Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tukiwaambia watu sisi Chelsea tunafanyiwa fitna na bodi ya ligi ya Uingereza hawaamini. FIFA wamechunguza wakaifuta ile adhabu lakini bado watu wanang'ang'ania tu. Matatizo ya siasa kuingia kwenye mambo ya mpira kunakua na uonezi mkubwa mno. Mfano ni zile mechi zetu 3 na Man Utd mi sioni kama zilikua fair kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheeee... Dogo acha upimbi, man utd kagugonga game zote 3; hilo halina ubishi. Na hata sasa ukija, man utd anakugonga vile vile. Usitafute mlango wa kulalia kuwa unafanyiwa hujuma, li timu lako ni la hamasa tu, huna wachezaji pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abrahama ni box striker kama alivyokuwa Ronaldo Delima aliyevuma makombe matatu mfululizo kombe la dunia. Box striker anawategemea sana feeders wa mipira. Mfano mzuri wa feeding ni kama ushirikiano wa Diego Costa na Fabregas. Diego Costa kawa wa ovyo nje na feeder mzuri kama Fabregas.
Tatizo la Chelsea halipo kwa Tammy, liko kwa wingers na viungo wasiojua kumchezesha striker. Tusubiri ujia wa Ziyech na kama pia tutabahatika kusajili kiungo wa caliber ya Fabregas ndipo tumjaji Tammy. Gilmer anaonyesha dalili za kufikia ubora wa Fabregas huko mbeleni
LOH! ABRAHAM AMEPEWA MIPIRA MINGI SANA AKASHINDWA KUIMALIZIA GOLINI. HUMBUKI TULIVYOKUWA TUNASHIKA VICHWA ABRAHAM KUSHINDWA KUMALIZIA NAFASI ZA WAZI KIBAO?

ABRAHAM SIO FINISHER MZURI KABISA HATA ANGEKUWA ANACHEZA NA FABRIGAS NA HAZARD. HANA MAAMUZI YA AKILI NYINGI, MZITO KUJEUKA, AKISHABANWA ANASHINDWA ACHOMOKAJE ANAJIANGUSHA. PIA ULE UREFU WAKE NI CHANGAMOTO KWENYE UFUNGAJI.
 
LOH! ABRAHAM AMEPEWA MIPIRA MINGI SANA AKASHINDWA KUIMALIZIA GOLINI. HUMBUKI TULIVYOKUWA TUNASHIKA VICHWA ABRAHAM KUSHINDWA KUMALIZIA NAFASI ZA WAZI KIBAO?

ABRAHAM SIO FINISHER MZURI KABISA HATA ANGEKUWA ANACHEZA NA FABRIGAS NA HAZARD. HANA MAAMUZI YA AKILI NYINGI, MZITO KUJEUKA, AKISHABANWA ANASHINDWA ACHOMOKAJE ANAJIANGUSHA. PIA ULE UREFU WAKE NI CHANGAMOTO KWENYE UFUNGAJI.
Abraham ni maandazi tu , akiguswa kidogo anaanguka, Nafasi nzuri anapoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abraham ni maandazi tu , akiguswa kidogo anaanguka, Nafasi nzuri anapoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app

SAHIHI UNACHOSEMA. ABRAHAM NI MCHEZAJI WA TIMU KAMA BRIGHTON, BURLEY.

KWA CHELSEA YENYE NDOTO YA KUENDELEA KUBEBA MAKOMBE MAKUBWA HAPA SIO CALIBER YAKE. VIATU NI VIKUBWA KWAKE, NGOMA YA WANAUME SIO WAVULANA.
 
Yaani, inatia aibu , mchezaji wa club kubwa kama Chelsea, unalipwa mshahara mzuri ndani ya wiki , unaacha kula bata na mtoto mzuri yoyote wa kiingereza, unaenda kufosi show ( kubaka ) .. Daaahhh... Huyu wamfunge kabisa tusimuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
99% kasingiziwa. Wanawindwa kwa sababu ya mihela walionayo. Unakumbuka issue ya CR7.
 
Chelsea are reportedly targeting Porto ace Jesus Corona as back-up if they miss out on Jadon Sancho.
 
Dries Mertens has signed a new three-year contract extension with Napoli, which has ended Chelsea’s hopes of landing him on a free transfer this summer.
 

Chelsea are eyeing a shock move for 'Algerian Messi' Said Benrahma. The reports suggest that Chelsea will be willing to pay £31million for Benrahma's signature. Benrahma, 24, has ten goals and 14 assists for Brentford in the Championship this term.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom