Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongera kwa United. Kocha wetu alifanya makosa kwa kuchelewa kurekebisha makosa ya wazi kabisa. Lakini ndio mpora huo, ukikosea mwenzako anatumia makosa na kushinda.

Bado nafasi ya Tatu na nne tuna uwezo wa kushika, kama tutafanya vizuri mechi zilizobaki.

Haya watani tunasubiria mechi yenu pia. Hope hamtakuwa 13, akiwemo Refer na AVR
 
Chelsea fans wenzangu, Kuna wakati ufike tukubali kuwa team yetu inamapungufu mengi mno.

1. Tunadefence mbovu kabisa ambayo defenders hawana consistent kwenye game wanazocheza, kila beki kule nyuma anamapungufu mengi. Rjames , Cristinsen, Zouma, Rudiger na Marcos pia.

2. Tusitupe lawama zetu nyingi kwa Kepa, sababu kama beki zina mpa pressure mda wote kwa kufanya makosa kwenye making na ukabaji lazima nae atakua dhaifu na kuruhusu magoli mengi .

3. Hatuna mshambuliaj wa uhakika, sio Tammy wala Giroud , wana afadhali lkn hawana uhakika.

4. Pia kiungo chetu bado kina mapungufu , unaweza mtegemea joginho lkn nae anamapungufu yake, Dogo Billy nae bado hana exposure yakutosha, kovasic nae wakati mwingine anazingua sana,

5. Mwisho team yetu inatakiwa ifumuliwe yete yaana kuna wachezaji wengi sana hawapaswi kuwepo Chelsea for next season , kama Tammy, Marcos , Rjames, RlC, Odoi, coz hawashawishi kutokana na kiwango chao,

6. Usajili wa defenders ni wa muhim mno , ili tufanikiwe msimu ujao.

Nawasikisha maoni yng, #CFC
Kwa kweli kwa timu yetu ilivyo tushukuru mpk now tupo top 4 kwa hizi game tulizocheza maana kwa kiwango cha Jana duh.....na pia coach naye anatuzingua sio kwa selection hyo aisee yule Tammy sio Wa timu kubwa km Chelsea...na vikosi anavyoweka kwa majaribio tu Mara Leo gilmour, mara RLC acheze winger,
 
Me ni shabiki wa Man U ila kusema kweli jana Chelsea mlifanya makosa sana kupanga Abraham badala ya Groud hebu vuta picha sumbufu za Groud zingeanza kipindi cha kwanza?

Mabeki wenu ovyo ovyo sipati picha mkikutana na Man U ambayo sasa hivi Martial ana kiu, Rashford ana kiu, Mason anataka kuvunja record ya Rooney, Fernandez na Pogba wa kutumia makosa yenu kutengeneza chances au kufunga.

Nawaomba muwe na moral hiyo jumamosi, kingine Man U ikipanga first eleven hiyo mechi mkitufunga. Nakubali kwa moyo safi.

Pole kwa kipigo, ila kocha wenu nae kiazi Abraham amechuja Groud ana afadhali.

Inachekesha beki mbili kuangalia mtu anafunga hawafanyi kitu.
 
Tukubali tumepoteza ,, tena kwa kipigo cha aibu.

Lampard abadilike,, huu ni mwisho wa msimu na malengo bado hayajafikiwa.
Anatakiwa a"stick na winning team,, sio muda rafiki wa kufanya rotation sasa hivi.

Na pia tammy na rjames wanasafari ndefu sana,, kila nikiwaona kwenye 1st eleven najua leo shughuli ipo.
Tammy hatishi kama striker, mabeki wakicheza nae wanakua relaxed sana hawapi pressure yeyote, tofauti na Giroud.
Rjames ni mzuri sana kwenye kushambulia, ila kwenye kukaba ni mbovu mno
 
Akirekebisha nini Leo mnaumia kwa alichomwambia huyo mwenzenu mbona upoyoyo Wa huyo mwenzenu huwa hamuukemei?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri utakuwa umeisoma vizuri comment yangu mkuu, na kama ni hivyo basi ukirudia tena na tena utaelewa kwanini huyo mwingine hatujasumbuka kumshauri,
Soma tena.
 
Usajili wa Werner, Ziyech na wanaofatia utakuwa bure kama LAMPARD ataendelea kuwa kocha Chelsea. Tunamuheshimu Lampard kama mchezaji lakini sio kama kocha.

Kiufupi ni poor coach, hana mbinu za kushinda mechi, sio mbunifu, sio mzuri kwenye kufanya selection ya wachezaji 1st eleven na sio mzuri kwenye kufanya sub.

Nilishapotezaga imani naye long time. Mara nyingi hapa nimekuwa nahoji ubora wake, nimekuwa nikijibiwa majibu matamu matamu.

Kwangu Lampard alishakuwa poor coach Labda aje aniprove wrong huko mbeleni.
Nakuunga mkono kocha gani hana first eleven ya kudumu karibu mwisho wamsimu hana wining team anatapatapa tu, tunahitaji kocho muzoefu kama conte sari nk lampard anafaa kua msaidizi
 
Hongera kwa United. Kocha wetu alifanya makosa kwa kuchelewa kurekebisha makosa ya wazi kabisa. Lakini ndio mpora huo, ukikosea mwenzako anatumia makosa na kushinda.

Bado nafasi ya Tatu na nne tuna uwezo wa kushika, kama tutafanya vizuri mechi zilizobaki.

Haya watani tunasubiria mechi yenu pia. Hope hamtakuwa 13, akiwemo Refer na AVR
Wanaume (Manchester United) hatuna utani na wavulana (Chelsea). Mnalazimisha kuwa level moja na; Arsenal na Liverpool.
 
Hahahahaha mmetusema sana, mmetunanga sana, mmetutukana sana, kwamba sisi hatufai, takataka, viazi, bomu la kutupwa, tumekata uno.

Kashfa zote tumezipokea, tunafahamu timu yetu ni mbovu, uwezo wa kumaliza top 4 tumemwachia Mungu.

Haya tunaomba mrudi kwenye majukwaa yenu, mtupishe tujadili uozo wa mechi ya jana.
Kwani mazishi tayari mkuu? Vikao vitafanyika baada ya kumpumzisha mpendwa wetu kwenye nyumba yake ya milele
 
Me ni shabiki wa Man U ila kusema kweli jana Chelsea mlifanya makosa sana kupanga Abraham badala ya Groud hebu vuta picha sumbufu za Groud zingeanza kipindi cha kwanza?

Mabeki wenu ovyo ovyo sipati picha mkikutana na Man U ambayo sasa hivi Martial ana kiu, Rashford ana kiu, Mason anataka kuvunja record ya Rooney, Fernandez na Pogba wa kutumia makosa yenu kutengeneza chances au kufunga.

Nawaomba muwe na moral hiyo jumamosi, kingine Man U ikipanga first eleven hiyo mechi mkitufunga. Nakubali kwa moyo safi.

Pole kwa kipigo, ila kocha wenu nae kiazi Abraham amechuja Groud ana afadhali.

Inachekesha beki mbili kuangalia mtu anafunga hawafanyi kitu.
Sisi mashabiki tunaona kabisa sahv Abraham ni bure kwa giroud...lkn cjui lamps anaona nn kwa huyu mtoto maana hamna kitu kabisa
 
Usajili wa Werner, Ziyech na wanaofatia utakuwa bure kama LAMPARD ataendelea kuwa kocha Chelsea. Tunamuheshimu Lampard kama mchezaji lakini sio kama kocha.

Kiufupi ni poor coach, hana mbinu za kushinda mechi, sio mbunifu, sio mzuri kwenye kufanya selection ya wachezaji 1st eleven na sio mzuri kwenye kufanya sub.

Nilishapotezaga imani naye long time. Mara nyingi hapa nimekuwa nahoji ubora wake, nimekuwa nikijibiwa majibu matamu matamu.

Kwangu Lampard alishakuwa poor coach Labda aje aniprove wrong huko mbeleni.
LAMPARD OUT.
 
Ukweli ni kwamba ugumu wa kushinda mechi anautengeneza LAMPARD mwenyewe. Ukishampanga Abraham, viungo washambuliaji na mawinga wanavunjika moyo kushambulia kwa sababu wanafahamu kumlisha mipira Abraham ni kazi bure.

Wanafahamu kule mbele hakuna mfungaji, Lakini Giroud akianza wachezaji wanacheza kwa hari kubwa kushambulia wanafahamu Giroud ni finisher mzuri.

Tatizo ni Lampard poor players selection, poor tactics, poor sub
Nilipoona viungo wenu katikati mmeanza na Mount Gorginho Bakley

Nikaweka stake ya 30,000 Chelsea anakufa

Wale shefflied na Wolves ,hata Leicester usianze na Viungo nyanya wasiojua kukaba had mwisho. Watakuadhibu mapema

Kama hao Shefflied United ,mwanzo mwisho Wanafanya making na wanatumia mfumo wa 3-4-3

Viungo wengi halafu powerful, Alitakiwa aanze Kante awe anawa nutrilize kwa kuwapiga viatu

Sasa Mount Gorginho na Bakley , hawa by nature sio Wakabaji , labda kama mnacheza na timu zinazo possess sana na kufunguka
 
Chelsea fans wenzangu, Kuna wakati ufike tukubali kuwa team yetu inamapungufu mengi mno.

