Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa arsenal timu kubwa una UEFA ngapi na chelsea timu ndogo ina UEFA ngapi? Hata EPL nimekupita kimafanikio.
Kwahiyo timu kubwa unaijudge kwa uefa?basi Nottingham Forrest ni kubwa kupita chelsea
 
Prediction Chelsea vs Crystal Palace

Formation: 4-3-3

Giroud, Pulisic

Pulisic - Giroud - Willian

Mount - Jorginho - Barkley

Azpilicueta - Zouma - Christensen - James

Kepa
Imekaa vzr hii
 
ENZO na LONDON IS BLUE Wakimuonaga tu Barkley matumbo yao yanachafuka sijui Barkley kawakosea Nini?
Cash Money Forever
Barkley anauzi siku akiamua kusinzia uwanjani na anauzi kweli kweli kama mtu huna uvumilivu unaweza mvamia uwanjani kama upo. Lakini uzuri wake akiamua kucheza huwa analeta matokeo yanayotakiwa na ndio maana wakati mwingine kuna mashabiki walimuitwa The Next FL
 
Namuonea huruma Jorginho...
IMG_20200707_190312.jpg


Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko kushinda hii mechi kwa kumtegemea dogo Glimour hapo katikati.

Dogo hana uzoefu aisee hii sio FA nini hichi jamani?

Labda sio kwa crystal palace ninayoijua mpira wa nguvu nyingi, hapo katikati patakuwa lango la adui.

Wacha tuone hii mechi itakuwaje
Tusi judge sana. Ngoja tusubiri muda utasema.
 
Ngoja tuone kajipanga vipi na huyo dogo. Ila midfield naona iko nyoronyoro mno. Yan hapo kati hakuna matured hata mmoja. Bora hata kwenye backline angekuwepo Rudiger.
Si ndiyo maana kaanza na Barkley!??

Ingawa ameondoa creativity midfield. Mipira itabutuliwa sana tu leo

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi back up kipa ni lazima awe mtu mzima hivyo?

Tuchukue dogo wa under 21 team.

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Hao watoto inabidi wapate playing time ya kutosha. Back up ya makipa unahitaji mzee mwenye experience ya kutosha anaweza kuhandle pressure.

Hata ivyo tunaye dogo wa anaitwa Cumming nadhani. Ila sioni akipata nafasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom