Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Huyu huwezi kumpata kwa sasa, subiri hadi jumamosi washinde kwa WatfordMkuu nililala vip match iliishaje?
Huyu huwezi kumpata kwa sasa, subiri hadi jumamosi washinde kwa WatfordMkuu nililala vip match iliishaje?
Watu wanasahau mechi ya jana ilikua ni derby
Hii jezi haifai kabisa. Tayari mikosi



hiyo trela tu.Dah lakini twende mbele turudi nyuma, tusilaumu kuzidiwa mbinu, ubunifu ila wazee pale nyuma pameoza. Hatuna beki kabisa. Kama pesa ipo/itapatikana baada ya mauzo tusajili beki 4 za nguvu.
Tuingie gharama ya kujenga ukuta mwingine. Dah kwa beki hizi hapana aisee, chelsea hii imevunja historia ya beki mbovu.
Hili jina ni la kwako, usinigeuzie kibaoSawa Mariam birian
Dah tuheshimiane mkuu.Hivi mwanadada olachuga yupo leo wanabakwa
Sio mpk lazima tuuze tunaweza kusajil beki bila hata kuuza,kama tunamtaka kai hervetz kwa 60 na kuendelea je ya beki itakosekana kweliDah lakini twende mbele turudi nyuma, tusilaumu kuzidiwa mbinu, ubunifu ila wazee pale nyuma pameoza. Hatuna beki kabisa. Kama pesa ipo/itapatikana baada ya mauzo tusajili beki 4 za nguvu.
Tuingie gharama ya kujenga ukuta mwingine. Dah kwa beki hizi hapana aisee, chelsea hii imevunja historia ya beki mbovu.
West ham walicheza mpira wa kauntataki ..ule mpira tuliocheza jana tukicheza na timu kama man u tutapigwa nyingi ..maana hatuna beki za ku struggle na kuweza kuzuia mipira mirefu..Jana mpira ulitukataa kabisa. Labda wachezaji hawakuwa na morale, labda kocha hakuwapa mbinu kwa sababu ya timu ndogo, labda westaham walituzidi kwa mbinu, labda uchovu wa mwchi za karibu karibu
KUVUNJIKA KWA KOLEO SIO MWISHO WA UHUNZI
Tutakutana na Watford tutawararua na pia Crystal Palace tutawafunga, Shefield United tutabeba point zote 3 na Norwich tutamaliza safari ya top 4 kwao ili Liverpool tumalizane nae kiume hiyo tarehe 18
Hahaha nipo mzee wa kazi ...mambo mazuri yanakujaHuyu huwezi kumpata kwa sasa, subiri hadi jumamosi washinde kwa Watford


Mechi ya jna beki walituchoma sanaDah lakini twende mbele turudi nyuma, tusilaumu kuzidiwa mbinu, ubunifu ila wazee pale nyuma pameoza. Hatuna beki kabisa. Kama pesa ipo/itapatikana baada ya mauzo tusajili beki 4 za nguvu.
Tuingie gharama ya kujenga ukuta mwingine. Dah kwa beki hizi hapana aisee, chelsea hii imevunja historia ya beki mbovu.
Bora jana sikupoteza muda na usingizi wangu kuangalia hiyo mechi. Poleni kwa kucheza madudu, poleni kwa kufungwa, ili dhahabu iwe safi lazima ipite kwenye tanuru la moto.
Tukimaliza top 4 tumshukuru Mungu.
Kombe la FA tutatoka mikono mitupu, man u yuko moto na hatuwezi kumfunga kipara mara mbili
Tufocus kwenye usajili kwa sasa.
Hao wachezaji ni wazuri tatizo jana hawakujituma kabisa. Tukumbuke kuwa ni hawa hawa ndio waliotutoa mbali kwenye utabiri wa kushuka daraja ama kushika namba 10. Tuangalie wachezaji na kocha watarespond kivipi kwenye mechi zijazo. Kwa quality ya wachezaji tulionao kushinda na kufungwa is expected tena sanaDah lakini twende mbele turudi nyuma, tusilaumu kuzidiwa mbinu, ubunifu ila wazee pale nyuma pameoza. Hatuna beki kabisa. Kama pesa ipo/itapatikana baada ya mauzo tusajili beki 4 za nguvu.
Tuingie gharama ya kujenga ukuta mwingine. Dah kwa beki hizi hapana aisee, chelsea hii imevunja historia ya beki mbovu.
King Ngwaba unaonekana tu Chelsea ikifungwaUsajili gani tena munataka? Si mumeshasajili Pulisic, Zyech na Werner!!!
Enewey! Top Four sio lazima kuingia Coz Man City hatocheza CL kwahiyo Top Five atashiriki.
King Ngwaba unaonekana tu Chelsea ikifungwa
West ham walicheza mpira wa kauntataki ..ule mpira tuliocheza jana tukicheza na timu kama man u tutapigwa nyingi ..maana hatuna beki za ku struggle na kuweza kuzuia mipira mirefu..
Lampard atumie mbinu za kuzuia zaidi na kuvizia ..
Yan willian kupew miaka mitatu kazi sanaLitafanyika kosa sana kumuachia huyu jamaa kwa ajili ya ziyech mgeni wa EPL. Ziyech asipoclick fasta huku Willan hayupo tutaimba yeloooooi yelooooi namba saba kitani.