1. Tunadefence mbovu kabisa ambayo defenders hawana consistent kwenye game wanazocheza, kila beki kule nyuma anamapungufu mengi. Rjames , Cristinsen, Zouma, Rudiger na Marcos pia.

2. Tusitupe lawama zetu nyingi kwa Kepa, sababu kama beki zina mpa pressure mda wote kwa kufanya makosa kwenye making na ukabaji lazima nae atakua dhaifu na kuruhusu magoli mengi .

3. Hatuna mshambuliaj wa uhakika, sio Tammy wala Giroud , wana afadhali lkn hawana uhakika.

4. Pia kiungo chetu bado kina mapungufu , unaweza mtegemea joginho lkn nae anamapungufu yake, Dogo Billy nae bado hana exposure yakutosha, kovasic nae wakati mwingine anazingua sana,

5. Mwisho team yetu inatakiwa ifumuliwe yete yaana kuna wachezaji wengi sana hawapaswi kuwepo Chelsea for next season , kama Tammy, Marcos , Rjames, RlC, Odoi, coz hawashawishi kutokana na kiwango chao,

6. Usajili wa defenders ni wa muhim mno , ili tufanikiwe msimu ujao.

Nawasikisha maoni yng, #CFC
Mc Eleven Giroud mtoe hapo usimweke kwenye hizo takataka Giroud anafunga magoal alafu apotezi nafasi Kama yule mtoto wake mpendwa Abraham kila game tangu ligi irudi Giroud anatupia lakini nimeshangaa Jana kampa benchi Giroud
 
Usajili wa Werner, Ziyech na wanaofatia utakuwa bure kama LAMPARD ataendelea kuwa kocha Chelsea. Tunamuheshimu Lampard kama mchezaji lakini sio kama kocha.

Kiufupi ni poor coach, hana mbinu za kushinda mechi, sio mbunifu, sio mzuri kwenye kufanya selection ya wachezaji 1st eleven na sio mzuri kwenye kufanya sub.

Nilishapotezaga imani naye long time. Mara nyingi hapa nimekuwa nahoji ubora wake, nimekuwa nikijibiwa majibu matamu matamu.

Kwangu Lampard alishakuwa poor coach Labda aje aniprove wrong huko mbeleni.
Kwa mechi ya jana lamps kazingua
Tim yetu ishakuwa ya kuunga unga ni wachezaji wachache ambao wanaweza maintain performance ambao hata hawazidi 3 waliosalia wote ni kama homa za vipindi mechi hii atacheza vizur mechi ijayo atacheza hovyo
Beki zetu na zenyewe sijui huwa zinachagua aina ya game

Chelsea kwa sasa hatuna wachezaj unaoweza sema hata akiingia anaweza badilisha game inatokea tu siku sub inaingia ndio unakuta inabadilisha gane ila hatuna wachezaj ambao huwa unaamini akiingia huyu game itabadilika

Tukubali tu hii tim hazard alikuwa anaibeba uwepo tubwa hazard kwenye tim ilifanya tim pinzan hata zikiwa zinaenda kushambulia hawaendi wote

Stil namwamin lampard nitamjudge next season
Hata ole kuna kipindi alikuwa ananzingua ila alivyofanya sajil zake kidogo kidogo n january akamchukua bruno sahiv ametulia yale maneno ya ole out hayapo
 
Tamaa mbele mauti nyuma, sponsor mwenye namba 3 kifuani ni mkosi tuu.
View attachment 1504299
1594497199533.jpg
 
Nilipoona viungo wenu katikati mmeanza na Mount Gorginho Bakley

Nikaweka stake ya 30,000 Chelsea anakufa

Wale shefflied na Wolves ,hata Leicester usianze na Viungo nyanya wasiojua kukaba had mwisho. Watakuadhibu mapema

Kama hao Shefflied United ,mwanzo mwisho Wanafanya making na wanatumia mfumo wa 3-4-3

Viungo wengi halafu powerful, Alitakiwa aanze Kante awe anawa nutrilize kwa kuwapiga viatu

Sasa Mount Gorginho na Bakley , hawa by nature sio Wakabaji , labda kama mnacheza na timu zinazo possess sana na kufunguka
Kante ni injury mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom