OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Endelea kurudia mkuu..Narudia tena mechi itaisha sare Subiri Zaha aanze mambo yake.
GGMU
Endelea kurudia mkuu..Narudia tena mechi itaisha sare Subiri Zaha aanze mambo yake.
GGMU
Simkubali Loftus Cheek.Sub ya Tammy na Cheek bado timu inacheza waruwaru, aingie Jognho atulize timu.
Bado goli moja mkuu mechi inaisha sare hiiEndelea kurudia mkuu..
Labda kama miujiza itokeeBado goli moja mkuu mechi inaisha sare hii
GGMU
Dakika 10 za mwisho sipati picha ulivyobana mapajaKWA CHELSEA HII, MUNGU NDIYE MUWEZA YA YOTE. HONGERENI THE BLUES POINT 3 MUHIMU.
Narudia tena mechi itaisha sare Subiri Zaha aanze mambo yake.
GGMU




Aibu mzee babaNarudia tena mechi itaisha sare Subiri Zaha aanze mambo yake.
GGMU
Mechi hazilinganishwi hivyo man utd kama atashinda ni kwa mbinu zingine sio kutegemea ubovu wa beki ya chelsea ,ingekuwa hivyo chelsea angekuwa chini ya man utd kwenye msimamoChelsea beki yenu inafunguka sana, alafu DM hasaidii kulinda ukuta ipasavyo, ngoja mkutane na Man Utd FA Cup jinsi beki yenu inavyokatika mtawatafuta ubaya Bruno,Rashford+GreenWood
Lucky winNakuzoom. Sipati picha ulivyonuna![]()
Zahaaaaaaa mechi itaisha sare.
GGMU
Au Man city wangetunyeshea magoliMechi hazilinganishwi hivyo man utd kama atashinda ni kwa mbinu zingine sio kutegemea ubovu wa beki ya chelsea ,ingekuwa hivyo chelsea angekuwa chini ya man utd kwenye msimamo