Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Agonge na nguzo kabisa maana ule mchongo ni wa kupambana kwanza na nguzo ndipo uguse mpira
Albinoomweusi Hakuna kipa yoyote mwenye uwezo wa kudaka ile kitu umsifie tu mpigaji mbona kepa alifanya save ya hatari ya kichwa kilichopigwa na fernandinho mbona mpo kimya tokea kepa akalishwe bench na Lampard amerudi kwenye ubora wake tukapata cleensheet dhidi ya Liverpool na alifanya save za hatari then tukapata cleensheet dhidi ya Everton bila kusahau alifanya saves nzuri dhidi ya Aston villa tukaja kufungwa goal kwa kosa la beki.


Shabiki yoyote wa Chelsea anaetaka tununue kipa me namshauri akatafute team nyingine za kushabikia Chelsea sio level yake na afai kuwa mshabiki wa Chelsea anatujazia tu server.Shida yetu kuu Chelsea Ni beki ya Kati na kushoto Sana Hawa ndio wanatugharimu Sana sisi lembu Cash Money Forever
 
Football is very funny Man United wanted Chelsea to lose on other hand Liverpool wanted Chelsea to win there is Arsenal don't know what is want
 
KEPPA tangu arudi langoni anadaka vizuri sana, udhaifu upo kwenye safu yetu ya ulinzi, mabeki wanajichanganya sana kwenye kumark adui , kujipanga na kufanya maamuzi ya haraka ya kukaba.



Nimeona wachambuzi wa soka wakimsimfia Ngolo Kante kwa kuwaza kucheza vzr ktk game yetu na City hasa ktk swala la ukabaji na utoaji pasi.


Wengi wanasema Sasa ni muda wa Lampard kumrudisha Kante ktk nafasi yake na Jorginho aangalie kumuweka sehemu ingine.

Note mna maoni gani juu ya nafasi ya Kante na Jorginho ktk timu yetu hasa hapo ktk DM??
 
Hii game vijana waliucheza
20200627_095922.jpg
 
Maoni yangu ni kwamba KANTE akichezeshwa nafasi yake DM hakuna hakuna tena hakuna wa kumuweka bechi.

Nilikuwa nachukua sana akichezeshwa kulia.

Jognho kama hawezi kucheza kushoto au kulia au mbele ya Kante ni bora aondoke tuu.


Inabidi Sasa Jorginho acheze kulia au kushoto au juu ya Kante. Na Lampard anapaswa kuangalia namna ya kumsaidia Jorginho. Vinginevyo Inabidi awe anawachezesha kutokana na timu pinzani anayokutana nayo.

Kwa mfano ktk game yetu na City hii ya juzi ilikua ni lazima kumpanga Kante ktk nafasi yake ya DM. km Lampard akiona tunakutana na timu mchekea basi awe anampanga Jorginho....
 
Inabidi Sasa Jorginho acheze kulia au kushoto au juu ya Kante. Na Lampard anapaswa kuangalia namna ya kumsaidia Jorginho. Vinginevyo Inabidi awe anawachezesha kutokana na timu pinzani anayokutana nayo.

Kwa mfano ktk game yetu na City hii ya juzi ilikua ni lazima kumpanga Kante ktk nafasi yake ya DM. km Lampard akiona tunakutana na timu mchekea basi awe anampanga Jorginho....
Game ya kesho, Jorginho atapangwa

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona wachambuzi wa soka wakimsimfia Ngolo Kante kwa kuwaza kucheza vzr ktk game yetu na City hasa ktk swala la ukabaji na utoaji pasi.


Wengi wanasema Sasa ni muda wa Lampard kumrudisha Kante ktk nafasi yake na Jorginho aangalie kumuweka sehemu ingine.

Note mna maoni gani juu ya nafasi ya Kante na Jorginho ktk timu yetu hasa hapo ktk DM??
Antonio Conte Sio tu kacheza kwenye number hiyo dhidi ya Man City Bali Lampard alianza kumchezesha kwenye game ya Aston villa.Kwa maoni yangu nazani kante aendelee kumpa hiyo number alafu jorginho amuweke kwenye kiungo wa pembeni kwa pass ability yake ya jorginho atatusaidia sana.
 
Chelsea this season with Alonso:
Games: 13
Win: 11
Defeats: 1
Draws: 1
Goals per game: 2.6
Goals Conceded per game: 1.1

Chelsea this season without Alonso:
Games: 18
Wins: 5
Defeats: 8
Draws: 5
Goals per game: 1.2
Goals Conceded per game: 1.5

Day & Night Difference
 
The Blues are reportedly interested in signing David Alaba, having already snapped up Timo Werner and Hakim Ziyech.

The Athletic claims Chelsea have approached Bayern Munich over a shock move for the world-class talent this summer.


1593267353383.png
 
Nimeenda kumchek yuko Vitesse huko Uholanzi, hiv unatambua kuwa klabu ya Vitesse nayo inamilikiwa na boss wa Chelsea?

Huyu dogo alikuwa na kiwango balaa yaani kama ulivyo sema ujuaji na usharobaro unawahalibia sana imagine dogo ana miaka 23 lakin haeleweki kabisa. Na toka ameenda huko Vitesse amecheza mechi 4 tu toka ajiunge tarehe 12/5/2019 na mkataba wake na Chelsea unaisha kesho kutwa
Majeraha yalimuharibia yule dogo. Yupo Vitese kwa mkopo lakini bado anayo nafasi kwa sababu ndio kwanza ana miaka 23-25.
 
Alonso ameshine kwenye Chelsea ya kawaida. Pale Barcelona, Madrid, Bayern, Livepool Alonso hapati namba.

Kwa Chelsea ya msimu huu bado tunamuhitaji.

Ila msimu ujao tunataka LB mwenye kasi ya kukaba, kukimbia/kupandisha mashambulizi mbele na mzuri kupiga mipira ya cross kwa wakati.
Hatq hizo timu ulizotqja kuna wachezaji hawaingii kwenye timu yetu si kwamba hawana viwango ila kwa mahitaji ya kocha na falsafa zake.

Lets be our own kutaja mchezaji fulani haingii mahala fulani its like we are down grading ourself.
 
Numbisa tafadhali tunaomba tupostie GIF za magoli ya mchezaji wetu Timo Werner aliye kwa mkopo RB Leipzig. Kapiga mbili leo kama ishara ya kuwaaga timu hiyo aliyoitumikia kwa misimu minne.

Tafadhali Numbisa tunahitaii kuona mwajiriwa mpya amefanya nini kuwaaga waajiriwa wake wa zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom