Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hutu tu Abraham hutu
1593638089084.gif
 
Kikosi cha Chelsea chote kinapaswa kupanguliwa kabisa. Kuna wachezaji hawapaswi kuwa hapo, mtu kama Abraham ni jinga kabisa
Nkubzliana na wewe kwa 100% ni heri tuwe na Lingard wawili kuliko hilo linalorukaruka dakika 90 zote bila off target shoot kama licheza marede
 
Lampard nae anatuletea Uingereza kwenye userious, pumbavu kabisa. Samahani kwa kuandika hivyo ila nimeuzika mno. Kama Lampard asipo badilika aise Nyumbu FC atatupiga nne tena
Nyumbu watatupiga hata 6-0, tena siku hiyo nikiwa hai sitahangaika kutizama hiyo mechi zaidi ya kujilalia zangu tu home.
 
Haibadilishi maana kwamba wewe ni mata ko. tena yaliolegea. Huwezi ukampangia mtu aandike nini kwenye simu yake alioinunua mwenyewe kw hela zake, akaweka bando kw hela yake uje umpangie cha kupost, huo ni uchoko.
We pimbi maneno yangu si sheria na aijamlazimisha mtu ayafuate. Ndio maana nikakuambia nimeandika kwa ajili ya watu wenye utimamu wa akili siyo mbwetumbwetu kama wewe.

Karudie tena kusoma.
 
Mbona Chelsea kwenye karatasi ina kikosi kizuri sana? Hata mpira wanaucheza mzuri sana, shida iko kwamba leo haikua bahati yenu. Arsenal leo tumeshinda lakini ilikua ni bahati zaidi, no technic.

Either way mko poa bado mna chansi ya kufight.
Hata Liverpool akipanga 1st eleven yake ni wachezaji wachache sana ndio utawaona wa maana. Kinachokuja kututofautisha wachezaji wa Liver wanajituma zaidi. Huwezi kuta makosa ya kipuuzi puuzi yanaigharimu timu hivi.
 
Hapo kwenye kujituma ndiyo timu nyingi, ikiwemo Arsenal, zinafeli.
 
Wachezaji walikuwa na tension sana, Kovacic leo hakucheza kabisa, Abraham karuka ruka tu hadi akatolewa, Rudiger hovyo, Barkley kama kawa, Alonso uchochoro. Pulisic, Willian, Kante ndio hasa niliwaona waklicheza vizuri
 
Nikiongea hapa mnasema capital letters zinaumiza macho

Mara ngapi nimekuwa nikisema Lampard ni kocha kiazi? Kwa mbinu zake anafaa kuwa kocha wa championship

Mara ngapi nimekuwa nikisema Abraham ni kichwa panzi? Anacontrol mpira kama mama mjamzito.

Timu imeoza imejaa wachezaji matakataka, kama kweli Abromovich anataka Chelsea urudi kwenye makombe amuondoe Lampard na bechi lake la ufundi.

Wachezaji matakataka wauzwe ABRAHAM, BARKELY, CHRISTENSEN, ALONSO, RUDGER, JOGINHO, KEPPA, MOUNT, RUBEN, ERMASON,
 
Mkuu mimi siwezi laumu uchezaji wa mtu bali mpira siku zote una matokeo matatu na kila timu inaingia uwanjani kusaka point 3. Timu yoyote inayozidiwa mbinu unyanganywa point zote tatu. Nasi west ham walituzidi mbinu wakachukua point 3 zote.

Naamini mechi ijayo itakuwa poa kwa chelsea. Pia kuna siku mpira una kataa miguuni. So relax mkuu hakuna timu inayoshinda mechi zote.
 
Hatuna kocha hapa, kocha hana mbinu kabisa, mbinu zake za kitoto sana, upangaji wa kikosi utoto mtupu, Anakatisha tamaa sana, Man u nusu fainali anatushikisha ukuta tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom