Everton 2-0 Chelsea.Dakika ya 73.
avb mwaka wako huu...
Full time Everton 2-0 Chelsea.Khanga moja laki si pesa.
...labda ashinde CL, vinginevyo hawatomvumilia!
Ashinde CL kwa timu gani aliyonayo??
Hiyo hiyo ya "Pensioners", si ndiyo ndoto za mwenye timu? Ha ha ha haaaa....!!!!!
Peasant, Ab-Tichaz, Rev. Masanilo, AljuniourTz et al mko wapi?? siku za kichapo hamuonekanagi kabisa..! Poleni watani, leo sie full shangwe mashetani!!
Kongosho na wewe Chelskiii???