lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Ndio shida yetu mashabikiMkishinda mnamsifia lampard mkifungwa mnamponda mbona hamueleweki nyie
Ndio shida yetu mashabikiMkishinda mnamsifia lampard mkifungwa mnamponda mbona hamueleweki nyie
Lampard kocha mzuri usitake kuwaaminisha watu ushubwada wako we unazani Mpira ni kitu cha kukurupuka inatakiwa kocha avumiliwe atengeneze timu yenye ushindani humuoni klopp alivoanza kazi aliteseka sana na kikosi alichokikuta tatizo lenu nyie mnataka matokeo ya mapema kitu ambacho hakiwezekani kwenye mpiraKwa utopolo ule umechezwa jana tusahau kuhusu mafanikio msimu ujao. Nikianza na kocha, kwakwel hatuna kocha kabisa Lampard hafai kuifundisha Chelsea. Hana mbinu zozote zile za kuifanya timu ishinde, ni aibu mwaka mzima unafundisha wachezaji namna ya kupiga pasi. Lampard hatufai ata chembe aende huko aliko toka, na mara nyingi tunapata matokeo mazuri kwa juhudi za wachezaji si kwa mbinu za Lampard hana anacho jua zaidi ya kupiga pasi.
Ball Possession 77% kwa 23% huku pasi umepiga 809 kwa 251 alafu unafugwa 3 bila huku ni kukosa mbinu. Timu inashindwa kustahimili ubora wake leo inashinda kesho inafugwa uliona wapi bigwa anakuwa kiande namna hii. Kwanza tushukuru sana kuwa katika nafasi tulipo maana hatukufaa kuwa hapo kwa hizi mbinu za huyu Lampard. Sipendi kumuita takataka kutokana na mazuri aliyoyafanya pindi alipokuwa mchezaji.
Kutakuwa hakuna la maana kama umesajili wachezaji wazuri kina Timo Werner, Hakim Ziyech na Kai Havertz kisha uendelee kuwa na Lampard, hana mbinu zozote zile atawafundisha nn sasa? Tunapaswa kuwa na kocha mzoefu na mwenye mbinu.
Kuhusu wachezaji, tena hawa ndio nina hasira nao sana. Kuna matakataka mengi sana katika klabu yetu. Hawa matakataka watupishe watuachie klabu yetu. Wa kwanza ni huyu kubwa jinga aka takataka Abraham hafai kuwa kwenye klabu kama Chelsea aondoke haraka sana kabla hatujampiga shaba. Hilo takataka liondoke asajiliwe Ollie Watkins kutoka Brentford kuwa sub kwa Werner. Kuna huyu bishoo Odoi atoke haraka aje Said Benrahma, Giroud, Batshuayi, Jorginho, Cheek, Muoka mikate, Alonso, Rudiger, Christensen, Zouma, Emerson na Kepa. Hizo takataka zinatakiwa zitoke zituachie timu yetu. Kama kweli tunahitaji tupate timu yenye ushindani na yenye kuchukua mataji tunapaswa tutoe hizo takataka, hazina kiwango cha kucheza Chelsea.
Wachezaji tunao paswa kusajili, kipa tuchukue Nick Pope ama Dean Henderson. Beki tulete David Alaba huyu atakuwa kiongozi kwa mabeki wenzake maana beki bila kiranja ni ujinga. Alaba ni mzuri pia ni mzoefu sana, ongeza na Lucas Digne. Kiungo mkabaji aje Milinkovic Savic.
Imagine zile takataka tumetoa tukabaki na hawa wachezaji,
Dean Henderson
Nick Pope
Lucas Digne
Tomori
David Alaba
Azpilicueta
Mount
Kante
Kovacic
Savic
Ziyech
Wilian
Said Benrahma
Pulisic
Havertz
Ollie Watkins
Werner.
Hicho ndio kikosi cha ushindani sio zile takataka.
Potelea karibu, mimi timu yangu sio nzuri kwasasa hata nisiposhiriki huko ndio vizuri nipate muda wa kujenga timu,Nyekundu, unatuabisha, mko nafasi ya ngapi vile? Shefield kutufunga ni hasara kwako ndugu, au hujui nini hata Europa utaikosa
Vp kuhusu mchezaji wako Abraham?Sawa mkuu haya matatizo tuliyajua hata kabla ligi haijaanza labda kama wengine wamesahau. Pundit wengi waliitabiria Chelsea nje ya top 6 na hata wengine walidiriki kusema Chelsea itakuwa kwenye mid table kwa sababu ya ban na Hazard kuondoka.
Kwa matokeo haya bado tumefanya wonders na Kocha kafanya wonders
Mwaka wake wa kwanza bila usajili na Hazard kuondoka
Kepa ana madhaifu yake lakini hayo madhaifu isingezuia kufungwa labda angekuwa kama GK wa Burnley Pope tungefungwa kamoja hivi
Tatizo la jana ni la timu nzima, Jourginho alicheza vizuri kwenye kuwachezesha wengine ila hakuweza kuwalinda mabeki kama Kante anavyofanya, Pia hakuwa mbun ifu wa kuwachezesha wafungaji, mawinga na striker. Side-passes na back-passes ndizo nilizoziona jana tu
Nategemea Chelsea wata-bounce-back kwenye mechi na Norwich, Liverpool na Wolves, Kila la Heri Chelsea
Utajenga team yako mpaka lini?Maana nyinyi kila season mnajenga teamPotelea karibu, mimi timu yangu sio nzuri kwasasa hata nisiposhiriki huko ndio vizuri nipate muda wa kujenga timu,
Apewe 130k anayotaka kwanza,Vp kuhusu mchezaji wako Abraham?
Tunaijenga kidogokidogo,hatuna haraka kabisa...tumeshayafanya mengi yenye faida kwa timu ikiwemo kujenga uwanja n.k sasa tunajenga timu ya ushindi taratibu.Utajenga team yako mpaka lini?Maana nyinyi kila season mnajenga team
Huwezi ukasajili tim nzima mkuuKwa utopolo ule umechezwa jana tusahau kuhusu mafanikio msimu ujao. Nikianza na kocha, kwakwel hatuna kocha kabisa Lampard hafai kuifundisha Chelsea. Hana mbinu zozote zile za kuifanya timu ishinde, ni aibu mwaka mzima unafundisha wachezaji namna ya kupiga pasi. Lampard hatufai ata chembe aende huko aliko toka, na mara nyingi tunapata matokeo mazuri kwa juhudi za wachezaji si kwa mbinu za Lampard hana anacho jua zaidi ya kupiga pasi.
Ball Possession 77% kwa 23% huku pasi umepiga 809 kwa 251 alafu unafugwa 3 bila huku ni kukosa mbinu. Timu inashindwa kustahimili ubora wake leo inashinda kesho inafugwa uliona wapi bigwa anakuwa kiande namna hii. Kwanza tushukuru sana kuwa katika nafasi tulipo maana hatukufaa kuwa hapo kwa hizi mbinu za huyu Lampard. Sipendi kumuita takataka kutokana na mazuri aliyoyafanya pindi alipokuwa mchezaji.
Kutakuwa hakuna la maana kama umesajili wachezaji wazuri kina Timo Werner, Hakim Ziyech na Kai Havertz kisha uendelee kuwa na Lampard, hana mbinu zozote zile atawafundisha nn sasa? Tunapaswa kuwa na kocha mzoefu na mwenye mbinu.
Kuhusu wachezaji, tena hawa ndio nina hasira nao sana. Kuna matakataka mengi sana katika klabu yetu. Hawa matakataka watupishe watuachie klabu yetu. Wa kwanza ni huyu kubwa jinga aka takataka Abraham hafai kuwa kwenye klabu kama Chelsea aondoke haraka sana kabla hatujampiga shaba. Hilo takataka liondoke asajiliwe Ollie Watkins kutoka Brentford kuwa sub kwa Werner. Kuna huyu bishoo Odoi atoke haraka aje Said Benrahma, Giroud, Batshuayi, Jorginho, Cheek, Muoka mikate, Alonso, Rudiger, Christensen, Zouma, Emerson na Kepa. Hizo takataka zinatakiwa zitoke zituachie timu yetu. Kama kweli tunahitaji tupate timu yenye ushindani na yenye kuchukua mataji tunapaswa tutoe hizo takataka, hazina kiwango cha kucheza Chelsea.
Wachezaji tunao paswa kusajili, kipa tuchukue Nick Pope ama Dean Henderson. Beki tulete David Alaba huyu atakuwa kiongozi kwa mabeki wenzake maana beki bila kiranja ni ujinga. Alaba ni mzuri pia ni mzoefu sana, ongeza na Lucas Digne. Kiungo mkabaji aje Milinkovic Savic.
Imagine zile takataka tumetoa tukabaki na hawa wachezaji,
Dean Henderson
Nick Pope
Lucas Digne
Tomori
David Alaba
Azpilicueta
Mount
Kante
Kovacic
Savic
Ziyech
Wilian
Said Benrahma
Pulisic
Havertz
Ollie Watkins
Werner.
Hicho ndio kikosi cha ushindani sio zile takataka.
Usiende kw klopp kwanza Ole tu ni mfano sahihiLampard kocha mzuri usitake kuwaaminisha watu ushubwada wako we unazani Mpira ni kitu cha kukurupuka inatakiwa kocha avumiliwe atengeneze timu yenye ushindani humuoni klopp alivoanza kazi aliteseka sana na kikosi alichokikuta tatizo lenu nyie mnataka matokeo ya mapema kitu ambacho hakiwezekani kwenye mpira
Vuteni subira wakuu, Hata OGS hakuwa na first eleven kwa muda mrefu now kaipata na anaendelea kuiboresha.Nakuunga mkono kocha gani hana first eleven ya kudumu karibu mwisho wamsimu hana wining team anatapatapa tu, tunahitaji kocho muzoefu kama conte sari nk lampard anafaa kua msaidizi
Msimu uliopita Ziyech alikua linked na Arsenal, nikasema sasa hapa tunapata winger madude gani sijui yakatokea akaja Pepe. Kwa Ziyech pale mmepata mtuUko sahihi, naunga mkono ulichokiona. Tukishambuliwa tunakuwa vulnerable sana, tukienda mbele tunakuwa butu hatuna creativity yeyote
Overall possession jana ilikuwa 74%, Harvertz ni wa muhimu sana asaidiane na Ziyech na Willian na Pulisic
Kwani kufungwa umeanza tokea upate hao new kit sponsors au tokea mwanzo wa msimu??..Tamaa mbele mauti nyuma, sponsor mwenye namba 3 kifuani ni mkosi tuu.
Hapo kwenye 1st eleven ya kudumu, mtukuwa mnamuonea Frankie,Nakuunga mkono kocha gani hana first eleven ya kudumu karibu mwisho wamsimu hana wining team anatapatapa tu, tunahitaji kocho muzoefu kama conte sari nk lampard anafaa kua msaidizi
Yaani unacheza na timu inayochezea(possess) mpira kuliko wewe, halafu uanze na viungo wasio wakabaji???Nilipoona viungo wenu katikati mmeanza na Mount Gorginho Bakley
Nikaweka stake ya 30,000 Chelsea anakufa
Wale shefflied na Wolves ,hata Leicester usianze na Viungo nyanya wasiojua kukaba had mwisho. Watakuadhibu mapema
Kama hao Shefflied United ,mwanzo mwisho Wanafanya making na wanatumia mfumo wa 3-4-3
Viungo wengi halafu powerful, Alitakiwa aanze Kante awe anawa nutrilize kwa kuwapiga viatu
Sasa Mount Gorginho na Bakley , hawa by nature sio Wakabaji , labda kama mnacheza na timu zinazo possess sana na kufunguka
Utabadilisha kocha mpk liniTafuta comment yangu ya mechi ya juzi tuliyoshinda 3-2, nilicomment kwamba HONGERNI CHELSEA KWA USHINDI WA POINT 3 MUHIMU, ila tunahitaji engineer kutoka lamasia aje asuke kikosi upya.
Dean Henderson ni kipa wa United na sio wa kuuzwa yule..Sio lazima wao waripoti. Ila ukweli ni kuwa hiyo taarifa ata mm nimeiona mahara. Ila huyo Ugurcan Carik si mzuri kivile maana kwenye michezo 31 ana clean sheet 4 tu. Kwann tusichukue Nick Pope ama Dean Henderson