Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Amberruti kabadili nepi
Mwajuma unapenda sana mtungo ndo maana hauna akili.
Mwajuma unapenda sana mtungo ndo maana hauna akili.
Nishakwambia acha kupigwa mtungo..umesuguliwa hauna ladha tenaAmberruti kabadili nepi
Nishakwambia acha kupigwa mtungo..umesuguliwa hauna ladha tena
Wee dada tafuta bwana uolewe acha kudanga mitandaoniAmberruti umekula hapo? au nije nijipigie na mimi nikupe hela ya msosi?
Wee dada tafuta bwana uolewe acha kudanga mitandaoni
Usikimbie tu baada ya mechi. Urudi kifua mbere...!Mnawajua Sheffield wenye United yao .kipigo chaja
Tutaona na uhakika hamtoboiUsikimbie tu baada ya mechi. Urudi kifua mbere...!
Man u Fan's mna mdomo sanaOfficial: Bruno Fernandes' second goal against Brighton wins Premier League Goal of the Month for June #mulive
Hutaamini dogo anakula mkataba mrefu zaidi.Katiba ya nchi yetu inamruhusu kila mwananchi kutoa mawazo yake kwa uhuru, haya ni mawazo yako.
Kwa Chelsea bado hajafikia level ya kupewa heshima, sana sana kwa kumuheshimu tutamtoa kwa mkopo.
Hawajawahi kubadilika, walikuaga hivi hivi hata mababu zao, na ndio maana mashabiki wa timu zingine wanashukuru wakifungwa hao kwa sababu mitaani tunapumua. Wengi wa mashabiki wa Man U ni kundi la wahuni hawajui hata nini maana ya ushabiki. Kama wako wastaarabu ni wachache sanaMashabiki wenzangu nqwaomba msiweweseke n hili wimbi la nyumbu kwenye uzi wetu tena wengi wao wanakuja kututukana. Wengi wao ni wale wasiojua mpira wanaenda na mihemko tu. Jiulizeni kipindi cha nyuma mbona hawakuonekana leo hii wao ndio wanatuita sisi weupe.
Hao ni aina ya plastic fans wanaibuka kimihemuko hasa timu ikiwa inafanya vizuri ikifanya vibaya ndio waleunaanza kuwasikia kocha Ole afukuzwe. Kwa kifupi ndio tunaita mashabiki maandazi. Iliwaumie vizuri na mechi ya FA tunawqtoboa halafu tunawafa kulekule kuwakejeli bila kuwatukana.