Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Si ndiyo maana kaanza na Barkley!??

Ingawa ameondoa creativity midfield. Mipira itabutuliwa sana tu leo

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Kikawaida huwa anaanza na Kanté, Mount na Barkley lakini leo Kanté hayupo tulitegemea kumuona Jorginho aanze. Kilichonishangaza hadi wanaompinga nao wameshangaa kwa nini hajaanza
 
LONDON IS BLUE Ebu uwe kidogo serious alzipicueta auzwe? Hata jorginho si mchezaji wa kuuzwa Ni bonge la mchezaji sema Ni kwamba wewe upendi uchezaji wake ila sio kwamba Ni mchezaji mbaya jorginho angekuwa yupo man City ndio ungejua ulichoongea hakina mantiki
Uyu LONDON IS BLUE ni yule ARV wa Man United huwa anatumaga skrinshot Kule jukwaa la arsenal
 
View attachment 1499020

Hiki kilikuwa kikosi cha kwanza Liverpool miaka 4 iliyopita klop alipopewa kandarasi ya ukocha liver

Liverpool kupata mafanikio waliyopata sasa Takribani wachezaji 8 wa 1st eleven waliuzwa na Wachezaji 3 wamejeuka kuwa sub.

Kwa lampard Chelsea huu ndio kwanza msimu wake wa kwanza, tusitegemee mabadiliko ya kikosi chetu yatatokea ndani ya msimu ujao, bado tuna safari ndefu wazee.

Wachezaji hawa tulionao watatoka taratibu na wapya wataingia taratibu mpaka baadae tunajikuta tuna kikosi super cha kubeba makombe.

Tuweni wavumilivu wazee, najua inatuuma sana kuwa na kikosi cha moto baridi moto baridi, tumpe kocha muda asuke kikosi kipya.

Na nyota njema imeanza kuonekana asubuhi kwa usajili wa Werner na Ziyech na bila shaka dirisha hili la usajili pia tutasajili beki wa kushoto na beki wa kati.

Hawa watakuwa ingizo Jipya la wachezaji 4 kwenye 1st eleven, wachezaji wa zamani watabaki 7, january 2021 tukaingiza labda mmoja na dirisha kubwa lijalo tukaingiza labda 3 tayari kikosi kimeshakuwa na sura mpya kabisa.

Msimu wa 21/22 ni mwendo wa kukusanya vikombe bila huruma yoyote hakutakuwa na msalie mtume ni mwendo wa kutoa vipigo heavy
Huo Muda wa kusubir kwa mpira aa Chelsea hakunaga...

Sisi tuta force ivo ivo kikosi mbele kwa mbele kitakaa poa tu...
 
Ukiondoa mechi za Mancity dhidi ya Aston villa na Watford ambazo Mancity ilishinda 8-0 na 6-1, Chelsea ndio timu inayoongoza EPL kwa kuwa na magoli mengi ya kufunga kwa mechi moja ikiwa na average ya 3.16 per match na ukiweka hizo mechi mbili nilizozitaja ndipo Mancity inakuja ya kwanza, Chelsea ya pili. Kilichotuangusha ni kufungwa magoli. Tunazo clean sheet chache sana

Chelsea ni ya 15 kwa clean sheet (7)- too bad
Chelsea ni ya 3 kwa kushinda mechi (17) mbele ni Man city (21) na Liverpool (29) tu
Chelsea ni ya 4 kwa kufunga magoli 60, walio mbele ni Leicester city (63), Liverpool (72) na Man city (81)
Unaona kinachotuangusha ni kufungwa tu, hata mechi nyingi tulizoshinda tulifungwa magoli kadhaa
Katika mechi 17 tulizoshinda 10 tumefungwa hata kama tulitoka na point 3 zote
Kwa maelezo haya mafupi, uwezo wa kufunga tunao, wakiongezeka akina Ziyech na Werner ndio itakuwa hatari
Tatizo kubwa ni kujilinda na nashangaa mpaka sasa hivi hatujalishughulikia hilo tatizo. Ndio maana naungana na wanaosema dili la Havertz liwekwe kando kwanza, tuwalete akina LB kama Ben Chilwell au Álex Grimaldo, au CB kama akina Upamecano, Konate, Alex Telles ana miaka 27, kuwa na senious wengi kwenye timu sio afya, Azpi anatosha kuwapa uzoefu akina James na watakaokuja. Hata Alonso akibaki atasaidia.
Tuko vizuri sana Mabeki ndo tatizo..
 
1st goal. Giroud
1594143017591.gif
 
Team yetu haiwezi kutunza magoli salama yetu tufunge zaidi yao hadi sasa ni 1-2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom