Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna watu huku hawastahili kabisa kuwa mashabiki wa Chelsea bali New castle, West ham. Shabiki mzima unaropoka Barkely mchezaji wa kutegemea Chelsea, kwahiyo tukikutana na city, man u, Bayern, Liver Barkely ashikishwe ukuta?

Kuna haja ya kuhide comments za wapumbavu wachache hapa, nisione hizo comments za kijinga.
 
Kuchukua ubingwa msimu ujao au misimu kadhaa ijayo, lazima tujenge timu yenye ushindani mkubwa, kuna wachezaji hawafai kamwe kuendelea kuichezea chelsea

Barkely, keppa, Rudger, Batshuayi, Azipucueta, Alonso, ermason, Jognho

Wachezaji matakataka ya kubaki sub

Odoi, L.Cheek, Tammy, Christensen, Zouma, Mount.

Uongozi wanataka kumsajili Harvetz wana haki hiyo kabisa walishaona kwa sasa tuna attacking Mildfilder takataka waondolewe, huku mjinga mmoja ameshiba makande anasema Barkely kiungo wa kutegemea
 
Jitoeni ufahamu tuu mchezaji yeyote ambaye yuko kwenye mapendekezo ya kuuzwa kama Barkely na wanaomaliza mkataba wao kama willan huwa wanawasha moto sana kuwashawishi waajiri wao wasiwauze au waongezewe mkataba na zaidi kuzivutia timu kubwa sokoni wanunuliwe.

Barkely huyu akibaki msimu ujao mtamtukana, willan akiongezewa mkataba mtamtukana. Ni kocha kilaza pekee asiyekuwa na mbinu kama Lampard atawabakiza.
LONDON IS BLUE Barkley Ni mchezaji mzuri tangu yupo Everton hiv unamuonaga Barkley wa team ya Taifa ya England na wa Chelsea SEMA Ni kwamba matumizi yake ndio yanachangia sometimes asifanye vizuri Chelsea ndio maana japo alikuwa anapigishwa benchi Chelsea lakini kwenye team ya Taifa Ni first eleven panga pangua na anakichafua kweli kweli.Barkley ndio kiungo mshambuliaji pekee wa kiingereza anayepiga pass za ufundi ukiachana na Hilo anajua kupiga mashoot ya mbali pia anajua kufunga mfumo wa sari ulimfanya asin'gae Ni kwa sababu sarri anapenda Sana mpira wa pass fupi fupi zaidi ambao sio rafiki kwa style ya uchezaji wa Barkley,soka la Barkley linataka kasi,pass ndefu a.k.a counter attack na kushambulia kwa Kasi lango la adui kwa kupiga pass za mwisho.
lembu
Southern Highland
Cash Money Forever
Ollachuga Oc
ipyax
ENZO
 
Kuchukua ubingwa msimu ujao au misimu kadhaa ijayo, lazima tujenge timu yenye ushindani mkubwa, kuna wachezaji hawafai kamwe kuendelea kuichezea chelsea

Barkely, keppa, Rudger, Batshuayi, Azipucueta, Alonso, ermason, Jognho

Wachezaji matakataka ya kubaki sub

Odoi, L.Cheek, Tammy, Christensen, Zouma, Mount.

Uongozi wanataka kumsajili Harvetz wana haki hiyo kabisa walishaona kwa sasa tuna attacking Mildfilder takataka waondolewe, huku mjinga mmoja ameshiba makande anasema Barkely kiungo wa kutegemea
LONDON IS BLUE Ebu uwe kidogo serious alzipicueta auzwe? Hata jorginho si mchezaji wa kuuzwa Ni bonge la mchezaji sema Ni kwamba wewe upendi uchezaji wake ila sio kwamba Ni mchezaji mbaya jorginho angekuwa yupo man City ndio ungejua ulichoongea hakina mantiki
 
Watu wana utani sana humu ndani,, wenyewe kila mchezaji aliyepo chelsea ni mbovu...

Kuna muda hadi kante walimkataa,, sasa hivi taratibu wanaanza kumkataa kovacic, nakumbuka rudiger alivyokua majeruhi tulikua tunaomba apone haraka kwa sababu ndio alikua tumaini letu..

