mr37
Senior Member
- Jul 7, 2020
- 107
- 209
Abraham aje man u tumpe 150k kwa wiki alafu sisi tuwape jesse lingard ambaye na yeye anakula 150k kwa wiki bila hata goli, na Tena abraham ambavyo bado mdogo akishakutana na fundi Bruno yaani magoli yatakuja AutomaticallyYupo anadai 139k per week, ili aanze kuitendea haki jezi yake namba 9 mkuu

