Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

AVB is very poor kwenye sub, kwanini anamtoa Mata badala ya Meireles?!!
 
game over, 1-1. Not good enough, we don't need extra fixture in our very poor season!!
 
mkuu, pamoja na mapungufu ya AVB....m naona ili mpate mafanikio pale ni kuchagua kat ya yafuatayo: to get rid na aged players ambao hawa deliver, au lah kumfukuzia mbal avb ambaye nahisi kuwa hana sapoti ya wachezaj na dawat lake la ufundi...mlete kocha kibabu ambao hatapandishiwa kibesi na kina drogba...
 
I would stick with AVB, sio kocha mbaya lakini anatakiwa kuimprove hasa anapofanya sub. Hao Birmingham walikuwa hawashambulii kabisa, hivyi sikuona kwanini hakumtoa Meireles badala ya Mata, tulikuwa tunatafuta goli. Tatizo lake lingine nafikiri anakata tamaa mapema, aliposema kwamba EPL kwa Chelsea ndio basi tena wachezaji nao wanarelax hawajitumi maana hakuna cha kupoteza, sio nzuri kwa motivation....unakuwa nje ya title race pale ambapo ni mathematically impossible kuwa bingwa, kwa sababu hujui hizo timu za juu zitafanya nini.
 
sawasawa kabisa.....hence he has to get rid ya aged players kwa kwel....avb, si mbaya sana, tacitically, ila ndo hvo, Abromo naye hatak masihara kwa $ yake.
 
article-2102928-11CBAA41000005DC-636_634x315.jpg

Struggles: Tor the res and co. walks back to the centre circle
after Birmingham's early goal

article-2102928-11CB9BF2000005DC-369_634x501.jpg

This ain't working: David Luiz should really give up on his good luck charm
uchawi kutoka Brazil haukufanya kazi
20 matches without a goal phew!
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

article-2102928-11CBB5C4000005DC-249_634x421.jpg

Another blank: Torres has now gone 20 matches
without scoring for Chelsea

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
64d8b772b80224955125eca0c52b5216.jpg

Meerkat surrounded by losers .... .....
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Naona hapa mkuu ulikuwa hujajua hatma yako kwa sunderland............pole sana sasa sijui kati yenu nani loser zaidi ?
 
HT Napoli 2-1 Chelsea...Mata 27th for the Blues,E.Lavezzi 38th and E.Cavani 45th for Napoli.
 
Tatizo la washabiki wa Chelsick wameanza kuona vikombe wakiwa wakubwa into their 40 plus chacha ukiwauliza utotoni walikuwa wanashangilia timu gani ambayo haikuwahi kuchukua kikombe chochote ngoma inaanza. wamshukuru Mafioso maana naona wanaonewa tu wao lazima washinde mtawaona wengi leo hapa kina Mungiki brother et al .... ...... Hivi wapo kwenye cowshed wanasali pamoja na ma-Rev wao bandia ambao wapo Invisible.

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chijui hawakutoa ngawira za kutosha leo! Chitarudi mtupe matokeo .... .... naona Mashoga wanajipitisha pitisha tu chacha ... ...
 
Mr. Bean amesema nafasi ya 4 ndio ubingwa wenu
 
50 Mil Pound striker (Toress) a on the bench and chelsea are 3-1 behid . Is chelsea a football club or a financial club like manchester city.
 
RIP EPL.... no English team in the Q final, corrupt, hypocritical, partisan, rubbish everything bad you name it, EPL executives are ruining what the previous leaders and pioneers built for money; buying the clubs didnt help

AISEE, INASIKITISHA SANA EPL INAPOKWENDA, ITAKUA KAMA BELGIAN LEAGUE IF THEY ARE NOT CAREFUL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom