Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Na hapo bado mechi 6 kwao!Nimecheki mechi ya Everton na LFC wako hoi hata top 5 hawatakuwepo, watapitwa na Man U na Wolves
Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Na hapo bado mechi 6 kwao!Nimecheki mechi ya Everton na LFC wako hoi hata top 5 hawatakuwepo, watapitwa na Man U na Wolves
Ila inategemea na nani wamebaki kucheza. Nao. Nakumbuka sisi tuna Liverpool mahaliLeicester uwezekano wa top 4 naona unaanza kuwa mdogo kwake.
Ila inategemea na nani wamebaki kucheza. Nao. Nakumbuka sisi tuna Liverpool mahali
Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa mbona toka mwaka jana zilitoka tetesi zake na nilishawahi kumuongelea hapa. Savic ndio anawafanya kina Immobile wawe moto ndio roho ya Lazio jamaa.Chelsea nao wameingia msafara wa kutaka sahihi ya Sergej Milinkovic-Savic kutoka Lazio



Wee ulisikia wapi?Mtapata tabu sana pale Wembley kwenye FA Semi-Final
Itabid wanyanyue kombe na kibano.Liverpool kunyanyua kombe siku wanakutana na Chelsea
Wachezaji wa chelshit wanakujua! Wakiitwa makubwa jinga, unapungukiwa nn?Hawa wachezaji wetu nao ni binadamu msije ona kama wao ni miungu vile hivyo basi kama unaona mchezaji hakuvutii au hafanyi kama ambavyo wewe kwa elimu yako ya mpira unaona inapaswa kufanya ni vyema ukatumia lugha ya staha kueleza hisia zako. Mambo ya kuwaita wachezaji wetu kubwa jinga na maneno mengine sidhani kama inapendeza kwa mustakabali wa ushabiki wetu.
Tuwe na akiba ya maneno.
Kajifunze Kiingereza kwanza.Piga hao umbwa wa chelsea.
Came on west harm
Tulia shangazi..mpira unachezwa uwanjaniPiga hao umbwa wa chelsea.
Came on west harm
Mkuu huu ujumbe niliwalenga wenye utimamu wa akili. Siyo wale wanao comment ili mradi ameshika kifaa cha umeme.Wachezaji wa chelshit wanakujua! Wakiitwa makubwa jinga, unapungukiwa nn?
Mdomo ni jumba la maneno so huzuiliwi kuropoka sababu hutumii VATWembley uje ucheze Utopolo kama hivi?.. nitakugonga nyingi mpaka akili ikukae sawa![]()