Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Goli la kwanza lililokuwa offside ndiyo tunafungwa tena kwa kosa lile lileHatuna beki kabisa
Goli la kwanza lililokuwa offside ndiyo tunafungwa tena kwa kosa lile lileHatuna beki kabisa
Yani hata Maji Maji FC haichezi mpira wa hovyo namna hii, sinaga imani kabisa na huyu Lampard kama atatufikisha kwenye nchi ya asali na maziwa hata kama atashinda hii mechi dhidi ya West harm FCKocha wa hovyo kabisa.
Mkuu huu ujumbe niliwalenga wenye utimamu wa akili. Siyo wale wanao comment ili mradi ameshika kifaa cha umeme.

We jamaa ni mata ko.


Hufai kuwa shabiki wa Chelsea!We jamaa ni mata ko.
Hivi Giroud hata kama Chelsea imeishiwa na wachezaji ndiyo tumpange huyo kimeo mkuu jamani?Kuna wachezaji wake anawaekaga hata simuelewagi, sijui ni mabasha zake huko kambini.
Hebu lete picha ya matako yaliyolegea. Kauli yako imenifikirisha sanaHaibadilishi maana kwamba wewe ni mata ko. tena yaliolegea. Huwezi ukampangia mtu aandike nini kwenye simu yake alioinunua mwenyewe kw hela zake, akaweka bando kw hela yake uje umpangie cha kupost, huo ni uchoko.
Na forward pia hakunaHatuna beki kabisa
Tulia wewe, na badoHatuna kocha kabisa, kwakwel Lampard simuamin tena.
Hatuna beki kabisa, Rudiger nilikuwa namkubali sana ila leo amezingua kinoma noma
Hatuna kipa, Kepa bora akaenda kwa mkopo huko anako takiwa