Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi yao haina GIF mkuu
Numbisa tafadhali tunaomba tupostie GIF za magoli ya mchezaji wetu Timo Werner aliye kwa mkopo RB Leipzig. Kapiga mbili leo kama ishara ya kuwaaga timu hiyo aliyoitumikia kwa misimu minne.

Tafadhali Numbisa tunahitaii kuona mwajiriwa mpya amefanya nini kuwaaga waajiriwa wake wa zamani.
Numbisa itikia ombi la jamaa post magoals ya Timo Werner aliyofunga leo
 
Alonso ameshine kwenye Chelsea ya kawaida. Pale Barcelona, Madrid, Bayern, Livepool Alonso hapati namba.

Kwa Chelsea ya msimu huu bado tunamuhitaji.

Ila msimu ujao tunataka LB mwenye kasi ya kukaba, kukimbia/kupandisha mashambulizi mbele na mzuri kupiga mipira ya cross kwa wakati.
LB wote eitha wako vizuri kwenye kuilinda timu au kushambulia. Mwangalie Juan Bernat, Robertson, Marcelo, Alba. Ni left backs bora duniani, na ubora wao mkubwa ni katika kushambulia yaani kuassist, kutoa crosses mbele, na kufunga.
 
Gudmorng bluez
IMG_20200627_092536.jpeg
 
Kuwa mabingwa lazima tujenge kikosi kipya ndani ya misimu 2 au 3 ijayo, pamoja na kuondoa na kuuza wachezaji wa viwango vya kawaida;-

Batshuayi
Zappacosta
Barkely
Emerson
Christensen
Zouma
Bakayoko
Drinking water
Mosses
Christensen anajitaid san unamuonea t uyo dogo anaimprove
Auzwe afu kun mshndano mengi yakitokea majeruh je!?
 
Naungana la Lampard kwamba pamoja na hizo sajili tulizofanya bado kikosi hakitakuwa bora kama tunavyodhani, kitaendelea kujengwa misimu 2 au 3 ijayo.

Kuna wachezaji wa 1st eleven ya sasa, sisi tunawaona ni moto, ila mkae mkijua hao wachezaji ni moto kwenye chelsea hii mbovu, ni wachezaji wa kawaida sana.

Na madirisha yajao watauzwa hatutaamini. Sitawataja hapa ila time will tell. View attachment 1490788
Conte kaja msimu mmoja kachukua ubingwa at the same to ancelotti, Lampard kaongea hivyo kwa kuangalia ubora wa opponent wake lakini pia kwa lengo la kutowapa mashabiki pressure lakini pia na yeye kutopata pressure ya media lakini moyoni mwake lengo lake Ni ubingwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom