ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Tumecheza hovyo sana kipindi cha kwanza....tumebadilika na kucheza vizuri cha pili lakini tumeshindwa kufunga magoli ya kutosha....the worst, Ashley Cole kapewa kadi nyekundu with Manure game coming next.
bora draw kuliko kuloose kama sisi..