Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukweli ni kwamba ugumu wa kushinda mechi anautengeneza LAMPARD mwenyewe. Ukishampanga Abraham, viungo washambuliaji na mawinga wanavunjika moyo kushambulia kwa sababu wanafahamu kumlisha mipira Abraham ni kazi bure.

Wanafahamu kule mbele hakuna mfungaji, Lakini Giroud akianza wachezaji wanacheza kwa hari kubwa kushambulia wanafahamu Giroud ni finisher mzuri.

Tatizo ni Lampard poor players selection, poor tactics, poor sub
Kwa wachezaji gani walionao. Hata Giroud angewekwa, Shefield waliweka ukuta wa Berlin
 
Usajili wa Werner, Ziyech na wanaofatia utakuwa bure kama LAMPARD ataendelea kuwa kocha Chelsea. Tunamuheshimu Lampard kama mchezaji lakini sio kama kocha.

Kiufupi ni poor coach, hana mbinu za kushinda mechi, sio mbunifu, sio mzuri kwenye kufanya selection ya wachezaji 1st eleven na sio mzuri kwenye kufanya sub.

Nilishapotezaga imani naye long time. Mara nyingi hapa nimekuwa nahoji ubora wake, nimekuwa nikijibiwa majibu matamu matamu.

Kwangu Lampard alishakuwa poor coach Labda aje aniprove wrong huko mbeleni.
Mimi binafsi nina maoni tofauti kidogo... Kwangu mm lampard bado tumpe nafas.. Ukweli chelsea hii ni timu mbovu sana...

Huwez kutarajia makubwa kwa wachezaji kama abraham,barkley,tomori,james,loftcheek na kepa

Kikosi hiki cha leo, hakuna mchezaji wowote anaweza kupata namba kwenye kikosi kile cha 2010 au 2012.. Lampard anaangushwa na wachezaji..

Wachezaji wengi wa chelsea viwango vya chini sana... Na wengi hawa maintain kiwango kizuri zaidi ya mechi 2..

Mchezaji pekee ambaye ana stail kubaki chelsea ni pulisic na mount(tena haanzie bench)...

Mchezaji kama jogihno jana alionekana wa ovyo kbsa kwa sababu aanzishi mashambuliz, alikuwa anapiga back pass ambazo hazina umuhimu.. Vilevile alikuwa ashuki chini kuomba mipira..

Joginho anapiga pasi nyingi ambazo hazina maana na backpass, huyo mchezaji inabidi aingie kipindi timu ina posses mipira

James alianza vizuri mwanzo wa msimu lakin hivi sasa ni utopoli mtu.. Ni bora Azpi arudi eneo lake na alonso akacheze 3
 
Na mkiambiwa London ni nyekundu muwe mnaelewa,

Uto kama Uto mlikuwa katika ubora wenu jana
 
Sawa kabisa.
 
Nakuunga mkono kocha gani hana first eleven ya kudumu karibu mwisho wamsimu hana wining team anatapatapa tu, tunahitaji kocho muzoefu kama conte sari nk lampard anafaa kua msaidizi
Tutarudia hadi lini, Chelsea hakukuwa na first eleven kwa sababu ya ban. Mwakani tutakuwa na first eleven. Sasa nyie mnataka first eleven iundwe na academy. Bado namsifia Lampard amefanya kazi nzuri kwa kutumia alichokuwa nacho mkononi. Kama ni madhaifu kila kocha anayo. Hata Klopp wakati anaijenga timu hiyo miaka minne mashabiki walimtukana zaidi ya hata sisi tunavyomtukana Lampard lakini matunda ya uvumilivu leo hii tumeiona Anfield. Na hata baada ya kuchukua ubingwa wa UEFA na EPL bado kuna mashabiki hawampendi kila leo wanamkosoa. This is football
 
Mimi sioni kama Lampard ana tatizo. Ni kocha aliyekuta timu hairuhusiwi kusajili, akawachukua wakina Tammy akaishi nao leo anafightia top 4. Mpira unaochezwa na Chelsea ni mpira ambao natamani Arsenal tucheze. Viungo complete na wingers wenye speed na skills.

Jana kuna muda Chelsea walikua wamepossess mpira kwa 74%. So they are so good at playing football shida ni Tammy kwa sasa, ila Werner si anakuja? Na Tammy si anakua? Binafsi naona Chelsea ipo katika right track kulingana na hali iliyokutwa nayo.

Baada ya hayo niseme ukweli ambao hua nausema kila siku. Kepa siyo kipa mzuri, yeye na clean sheet ni vitu viwili tofauti. Jana nimeona mna mabeki wazito pia same kama Arsenal.

Nafikiri msimu ujao Chelsea itakua moto.
 
Ukweli ni kwamba ugumu wa kushinda mechi anautengeneza LAMPARD mwenyewe. Ukishampanga Abraham, viungo washambuliaji na mawinga wanavunjika moyo kushambulia kwa sababu wanafahamu kumlisha mipira Abraham ni kazi bure.

Wanafahamu kule mbele hakuna mfungaji, Lakini Giroud akianza wachezaji wanacheza kwa hari kubwa kushambulia wanafahamu Giroud ni finisher mzuri.

Tatizo ni Lampard poor players selection, poor tactics, poor sub
Tatizo la timu yenu jana haikua na displine kwenye ukabaji, kwenye beki kule mnaitaji mpate beki kiongozi mwenye tabia za Virgil/Maguire/Rio Ferdinand/Ramos

Kocha wa shieldfied namsifu kwa kufaham madhaifu yenu, shieldfied jana walikua na nidhamu sana wakati wakiwa hawana mpira mguuni na wakiwa na mpira mguuni

Timu yenu inaitaji kufumuliwa taratibu, pia kwa miaka ya hivi karibuni hamjadumu na makocha muda mrefu, ilo nalo ni tatizo

Lampard ni kocha sahii, mpeni muda ajenge timu yake, kumfukaza ni kuongeza tatizo, kaikuta timu imefungiwa kufanya usajiri, anatumia wachezaji aliokua nao, mnataka afanyaje?

Kwasasa kunyweni mtori nyama mtazikuta chini
 
Mc Eleven Giroud mtoe hapo usimweke kwenye hizo takataka Giroud anafunga magoal alafu apotezi nafasi Kama yule mtoto wake mpendwa Abraham kila game tangu ligi irudi Giroud anatupia lakini nimeshangaa Jana kampa benchi Giroud
Mabeki hawana chemistry tangu ligi ianze, jana nikitofautisha na mabeki wa Shefield United, namuona Christansen na Zouma kama vile ndio wanakutania kwenye mechi tu hata Rudiger akiwepo hakuna Chemistry kabisa ya mabeki. Katikati tunaimba wimbo ule ule hatuna creative midfielder wa kupasua ngome kama Fabregas
 
Mimi sioni kama Lampard ana tatizo. Ni kocha aliyekuta timu hairuhusiwi kusajili, akawachukua wakina Tammy akaishi nao leo anafightia top 4. Mpira unaochezwa na Chelsea ni mpira ambao natamani Arsenal tucheze. Viungo complete na wingers wenye speed na skills.

Jana kuna muda Chelsea walikua wamepossess mpira kwa 74%. So they are so good at playing football shida ni Tammy kwa sasa, ila Werner si anakuja? Na Tammy si anakua? Binafsi naona Chelsea ipo katika right track kulingana na hali iliyokutwa nayo.

Baada ya hayo niseme ukweli ambao hua nausema kila siku. Kepa siyo kipa mzuri, yeye na clean sheet ni vitu viwili tofauti. Jana nimeona mna mabeki wazito pia same kama Arsenal.

Nafikiri msimu ujao Chelsea itakua moto.
Uko sahihi, naunga mkono ulichokiona. Tukishambuliwa tunakuwa vulnerable sana, tukienda mbele tunakuwa butu hatuna creativity yeyote
Overall possession jana ilikuwa 74%, Harvertz ni wa muhimu sana asaidiane na Ziyech na Willian na Pulisic
 
Mabeki hawana chemistry tangu ligi ianze, jana nikitofautisha na mabeki wa Shefield United, namuona Christansen na Zouma kama vile ndio wanakutania kwenye mechi tu hata Rudiger akiwepo hakuna Chemistry kabisa ya mabeki. Katikati tunaimba wimbo ule ule hatuna creative midfielder wa kupasua ngome kama Fabregas
Huyo kai tunamhitaji sana msimu ujao....afu pia beki zetu zimeweka rekodi ya kipekee kuna mchezaji Wa Sheffield alifunga goli mbili Jana nasikia msimu mzima hakufunga goli hatimaye Jana akapata hizo goli .....afu hata benteke naye alikuwa na ukame hatimaye akafunga goli moja tulipocheza nao
 
Na mkiambiwa London ni nyekundu muwe mnaelewa,

Uto kama Uto mlikuwa katika ubora wenu jana
Nyekundu, unatuabisha, mko nafasi ya ngapi vile? Shefield kutufunga ni hasara kwako ndugu, au hujui nini hata Europa utaikosa
 
By the way kuna source moja nimeona wanasema Chelsea wamekubali kumnunua goli kipa Wa trabzonspor ya uturuki.......yule jamaa Wa source kuntu vipi kuna ukweli hapa
 
Tatizo la timu yenu jana haikua na displine kwenye ukabaji, kwenye beki kule mnaitaji mpate beki kiongozi mwenye tabia za Virgil/Maguire/Rio Ferdinand/Ramos

Kocha wa shieldfied namsifu kwa kufaham madhaifu yenu, shieldfied jana walikua na nidhamu sana wakati wakiwa hawana mpira mguuni na wakiwa na mpira mguuni

Timu yenu inaitaji kufumuliwa taratibu, pia kwa miaka ya hivi karibuni hamjadumu na makocha muda mrefu, ilo nalo ni tatizo

Lampard ni kocha sahii, mpeni muda ajenge timu yake, kumfukaza ni kuongeza tatizo

Kwasasa kunyweni mtori nyama mtazikuta chini
Hatuna wachezaji wa kumaintain consistency. Utashangaa tunaweza kutana na Liverpool tukawabamiza halafu wakija Norwich wakatufunga
 
Sijui Lampard anampendea Nini Abraham? Si niliwaambia wadau lazima Leo atamuanzisha Abraham na kweli Abraham leo kaanza, hiv Lampard anapataje jeuri ya kumuweka benchi Giroud ambaye yupo kwenye form ya Hali ya juu?
Kwakweli Kati ya siku aliyonichukiza lampard ni Jana, how comes anamuanzisha Abraham ambaye recently amekuwa mbovu kupita kiasi!, Halafu giroud ambaye fuko form last kafunga goli na assist hivi lampard anatupeleka wapi Jamani.

Of course team ilicheza vibaya game ya Jana but Giroud alikuwa anahitajika Sana mwanangu, hapa Nina hasira Sana nikimuona lampard muda huu namtafuna haki ya mungu☹️☹️☹️☹️.
 
Usajili wa Werner, Ziyech na wanaofatia utakuwa bure kama LAMPARD ataendelea kuwa kocha Chelsea. Tunamuheshimu Lampard kama mchezaji lakini sio kama kocha.

Kiufupi ni poor coach, hana mbinu za kushinda mechi, sio mbunifu, sio mzuri kwenye kufanya selection ya wachezaji 1st eleven na sio mzuri kwenye kufanya sub.

Nilishapotezaga imani naye long time. Mara nyingi hapa nimekuwa nahoji ubora wake, nimekuwa nikijibiwa majibu matamu matamu.

Kwangu Lampard alishakuwa poor coach Labda aje aniprove wrong huko mbeleni.
Mkishinda mnamsifia lampard mkifungwa mnamponda mbona hamueleweki nyie
 
Chelsea fans wenzangu, Kuna wakati ufike tukubali kuwa team yetu inamapungufu mengi mno.

1. Tunadefence mbovu kabisa ambayo defenders hawana consistent kwenye game wanazocheza, kila beki kule nyuma anamapungufu mengi. Rjames , Cristinsen, Zouma, Rudiger na Marcos pia.

2. Tusitupe lawama zetu nyingi kwa Kepa, sababu kama beki zina mpa pressure mda wote kwa kufanya makosa kwenye making na ukabaji lazima nae atakua dhaifu na kuruhusu magoli mengi .

3. Hatuna mshambuliaj wa uhakika, sio Tammy wala Giroud , wana afadhali lkn hawana uhakika.

4. Pia kiungo chetu bado kina mapungufu , unaweza mtegemea joginho lkn nae anamapungufu yake, Dogo Billy nae bado hana exposure yakutosha, kovasic nae wakati mwingine anazingua sana,

5. Mwisho team yetu inatakiwa ifumuliwe yete yaana kuna wachezaji wengi sana hawapaswi kuwepo Chelsea for next season , kama Tammy, Marcos , Rjames, RlC, Odoi, coz hawashawishi kutokana na kiwango chao,

6. Usajili wa defenders ni wa muhim mno , ili tufanikiwe msimu ujao.

Nawasikisha maoni yng, #CFC
Sawa mkuu haya matatizo tuliyajua hata kabla ligi haijaanza labda kama wengine wamesahau. Pundit wengi waliitabiria Chelsea nje ya top 6 na hata wengine walidiriki kusema Chelsea itakuwa kwenye mid table kwa sababu ya ban na Hazard kuondoka.
Kwa matokeo haya bado tumefanya wonders na Kocha kafanya wonders

Mwaka wake wa kwanza bila usajili na Hazard kuondoka

Kepa ana madhaifu yake lakini hayo madhaifu isingezuia kufungwa labda angekuwa kama GK wa Burnley Pope tungefungwa kamoja hivi
Tatizo la jana ni la timu nzima, Jourginho alicheza vizuri kwenye kuwachezesha wengine ila hakuweza kuwalinda mabeki kama Kante anavyofanya, Pia hakuwa mbun ifu wa kuwachezesha wafungaji, mawinga na striker. Side-passes na back-passes ndizo nilizoziona jana tu

Nategemea Chelsea wata-bounce-back kwenye mechi na Norwich, Liverpool na Wolves, Kila la Heri Chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom