Robo final fa Leicester vs Chelsea
Kumbe wakati mwingine unakuwa unaongeaga pointHuyu pedro kanikera ilibidi aweke la 3 pale
Giroud hajawekwa kwenye orodha ya majeruhi ila Willian na Kovacic wamo na haijulikani lini watarudi
Hahahaaaaa mimi ni mLondon mkuu,naisubiri kwa hamu hiyo comeback ya Allianz Arena ili tuje kuvunja kamati hapa hahahaaaaaaaaaa....Huyu DullyJr hujamjua vizuri. Ni Arsenal kwa nje ila ndani ya moyo wake kuna uchelsea. Tusiwe tunagombana naye. Akija hapa tumkumbatie kwa furaha.
Hahahaaaaa mimi ni mLondon mkuu,naisubiri kwa hamu hiyo comeback ya Allianz Arena ili tuje kuvunja kamati hapa hahahaaaaaaaaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Leicester city Hawa ni ndugu zetu kabisa na sisi ndo tuliwapa kombe la EPL lazima wale kipigoChelsea kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo ndio club imefanikiwa kumaliza na kombe angalau 1 kila msimu.
SARI hakuwa na history ya kunyanyua kombe lolote katika carrier yake, Chelsea tulimpa kombe kubwa Europa.
Lampard yuko sehemu sahihi ajitahidi anyanyue FA.
Sent using Cash Money Wings
Willian naye majeruhi na yuko 50/50Mount - Giroud - Willan
Alonso - Gilmour - Barkely - James
Rudger - Zouma - Azipiculeta
Keppa
Sent using Cash Money Wings
Mimi ninachoomba jamaa asiondoke. Kama vip tumgmfanye awe mshambuliaji kama hatafit kwenye mfumo.Usiyempenda anazidi kujaView attachment 1377830
Huyo ndio key ya mfumo wa 3-4-3 na Lampard anajua Hilo so sizani Kama Lampard atamuuza zaid ya kumuuza Emerson kingine chelsea Ina matatizo mengi kwenye maeneo mengi so hawawezi kumuuza Alonso alafu wanunue left back wawili wakati wanachangamoto kwenye kiungo mchambuliaji, central striker, central defender na mchezaji atakaeziba nafasi ya willianMimi ninachoomba jamaa asiondoke. Kama vip tumgmfanye awe mshambuliaji kama hatafit kwenye mfumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi wameangalia mchango wake ndani ya teamSidhani kama TAMMY anastahili hiyo tunzo mbele ya Piere Auba. Tammy amemzidi nini Pierre Auba?
bado son atakua hajaisaids san tote msim unvoanz son hkuw vzrJe mchango wa Son TOTE? Most ya magoli yake yameamua match.
Je hiyo Tottenham ipo wapi now?Je mchango wa Son TOTE? Most ya magoli yake yameamua match.
Hiyo tunzo ni kwa team za london tu MlalamikajiEPL WAMESHAPOTEZA MVUTO WAMETOA HIYO TUNZO KIUENGEREZA, WAMEMPA HUYO KICHWA PANZI. BASI WAMPE NA YA MCHEZAJI BORA WA MSIMU, TAKATAKA HUYO SIJUI AMETOKA WAPI NA CHELSEA MSHAMBULIAJI WA OVYO KUWAHI KUTOKEA CHELSEA. HUJUI KUHOLD MPIRA, HUJUI KUMALIZIA MPIRA GOLINI, UKIKOSA GOLI UNASIKITIKA UPUMBAVU TUU.