Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unakuwaga mpole hivi ukivalishwa khanga na kumwagiwa maji.Bora jana sikupoteza muda na usingizi wangu kuangalia hiyo mechi. Pole kwa kucheza madudu, poleni kwa kufungwa, ili dhahabu iwe safi lazima ipite kwenye tanuru la moto.
Tukimaliza top 4 tumshukuru Mungu.
Kombe la FA tutatoka mikono mitupu, man u yuko moto na hatuwezi kumfunga kipara mara 2.
Tufocus kwenye usajili kwa sasa.
Nasoma comments za mashabik wa chelsea naishia kucheka tu, yaani leo mmembadilikia Lampard kwel
Mnaosema Lampard hafukuzwe hampo sahihi, hiki ndio kipindi cha ku'support timu yenu na kocha wenu, timu haijengwi kwa msimu mmoja jamani, Lampard apewe misimu mitatu ya kujenga timu
Pia Lampard hawezi sajiri timu yote mpya, maingizo yanainguzwa taratibu kila dirisha la usajiri, msifikir mafanikio ya Liverpool na Klop yalijengwa kwa msimu mmoja, wamevumilia wale, Klop alikuta vilaza kibao pale Anfield ila aliwaondoa taratibu
Mbona sisi tunamvulia OGS wetu, loose/draw/win tupo naye pamoja
Bro kinachotuuma sisi ni mbinu duni za Lampard angalia kikosi cha Everton na pia angalia mbinu za Ancelotti.Nasoma comments za mashabik wa chelsea naishia kucheka tu, yaani leo mmembadilikia Lampard kwel
Mnaosema Lampard hafukuzwe hampo sahihi, hiki ndio kipindi cha ku'support timu yenu na kocha wenu, timu haijengwi kwa msimu mmoja jamani, Lampard apewe misimu mitatu ya kujenga timu
Pia Lampard hawezi sajiri timu yote mpya, maingizo yanainguzwa taratibu kila dirisha la usajiri, msifikir mafanikio ya Liverpool na Klop yalijengwa kwa msimu mmoja, wamevumilia wale, Klop alikuta vilaza kibao pale Anfield ila aliwaondoa taratibu
Mbona sisi tunamvulia OGS wetu, loose/draw/win tupo naye pamoja
Muombee apate korona ili ajitende na timuBro kinachotuuma sisi ni mbinu duni za Lampard angalia kikosi cha Everton na pia angalia mbinu za Ancelotti.
Kocha lazima uwe na mbinu tofauti tofauti kwendana na mechi inavyokwenda. Lampard mbinu zake ni flat kwenye game nzima.
Ule mpira wa Aston villa na Leicester ulikuwa wa hovyo, wingi wa sub ulitusaidia kushinda game.
Ninapoangalia mpira wa Chelsea chini ya Lampard sioni ubunifu, sioni mbinu, sioni sprit ya kushinda.
Alaaniwe mtu aliyependekeza jina la lampard kuwa kocha Chelsea. Ningekuwa naishi London ningemvizia Lampard nimpige risasi.
Tulia shangazi..mpira unachezwa uwanjani