Mimi naamin 90% ya wachezaji waliopo chelsea wanastahili kuwepo pale. Kinachowashusha viwango mara nyingi ni hii badili badili ya makocha.

Wachezaji wanashindwa kuelewana kwa sababu ya hilo...

Ukiniambia batshuayi mbaya ntakuelewa ,, ila waliobaki wengi ni wazuri, ni zile up and downs tu tunazopitia ndo zinawaponza

Tusifikirie kusajili wachezaji wapya wengi kwa msimu mmoja tukijua ndo suluhisho,, itatugharimu pia..

Onyl few players wanatakiwa kuwa ingizo jipya , wakutane na waliopo sasa ndo itatengenezwa timu nzuri
 
camily Mzee umemaliza kila kitu ndio tatizo la mashabiki uchwara Kuna mmoja ndio kanichanganya kabisa mpaka nikajiuliza huyu anaangalia mpira kweli au anaangalia matokea ya livescore eti anasema alzipicueta Ni mbovu auzwe? Hiv mtu Kama huyu unamsaidiaje?
 
Anajua kupiga passi za ufundi??????!! dah! aisee.
Wewe uoni pass ya goal aliyopiga dhidi ya Watford kwenda kwa Giroud? Au hujaona assist aliyotoa kwa Pedro kwenye ushindi wa goal 4 dhidi ya Everton
 
View attachment 1499020

Hiki kilikuwa kikosi cha kwanza Liverpool miaka 4 iliyopita klop alipopewa kandarasi ya ukocha liver

Liverpool kupata mafanikio waliyopata sasa Takribani wachezaji 8 wa 1st eleven waliuzwa na Wachezaji 3 wamejeuka kuwa sub.

Kwa lampard Chelsea huu ndio kwanza msimu wake wa kwanza, tusitegemee mabadiliko ya kikosi chetu yatatokea ndani ya msimu ujao, bado tuna safari ndefu wazee.

Wachezaji hawa tulionao watatoka taratibu na wapya wataingia taratibu mpaka baadae tunajikuta tuna kikosi super cha kubeba makombe.

Tuweni wavumilivu wazee, najua inatuuma sana kuwa na kikosi cha moto baridi moto baridi, tumpe kocha muda asuke kikosi kipya.

Na nyota njema imeanza kuonekana asubuhi kwa usajili wa Werner na Ziyech na bila shaka dirisha hili la usajili pia tutasajili beki wa kushoto na beki wa kati.

Hawa watakuwa ingizo Jipya la wachezaji 4 kwenye 1st eleven, wachezaji wa zamani watabaki 7, january 2021 tukaingiza labda mmoja na dirisha kubwa lijalo tukaingiza labda 3 tayari kikosi kimeshakuwa na sura mpya kabisa.

Msimu wa 21/22 ni mwendo wa kukusanya vikombe bila huruma yoyote hakutakuwa na msalie mtume ni mwendo wa kutoa vipigo heavy
Toka lini Chelsea FC wameanza kuwa na subira? Hayo mambo ya kumpa kocha muda waachie Liverpool na Arsenal.
Chelsea, ManCity na ManU hakuna kusubiri
 
Ficha ujinga wako kiungo mshambuliaji wa kumtegemea?

Man city watasemaje kwa KDB?

Man u watasemaje kwa Bruno?

Yaani ubingwa uchukue kwa kumtegemea takataka Barkely? We jamaa mpira unaujua sawa sawa?
Mimi sijaenda huko kwenye kufananisha mr Mjanja, Wewe unajua kila kitu kapuku mkubwa wewe wala hujui kitu unachojua ni kutukana tu
 
Kuna watu huku hawastahili kabisa kuwa mashabiki wa Chelsea bali New castle, West ham. Shabiki mzima unaropoka Barkely mchezaji wa kutegemea Chelsea, kwahiyo tukikutana na city, man u, Bayern, Liver Barkely ashikishwe ukuta?

Kuna haja ya kuhide comments za wapumbavu wachache hapa, nisione hizo comments za kijinga.
We mpumbavu wala sio shabiki wewe ni teja tu
 
Naomba nimuongelee Zouma leo
Nimecheki mechi zake kadhaa ikiwemo ile na Watford, ukiondoa sometimes anakosa concertation na blunders za hapa na pale lakini anazo credits hizi nzuri sana
  1. Yuko very sharp kwenye kutoa pasi
  2. Mipira ya juu anaziwania kwa ukamilifu. Anatumia vizuri urefu wake
  3. Akifanyia kazi ufungaji wa magoli ya vichwa kwa vile ni mzuri sana kwenye kuruka na anao urefu wa kufanya hivyo
Sisemi awe namba one kwenye CB lakini anaweza kuwa CB mbadala
 
Tukubaliane wote kwamba kwa sasa timu yetu sio bora. Nilishasema kuna wachezaji wanaonekana bora kwenye Chelsea mbovu ya sasa.

Tuache kuwapamba wachezaji wenye viwango duni it's a matter of time wataondoka, kwa sasa tuombe Mungu tumalize top 4.
Na cotext yetu ni Chelsea mbovu. tukishasajili wachezaji bora hao watauzwa au kuwa backup. tusiposajili bado hao ndio bora kwa sasa
 
Hivi wewe mpira unaujua kweli si ungekuwa kocha sasa, wachezaji wanacheza walichofundishwa na kocha sasa wewe from nowhere unakosoa kama vile ndio uliwacoach. Back pass is part of football game play strategy. Hata vitani ukiona ni ukuta mzito maaskari wanarudi nyuma kuja na strategy nyingine
Real
 
Kuchukua ubingwa msimu ujao au misimu kadhaa ijayo, lazima tujenge timu yenye ushindani mkubwa, kuna wachezaji hawafai kamwe kuendelea kuichezea chelsea

Barkely, keppa, Rudger, Batshuayi, Azipucueta, Alonso, ermason, Jognho

Wachezaji matakataka ya kubaki sub

Odoi, L.Cheek, Tammy, Christensen, Zouma, Mount.

Uongozi wanataka kumsajili Harvetz wana haki hiyo kabisa walishaona kwa sasa tuna attacking Mildfilder takataka waondolewe, huku mjinga mmoja ameshiba makande anasema Barkely kiungo wa kutegemea
Katika waru wanaojua mpira naomba nikuweke.. Ila naomba hapoa loft-cheek hawepo katika kipengele cha kuuzwa mapema.. Pamoja na barkley
 
LONDON IS BLUE Barkley Ni mchezaji mzuri tangu yupo Everton hiv unamuonaga Barkley wa team ya Taifa ya England na wa Chelsea SEMA Ni kwamba matumizi yake ndio yanachangia sometimes asifanye vizuri Chelsea ndio maana japo alikuwa anapigishwa benchi Chelsea lakini kwenye team ya Taifa Ni first eleven panga pangua na anakichafua kweli kweli.Barkley ndio kiungo mshambuliaji pekee wa kiingereza anayepiga pass za ufundi ukiachana na Hilo anajua kupiga mashoot ya mbali pia anajua kufunga mfumo wa sari ulimfanya asin'gae Ni kwa sababu sarri anapenda Sana mpira wa pass fupi fupi zaidi ambao sio rafiki kwa style ya uchezaji wa Barkley,soka la Barkley linataka kasi,pass ndefu a.k.a counter attack na kushambulia kwa Kasi lango la adui kwa kupiga pass za mwisho.
lembu
Southern Highland
Cash Money Forever
Ollachuga Oc
ipyax
ENZO
Tutajie mechi 4 tu alizofanya vizuri timu ya taifa... Au taja mechi 5 alizocheza vzr everton..

Barkley hajawah kuwa kiungo bora katika timu yoyote, nimchezaji wa kawaida sana
 
Huyo muoka mikate hana jipya. Tatizo Lampard Uingereza mwingi mno 1st eleven asilimia kubwa anaweka Waingereza ili waonekane
Sasa ulikuwa unataka afanyaje?lazma wachezaji wa timu ya taifa wapate nafasi ili NT nayo ifanye vizuri,we huoni hapa Mwakyembe anakomaa wachezaji wa kigeni mwisho watano tu ktk ligi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom