Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kujitoa akili kuna mchezaji asie uzwa??
Kila mchezaji anaweza kuuzwa ndio,ila tunaangalia possibilities za kuuzwa..huwezi kuropoka tu kuwa tumsajili VVD aje kuchukuwa namba ya Zouma that simple

Angalia target ambazo ni rahisi..
 
Jana hata giroud angeenza bado tungefungwa kwa zile beki zetu, beki yetu imekuwa mbovu sana tulitegemea rudiger akirudi kutoka injury ukuta utakaa sawa kumbe ndio kama hali imezidi vile.

Tim yetu sahiv hakuna wapambanaji na viongozi ndani ya tim. Tunafungwa magoal ambayo tuna fail kuclear
 
Sijui Lampard anampendea Nini Abraham? Si niliwaambia wadau lazima Leo atamuanzisha Abraham na kweli Abraham leo kaanza, hiv Lampard anapataje jeuri ya kumuweka benchi Giroud ambaye yupo kwenye form ya Hali ya juu?
Kwakweli Kati ya siku aliyonichukiza lampard ni Jana, how comes anamuanzisha Abraham ambaye recently amekuwa mbovu kupita kiasi!, Halafu giroud ambaye fuko form last kafunga goli na assist hivi lampard anatupeleka wapi Jamani.

Of course team ilicheza vibaya game ya Jana but Giroud alikuwa anahitajika Sana mwanangu, hapa Nina hasira Sana nikimuona lampard muda huu namtafuna haki ya mungu☹☹☹☹
Kwa utopolo ule umechezwa jana tusahau kuhusu mafanikio msimu ujao. Nikianza na kocha, kwakwel hatuna kocha kabisa Lampard hafai kuifundisha Chelsea. Hana mbinu zozote zile za kuifanya timu ishinde, ni aibu mwaka mzima unafundisha wachezaji namna ya kupiga pasi. Lampard hatufai ata chembe aende huko aliko toka, na mara nyingi tunapata matokeo mazuri kwa juhudi za wachezaji si kwa mbinu za Lampard hana anacho jua zaidi ya kupiga pasi.

Ball Possession 77% kwa 23% huku pasi umepiga 809 kwa 251 alafu unafugwa 3 bila huku ni kukosa mbinu. Timu inashindwa kustahimili ubora wake leo inashinda kesho inafugwa uliona wapi bigwa anakuwa kiande namna hii. Kwanza tushukuru sana kuwa katika nafasi tulipo maana hatukufaa kuwa hapo kwa hizi mbinu za huyu Lampard. Sipendi kumuita takataka kutokana na mazuri aliyoyafanya pindi alipokuwa mchezaji.

Kutakuwa hakuna la maana kama umesajili wachezaji wazuri kina Timo Werner, Hakim Ziyech na Kai Havertz kisha uendelee kuwa na Lampard, hana mbinu zozote zile atawafundisha nn sasa? Tunapaswa kuwa na kocha mzoefu na mwenye mbinu.

Kuhusu wachezaji, tena hawa ndio nina hasira nao sana. Kuna matakataka mengi sana katika klabu yetu. Hawa matakataka watupishe watuachie klabu yetu. Wa kwanza ni huyu kubwa jinga aka takataka Abraham hafai kuwa kwenye klabu kama Chelsea aondoke haraka sana kabla hatujampiga shaba. Hilo takataka liondoke asajiliwe Ollie Watkins kutoka Brentford kuwa sub kwa Werner. Kuna huyu bishoo Odoi atoke haraka aje Said Benrahma, Giroud, Batshuayi, Jorginho, Cheek, Muoka mikate, Alonso, Rudiger, Christensen, Zouma, Emerson na Kepa. Hizo takataka zinatakiwa zitoke zituachie timu yetu. Kama kweli tunahitaji tupate timu yenye ushindani na yenye kuchukua mataji tunapaswa tutoe hizo takataka, hazina kiwango cha kucheza Chelsea.

Wachezaji tunao paswa kusajili, kipa tuchukue Nick Pope ama Dean Henderson. Beki tulete David Alaba huyu atakuwa kiongozi kwa mabeki wenzake maana beki bila kiranja ni ujinga. Alaba ni mzuri pia ni mzoefu sana, ongeza na Lucas Digne. Kiungo mkabaji aje Milinkovic Savic.

Imagine zile takataka tumetoa tukabaki na hawa wachezaji,
Dean Henderson
Nick Pope
Lucas Digne
Tomori
David Alaba
Azpilicueta
Mount
Kante
Kovacic
Savic
Ziyech
Wilian
Said Benrahma
Pulisic
Havertz
Ollie Watkins
Werner.

Hicho ndio kikosi cha ushindani sio zile takataka.
Previous games nilikuwa nasita kusema kuwa lampard hafai kufundisha Chelsea but kwa game ya Jana naomba aondolewe tu si kocha mzuri..naomba aondoke na waingereza wake wote aisee🤨🤨🤨
 
kuna wachezaj naona hawana future ya kuwepo
IMG_20200712_112410.jpg
 
Kwakweli Kati ya siku aliyonichukiza lampard ni Jana, how comes anamuanzisha Abraham ambaye recently amekuwa mbovu kupita kiasi!, Halafu giroud ambaye fuko form last kafunga goli na assist hivi lampard anatupeleka wapi Jamani.

Of course team ilicheza vibaya game ya Jana but Giroud alikuwa anahitajika Sana mwanangu, hapa Nina hasira Sana nikimuona lampard muda huu namtafuna haki ya mungu

Previous games nilikuwa nasita kusema kuwa lampard hafai kufundisha Chelsea but kwa game ya Jana naomba aondolewe tu si kocha mzuri..naomba aondoke na waingereza wake wote aisee
Kwani lamp kuna mchezaj yyt aliyemsajil. Hatuna tim kwa sasa huo ni ukweli ambao hatutaki kuukubali. Kwa tim tuliyonayo kuna matokeo yakija hupaswi kushangaa.

Msim uliopita tulimaliza top 4 kwa uwezo binafsi wa hazard na tulihitaj kusajil bahati mbaya tukapigwa ban
Tim imejaza mid table player
 
Wanaume (Manchester United) hatuna utani na wavulana (Chelsea). Mnalazimisha kuwa level moja na; Arsenal na Liverpool.
ManU ndio mnalazimisha kuja nafasi za vigogo wakati level zenu ni namna sita. Yaani mpaka VAR iwabebe...

Jikumbushe penati mliyozawadiwa badala ya kadi...

0_JS215000092.jpg
 
Kwakweli Kati ya siku aliyonichukiza lampard ni Jana, how comes anamuanzisha Abraham ambaye recently amekuwa mbovu kupita kiasi!, Halafu giroud ambaye fuko form last kafunga goli na assist hivi lampard anatupeleka wapi Jamani.

Of course team ilicheza vibaya game ya Jana but Giroud alikuwa anahitajika Sana mwanangu, hapa Nina hasira Sana nikimuona lampard muda huu namtafuna haki ya mungu

Previous games nilikuwa nasita kusema kuwa lampard hafai kufundisha Chelsea but kwa game ya Jana naomba aondolewe tu si kocha mzuri..naomba aondoke na waingereza wake wote aisee
Acha komenti za kimburura we unafikiri umewazidi akili waliomuweka pale afundishe
 
*Mipango kazi ya united*

Zilibaki point tano tukamtuma kocha wetu wa zamani David Moyes akawalamba tatu Kama jezi Yao ilivyoandikwa3
Zikabaki point 2 tukamtuma Wilfred zaha kijana wa nyumbani alielelewa katika mikono salama ya babu Alex Fergie akafanya kazi yake Ila kipa hakua vizur akaruhu goli tatu wakatoka na ushindi wa goli 3 kwa mbili tukamuuliza zaha vp kijana wetu ? Akasema "Mimi nimefanya kazi mlionituma"nimemtungua kepa Alizabuliwaga shida kipa wetu ndio karuhusu wao kufunga "

Tukasema kumbe tatizo kipa?

tukamcheki kijana wetu Dean hunderson tukamwambia "Dean umekula Sana ugali wetu na kukomba masufuria ya ukoko hapa OT Sasa hakikisha wale wajinga hawakufungi hata goli moja akasema sawa wakuu mi nitafanya kazi yangu hawatogusa nyavu na kazi iliyobaki nitamuachia "kipara"UCHEBE" atamaliza
Basi jezi Yao ikajibu maombi wakala 3 bila

*NB .namalizia ukitaka kuifunga Chelsea kirahisi wewe weka neno united kwenye jina la timu yako ,west ham united , sheffield united ,Newcastle united wanaiogopa*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom