apo westham no Derby io na wankuwaga wasumbuf sanMechi tano zijazo tuna vibonde tu
- Westham
- Watford
- Crystal Palace
- Sheffield United
- Norwich City
Umeelewa jana nilichokuwa namaanisha? Kwa sasa hakuna namna ya kumwacha Pulisic nje ya first eleven. Dogo ana kipaji si cha kawaidaAdjusted kivipi mkuu? Yaani iwe 4-4-2
.............WERNER...........TAMMY...........
PULISIC...KOVACIC......KANTE......ZIYECH
ALONSO...RUDGER....CHRISTENSEN..AZIP
Sasa hizo ni chuki binafsi, fans wanachotaka magoli wewe mengineHuyo dogo ata afunge magoli kumi sijawahi kumkubali ata chembe, dogo ni mrenda sana.
Mzee sinimeitaja hapo inamaana uoni?Hiyo App inaitwaje Kaka?
Arsenal wanamtaka pia Willian, hapo napo hakuna mchezaji?Huyu jamaa sijawahi kumuangalia uchezaji wake. Arsenal wanataka kumsajili.
Ila Ukiona tetesi za mchezaji ambazo Arsenal wapo hapo hakuna mchezaji, achana naye
Naona city wamejitosa kimasomaso kumsajili Kolabaly thamani yake imeshuka mpaka £70M. Bei sio mbaya tujitose na sisi
Pulisic...Werner...Ziyech
Kovacic..Kante...Glimour/Mount
Chilwel...Rudger....Kolabaly...Azipu
Marudiano na Bayern ni lini?Tangu tufungwe na Bayern Munich, Chelsea hatujawahi kupoteza mechi
- Bonamoutrh 1-1
- Liverpool 2-0
- Everton 4-0
- Man City 2-1
Mkuu soka la kushambulia siyo counter attack. Unapiga counter ikiwa unashqmbuliwa zaidi ya unavyoshambulia maana yake mpira unachezwa zaidi upande wako kwa iyo yanafanyika mashambulizi ya kushtukiza.Cha muhimu kuliko vyote huyu dogo mkataba wake uboreshwe. Kiongezwe kipengele "kuvunja mkataba wake iwe €1billion endapo kuna timu itakayomuhitaji".
Jana zile pass ndefu za dogo nilizisisimua mwili, tumemshapata Fabrigas wetu mpya.
Pulisic....Werner....Ziyech
Kovacic...Kante...Glimour
Nachokiona msimu ujao Lampard atabadilisha kidogo aina ya uchezaji, nadhani litakuwa soka la counter attack.
1. Pulisic ana kasi
2. Ziyech ana kasi
3. Werner ana kasi na ndio magoli anayopenda kufunga, kuingia kwa kasi lango la adui.
Sioni tena lile soka la kupiga pass fupi fupi mpaka kwenye 18 ya adui.
View attachment 1489358
Mkuu kwa nini unasema hivi? Hujaona alichofanya Tammy? Huoni juhudi zake kabisa?@lembu bana, hicho unachosema ni sawa sawa tunaangalia movie yetu nzuri ya kusisimua na kuvutia halafu unatuambia tubadilishe hiyo movie tuangalie ya mazombie.
Kuna mwingine kasema hata Tammy akifunga magoli 10 bado hatamkubali kabisaMkuu kwa nini unasema hivi? Hujaona alichofanya Tammy? Huoni juhudi zake kabisa?
LoohKuna mwingine kasema hata Tammy akifunga magoli 10 bado hatamkubali kabisa

lile goli la kdb alivyoruka hata metacha haruki vileKEPA tumsajilie kwanza mabeki wazuri then tumjudge ubora wake.
Wewe ulitaka arukaje?lile goli la kdb alivyoruka hata metacha haruki vile
kama sio kipa basi hatuna kocha mzuri wa goal keeping
kepa ule mpira ulkuw mbl ata angerukaje asingeugusaWewe ulitaka arukaje?
Agonge na nguzo kabisa maana ule mchongo ni wa kupambana kwanza na nguzo ndipo uguse mpiraWewe ulitaka arukaje?