezaji
6. Lampard ameshindwa kuorganize wachezaji
7. Lampard ni mgumu kukubali ukweli
8. Lampard uwezo wake ni mdogo kuifundisha Chelsea.
Hivi hujui Kama Pedro anaondoka anajiunga na RomaNi kweli ila ukweli usemwe, Pedro yuko vizuri kuliko Tammy. Hata kabla ya mechi ya leo nilishawahi kuandika hili. Pedro ni zaidi ya Mason Mount pia. Chelsea ilipaswa kuanza na Willian, Giroud, Pedro na Pullisic. Na kati jana Jorginho na Barkley hawakuwa kwenye form, So angalau Kovacic na RLC wangeweza ku cover. Imagine Pedro hata kwenye sub hakuwepo ila Batshuayi yumo. That's laughable
Kaka Kama akiwepo mnakuna na umiliki mzuri wa mpira basi jamaa anatimiza majukumu yake vyem Mana yeye ni mido sio forward au wing swala la kutokupata magoli wakulaumiw ni kina wilian ,Tammy,pulisic na wale wambele sio gorginioJorginho anazingua sana akiwepo tuna ongoza possession lkn magoli hakuna me naona angeuzwa tu amfate mafegi

Ni kweli ila ukweli usemwe, Pedro yuko vizuri kuliko Tammy. Hata kabla ya mechi ya leo nilishawahi kuandika hili. Pedro ni zaidi ya Mason Mount pia. Chelsea ilipaswa kuanza na Willian, Giroud, Pedro na Pullisic. Na kati jana Jorginho na Barkley hawakuwa kwenye form, So angalau Kovacic na RLC wangeweza ku cover. Imagine Pedro hata kwenye sub hakuwepo ila Batshuayi yumo. That's laughable
Mn U 8 1 Arsenal, kataa tena ili ujifariji basi.Arsenal haijawahi fungwa 8 - 0 na Manyumbu
8-2Mn U 8 1 Arsenal, kataa tena ili ujifariji basi.
Bado Arsenane ipo pale pale sababu ya hizo goli 7, hata kama ingekuwa Arsenal 7 Man U 8, kwani huo ni mpira au marede hadi Arsenal ifungwe magoli yote hayo?
Mkuu unachoongea ni kweli lakini kuna kipindi mchezaji mwingine anakuwa yuko form mwingine anakuwa hayuko form, imagine performance ya Giroud games zilizopita kafanya vizuri lakini Jana kaanza Abraham ambaye hata amekuwa haeleweki kabisa. Lakini Jana kapangwaWachezaj sindio hao hao anaowatumia kuanzia mwanzo mwa msimu au kuna mchezaj ambaye atumiki
Mwingine wa ovyo ambaye anamuamini akimtoa willian Ni odoi badala ya PedroMkuu unachoongea ni kweli lakini kuna kipindi mchezaji mwingine anakuwa yuko form mwingine anakuwa hayuko form, imagine performance ya Giroud games zilizopita kafanya vizuri lakini Jana kaanza Abraham ambaye hata amekuwa haeleweki kabisa. Lakini Jana kapangwa
Mchukueni Selemani MatolaKila siku nawaambia huyu Lampard ana Uingereza mno, kuna matakataka kama lile lioka mikate na lile kubwa jinga la pale mbele haya matakataka hayafai kabisa kuwa katika klabu yetu



Odoi ni molinga aliyechangamkaMwingine wa ovyo ambaye anamuamini akimtoa willian Ni odoi badala ya Pedro




Arsenane unateseka sana kushinda kwwnye nyuzi za kiumeni kupunguza mawazo na kichapo chako cha leo toka kwa Tottenham Hotspurs, agiza maji ya baridi kwa Mangi hapo nitakuja kukulipia.Chelsea ni Yanga wanaovaa jezi za buluu
Ushasahau kuwa wanaume walimaliza pakti janaArsenane unateseka sana kushinda kwwnye nyuzi za kiumeni kupunguza mawazo na kichapo chako cha leo toka kwa Tottenham Hotspurs, agiza maji ya baridi kwa Mangi hapo nitakuja kukulipia.



Mkuu nakubaliana na wewe 100%1. Lampard anashindwa kupanga kikosi
2. Lampard anashindwa kufanya sub
3. Lampard anakosa ubunifu
4. Lampard mbinu zake ni dhaifu
5. Lampard anapendelea baadhi ya wachezaji
6. Lampard ameshindwa kuorganize wachezaji
7. Lampard ni mgumu kukubali ukweli
8. Lampard uwezo wake ni mdogo kuifundisha Chelsea.
Ujumbe bora huu twena wa mwaka katika uzi wa Chelsea.1. Lampard anashindwa kupanga kikosi
2. Lampard anashindwa kufanya sub
3. Lampard anakosa ubunifu
4. Lampard mbinu zake ni dhaifu
5. Lampard anapendelea baadhi ya wachezaji
6. Lampard ameshindwa kuorganize wachezaji
7. Lampard ni mgumu kukubali ukweli
8. Lampard uwezo wake ni mdogo kuifundisha Chelsea.