Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuseme ukweli lile goli la Tammy katafuniwa na RLC
Willian kamosa goli la wazi mazingira yale yale Tammy kakosa tungekuwa 5-2
 
Kwa upumbavu huu waliocheza leo Chelsea tunapaswa tusajili beki zote pale nyuma kasoro upande wa Azp, kiungo mkabaji huyu ni lazima. Chelsea tukipoteza mpira tuna hangaika sana kuupata hapa Savic asajiliwe
jamaa unajifanyaga unajuaaaaa kumbe empty
 
Jorginho angeanza tangu mwanzo Hawa jamaa wasingepata magoal yao kirahisi ndio mjue umuhimu wa jorginho baada tu ya kuingia kila kitu kikabadilika sijui kwanini Lampard anampiga benchi huyu jamaa?
 
Tuache unafiki, nyie si ndio kila siku mnasema Jor kama hawezi kucheza pembeni auzwe!!! Kuhusu benchi nadhani hii kila siku nasema humu Lampard ana Uingereza mno na ndicho kitakacho muharibia. Kumbuka ile penalti alimzingua Drogba akaenda kupiga yy wakati Drogba alikuwa kwenye bio za kuwania kiatu cha dhahabu. Alifanya hivyo sababu ya Uingereza ili rooney achukue kile kiatu lakin bahati nzuri haikuwa hivyo.
Ebu nenda kaangalia comment zangu nioneshe wapi niliwahi kusema jorginho auzwe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom