juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Dg tulimtoa rangersBilly Gilmour what a talent
Hawa madogo sijui mnawatoaga wapi ,cha ajabu mtakuwa mnawauza kizembe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dg tulimtoa rangersBilly Gilmour what a talent
Hawa madogo sijui mnawatoaga wapi ,cha ajabu mtakuwa mnawauza kizembe tu
Billy Gilmour what a talent
Hawa madogo sijui mnawatoaga wapi ,cha ajabu mtakuwa mnawauza kizembe tu
Kovacic kaumia mzee next mech anaweza asicheze kabisaMimi niliangalia wote
Defence jana ilikuwa very solid. Kama kuna second man of the match basi angekuwa ni kipa Kepa.
Liverpool muda mwingi walipasiana kwenye goli lao, final third ya Chelsea waliingia kwa nadra sana.
Pedro alikuwa na speed nzuri ila hakuwa na maamuzi mazuri
Sub ya kocha jana ilikuwa nzuri, alikuwa sub huru moja tu ya James badala ya Giroud, sub za willian na kovacic za majeruhi. Naomba yale majeruhi yawe ni madogo tu.
Kwa habari ya Gilmour anaweza fikia kiwango cha Kante akipewa nafasi
Hata nyie asernal kale kautaratibu ka kuibua vipaji na kivutunza kaliishia wa babu wenga Aaron AsernalBilly Gilmour what a talent
Hawa madogo sijui mnawatoaga wapi ,cha ajabu mtakuwa mnawauza kizembe tu
Nani kapata chenga za mauzi huyo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fikiria kwa mapana zaidi kijana. Maana yangu mimi kusema ivyo ni kuhamasisha watu kutoa hoja zao bila kejeli wala matusi na siyo kama wewe ulivyofikiri. Hatujuani tumekutana humu ivyo kwa chochote tunachofanya hatujui kina efect gani kwa watu wengine nikimaanisha kuna watu wazima na watoto humu.Kwani usipomsaport mtu anakufa au? we unafikiri watu wapo hapa sababu y kusaportiwa na ww? Acha ushamba.
Muda mwingine unakuwaga na busara sana.Fikiria kwa mapana zaidi kijana. Maana yangu mimi kusema ivyo ni kuhamasisha watu kutoa hoja zao bila kejeli wala matusi na siyo kama wewe ulivyofikiri. Hatujuani tumekutana humu ivyo kwa chochote tunachofanya hatujui kina efect gani kwa watu wengine nikimaanisha kuna watu wazima na watoto humu.
Try to be a lesson to others you dont know.
Sent using Jamii Forums mobile app

Mi muda wote nina busara bhana. Sema siku ile wewe mwenyewe ndioulinitoa relini.
hahahaLAMPARD OUT
Ahaahahahah sawa mkuu,naona ganda la ndizi mnaseleleka tu ,aiseeeh nyinyi vitonga kweli yaani tobo atoboe mwingine(sisi Watford) nyinyi mmepenya fastafasta....Mi muda wote nina busara bhana. Sema siku ile wewe mwenyewe ndioulinitoa relini.
Peace Man
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game niliona kabla kuwa mna uwezo wa kushinda kutokana na form mbovu ya Liverpool. Na sio ubora wenu.Unachosema ni kweli kabisa, mfano ni ODOI, media zilimkuza sana na Bayern kumuhitaji ndio wakaharibu kabisa. Sasa amekuwa mchezaji wa kawaida sana
Huyu dogo Mungu ampe moyo wa kutobweteka na kujituma zaidi na zaidi aache historia kwenye mchezo wa mpira
Madogo kama wakina Jao Felix wangekuwa waingereza dah habari zingefika mwezini
Mfano sijui media haziwaoni hawa Zinchenko na Foden wa Man City. Nawaza hawa watoto kwa viwango vyao wangekua wanacheza London au Man Utd zingewaandama mno. Media zinawaharibu wachezaji wengi sana. Angalia Declan Rice, Januzaj, Michu sa ivi wamekua wa kawaida mno. Atleast Januzaj alipoenda Spain ndio anajitahidi kurudisha kiwango.Unachosema ni kweli kabisa, mfano ni ODOI, media zilimkuza sana na Bayern kumuhitaji ndio wakaharibu kabisa. Sasa amekuwa mchezaji wa kawaida sana
Huyu dogo Mungu ampe moyo wa kutobweteka na kujituma zaidi na zaidi aache historia kwenye mchezo wa mpira
Madogo kama wakina Jao Felix wangekuwa waingereza dah habari zingefika mwezini
Hahahahahaa... Watford lishakua chama lako.Ahaahahahah sawa mkuu,naona ganda la ndizi mnaseleleka tu ,aiseeeh nyinyi vitonga kweli yaani tobo atoboe mwingine(sisi Watford) nyinyi mmepenya fastafasta....
Mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhhh mkuu,mbona Watford ni chama langu kitambo mzee???Hahahahahaa... Watford lishakua chama lako.
Lampard aliwahi kusema kazi yake ni kuangalia mapungufu ya timu pinzani then yeye anatumia mapungufu hayo kama sehemu ya kutokea. Kibongo bongo kwa lugha nyepesi tunaita UNAPIGA KWENYE MSHONO. Ndio anachofanya Lampard jana hakubahatisha.
Sent using Jamii Forums mobile app