Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Miaka kama 15 nyuma.
IMG-20200510-WA0018.jpg
IMG-20200510-WA0017.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200511-163730_1589287502126.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulitokea ubishani mtandaoni kwa kuwalinganisha Martial na Tammy.
 
FA yaishitaki FIFA kwa adhabu waliyoipa Chelsea mwaka jana
The Football Association has taken FIFA to court over Chelsea's transfer ban and their case will be heard next month.
The Court of Arbitration for Sport [CAS] will consider the FA's complaint on June 26 over FIFA's disciplinary processes.
Source: FA case against FIFA over Chelsea transfer ban to be heard in June
Tukiwaambia watu sisi Chelsea tunafanyiwa fitna na bodi ya ligi ya Uingereza hawaamini. FIFA wamechunguza wakaifuta ile adhabu lakini bado watu wanang'ang'ania tu. Matatizo ya siasa kuingia kwenye mambo ya mpira kunakua na uonezi mkubwa mno. Mfano ni zile mechi zetu 3 na Man Utd mi sioni kama zilikua fair kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THERE'S ONLY TWO KANTES

Antonio Conte has declared his love of Chelsea star N'Golo Kante.

The Inter Milan boss, who signed Kante from Leicester in 2016, said: “When you have N’Golo in you’re team, you think you are playing with one player more.

“You can find a smile on his face every day.

“He is a very positive guy. He is one of the best players I have had in my career as a coach.”
1589444631235.png
 
TUMLINGANE LUKAKU WA EPL AKIWA NA MIAKA 22 NA ABRAHAM MWENYE MIAKA 22.
Record ya Lukaku akiwa na miaka 22 ni nzuri zaidi ya walivyokuwa Ronaldo na Messi katika umri huo. Sasa naomba umlinganishe na Messi na Ronaldo katika umri wa sasa wa Lukaku ambapo nafikiri ana 26. Yan Messi na Ronaldo walipokua na miaka 26 na wao.

Ninachotaka kusema siyo mchezaji atakua na mwwnzo mzuri kama mwingine anaenda ana adapt kidogo kwa Tammy siwezi kumlaumu kabisa nina imani atakuja kwa striker bora na wa kutegemewa.

HAPO SAWA UMENENA VEMA TUPO PAMOJA.

ILA KAKA KWANGU ABRAHAM KUJA KUWA MOTO MKALI SIDHANI, ULE UPEPO WA KISULISULI WA MWANZO WA MSIMU SIDHANI KAMA UTARUDI TENA.

AINA YAKE YA UCHEZAJI INAZIDI KUMUWIA VIGUMU KUZIFUMANIA NYAVU. ANA KAZI KUBWA SANA YA KUJIVUNZA NA KUBADILIKA.

ILA KWA SASA SIO STRIKER NAMBA 1 CHELSEA WA KUMTEGEMEA.
 
Tammy bado ana pressure kubwa kwanza kuwa prove wrong wanaohisi na kumsema hawezi pili chini ya Lampard ameonekana amepata nafasi kwa sababu ya kufungiwa kusajili so yeye na vijana wote wa academy walopata wanakazi ya kufanya kuwaaminisha watu wao kupandishwa timu kubwa haikua bahati mbaya.

Nadhani uwepo wa Giroud mkongwe utamsaidia Tammy kujifunza lakini pia tungepata striker kama Aubameyang(30) ambaye hatakaa zaidi ya miaka 5 inaweza kumuamsha Tammy kujituma zaidi. Mfano Man City wanamuandaa Jesus kwa ajili ya kuchukua mikoba ya Aguero.

Lastly, mkuu kwa nini umekuja na ID nyingine? Rudi kwenye ID yako ya zamani maana muda si mrefu tutakutambua vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwaambia watu sisi Chelsea tunafanyiwa fitna na bodi ya ligi ya Uingereza hawaamini. FIFA wamechunguza wakaifuta ile adhabu lakini bado watu wanang'ang'ania tu. Matatizo ya siasa kuingia kwenye mambo ya mpira kunakua na uonezi mkubwa mno. Mfano ni zile mechi zetu 3 na Man Utd mi sioni kama zilikua fair kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hapa FA wanaitetea Chelsea ndio maana wameishitaki FIFA kwa CAS, au mimi sijakuelewa unamaana gani
 
HAPO SAWA UMENENA VEMA TUPO PAMOJA.

ILA KAKA KWANGU ABRAHAM KUJA KUWA MOTO MKALI SIDHANI, ULE UPEPO WA KISULISULI WA MWANZO WA MSIMU SIDHANI KAMA UTARUDI TENA.

AINA YAKE YA UCHEZAJI INAZIDI KUMUWIA VIGUMU KUZIFUMANIA NYAVU. ANA KAZI KUBWA SANA YA KUJIVUNZA NA KUBADILIKA.

ILA KWA SASA SIO STRIKER NAMBA 1 CHELSEA WA KUMTEGEMEA.
Abrahama ni box striker kama alivyokuwa Ronaldo Delima aliyevuma makombe matatu mfululizo kombe la dunia. Box striker anawategemea sana feeders wa mipira. Mfano mzuri wa feeding ni kama ushirikiano wa Diego Costa na Fabregas. Diego Costa kawa wa ovyo nje na feeder mzuri kama Fabregas.
Tatizo la Chelsea halipo kwa Tammy, liko kwa wingers na viungo wasiojua kumchezesha striker. Tusubiri ujia wa Ziyech na kama pia tutabahatika kusajili kiungo wa caliber ya Fabregas ndipo tumjaji Tammy. Gilmer anaonyesha dalili za kufikia ubora wa Fabregas huko mbeleni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom