Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We jamaa uwe na akiba ya maneno. Akisajiri then msimu ujao akafanya vizuri sijuiutaficha wapi sura yako.
I agree lampard sio kocha, sema anajificha kwnye sababu y kutosajili. Nilishasema hapa nikaonekana sio. Tusubir msimu ujao kila mtu ataelewa kuwa yule sio kocha.

Kocha mzuri hata awe na kikosi kibaya, mbinu utaziona tu. Klop wakat anaingia liva kulikua hamna wachezaji wa maana ila ulikua ukiangalia wakicheza unaona kuna mbinu zipo. Sasa lampard hamna kitu. Hata leo hii apewe liva bado atapgwa pigwa hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa uwe na akiba ya maneno. Akisajiri then msimu ujao akafanya vizuri sijuiutaficha wapi sura yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

HAKUNA KOCHA PALE KIAZI TUU, NI KOCHA WA KUZIFUNGA VITIMU VIDOGO VIDOGO, HANA MBINU YA KUZIFUNGA TIMU KUBWA.

MECHI NA ARSENAL TUSHUKURU MUNGU KILAZA JOGINHO HAKUPEWA UMEME, MECHI YA PILI NA TOTE TUSHUKURU MUNGU KANE NA SON HAWAKUWEPO LAZIMA TUNGEFUNGWA TUU.

ARTETA IS FAR BETTER THAN LAMPARD KWA MBINU, UKIMWANGALIA ARTETA MBINU ZA 1ST HALF NI TOFAUTI NA SEC HALF, UNAONA KABISA HAPA TIMU KUNA KITU INATAFUTA. SASA KILAZA LAMPARD TIMU INACHEZA FLAT DAKIKA 90 ZOTE RUBBISH

LAMPARD MSIMU UJAO ATATIMULIWA KWA AIBU SANA, BORA AOMBE KUJIUZULU SASA KWA HESHIMA.
 
Mechi ya kwanza dhid ya spurs mbona kane,son,ali wote walikuwepo na stil tukashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Jamaa umeibukia wapi aisee wewe na Lampard nani mwenye uchungu na timu? Au unadhan haoni mapungufu ya timu! Sote tupo katika kipindi cha mpito tuwe wapole asajili ili akikosea tumlaumu ila sio hivi sasa unakosea sana kum atak Lampard kiasi hicho
LAMPARD ANATAKIWA AONDOKE MWISHO WA MSIMU HUU HATUWEZI KUENDELEA KUWA NA KOCHA KILAZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safu ya ushambuliaji ya arsenal inafanana na ya chelsea?
HAKUNA KOCHA PALE KIAZI TUU, NI KOCHA WA KUZIFUNGA VITIMU VIDOGO VIDOGO, HANA MBINU YA KUZIFUNGA TIMU KUBWA.

MECHI NA ARSENAL TUSHUKURU MUNGU KILAZA JOGINHO HAKUPEWA UMEME, MECHI YA PILI NA TOTE TUSHUKURU MUNGU KANE NA SON HAWAKUWEPO LAZIMA TUNGEFUNGWA TUU.

ARTETA IS FAR BETTER THAN LAMPARD KWA MBINU, UKIMWANGALIA ARTETA MBINU ZA 1ST HALF NI TOFAUTI NA SEC HALF, UNAONA KABISA HAPA TIMU KUNA KITU INATAFUTA. SASA KILAZA LAMPARD TIMU INACHEZA FLAT DAKIKA 90 ZOTE RUBBISH

LAMPARD MSIMU UJAO ATATIMULIWA KWA AIBU SANA, BORA AOMBE KUJIUZULU SASA KWA HESHIMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikutana na Tactical Magician the baby faced assassin.

Ole at the wheel
LAMPARD HATA APEWE KIKOSI HICHI WEKA MESSI NA RONALDO MBELE, BADO TUTAFAIL KUPATA MATOKEO KWA UKILAZA WAKE. LAMPARD SIO KOCHA WA TIMU KUBWA UWEZO WAKE MDOGO SANA, UWEZO WAKE NI WA CHAMPIONSHIP NAKO HUKO PIA ALIFAIL KUIPANDISHA TIMU DARAJA.

KOCHA UNAFUNGWA NA MAN U MBOVU MICHEZO MITATU MFULULIZO RUBBISH COACH. HUNA LA KUJIFUNZA?, HUNA LA KUREKEBISHA?, HUNA LA KUBORESHA?

ABROMOVICH TIMUA LAMPARD POOR CHELSEA COACH EVER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Jamaa umeibukia wapi aisee wewe na Lampard nani mwenye uchungu na timu? Au unadhan haoni mapungufu ya timu! Sote tupo katika kipindi cha mpito tuwe wapole asajili ili akikosea tumlaumu ila sio hivi sasa unakosea sana kum atak Lampard kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu nilichogundua kuna watu wanachuki na lampard

Board yenyewe inajua matatizo ya tim kama ingekuwa tim ni nzuri halaf hatupati matokeo hapo ndio tungeanza kudoubt mbinu za kocha.

Lampard akipewa player anaowataka na akashindwa kudeliver matokeo yanayotakiwa board ya chelsea haiwezi ikamvumilia haijalishi ye ni muingereza
Kama alishindwa kupewa mkataba anaohitaji wakati bado player sembuse sasa kufuzwa

Bado naimani na frank
Hata hao makocha wakubwa akina pep,zidan wote hao wamepata mafanikio wakiwa na wachezaji wazuri

Hata umlete pep chelsea kwa wachezaj waliopo utamuona pep hajui ndio maana wakat pep anakuja epl msim wake wa 1 alihangaika sana na mpaka man city wakawa wanapigania top 4 tu na msim ulivyoisha akamaliza top 4 msim uliofuta alispend more than £200M kuanzia kwa gk mpaka kwa attackin mid

Msim uliopita mistake nyingi za tim zilikuwa hazionekan coz tim ilikuwa inashinda kwa uwezo wa hazard kunamechi tulipigwa 6 na man city etihad,4 bournmouth sinc msim uliopita hii tim ilikuwa mbovu tu sema tu uwepo wa hazard na uwezo wake ndio ulitufanya tumalize top 4

NDIO UFUNGWE MECHI 3 MFULULIZO NA MAN U MBOVU?
 
NDIO UFUNGWE MECHI 3 MFULULIZO NA MAN MBOVU?
 
NDIO UFUNGWE MECHI 3 MFULULIZO NA MAN U MBOVU?
Kwa hiyo unamjudge lampard kwa kufungwa na man utd game 3
Ingekuwa tunafungwa na hakuna chance zozote zinakuwa created hapo ningedoubt uwezo wa kocha
Lakin unafungwa na mmecreate nafasi hapo sio kocha shida ni wachezaji au unataka kocha ndie akafunge magoal kama chance wachezaj wanashindwa kuzitumia

LAMPARD TAKATAKA
 
Hawa wanaosema Lampard ni kiazi wao ndio viazi vibovu
PEP na uzoefu wake misimu miwili na akina Zabaleta, Cabalero, Mangala, Sagna, Alexi Garcia, Samir Nasri, Jesus Navas, Wilfred Bony, na wengineo wakiwemo nyota wa sasa akina Aguero alikuwa akipigwa kama kichwa cha mwenda wazimu.
Klopp akiwa na akina Mingnolet, Moreno, Benteke, Daniel Sturridge pamoaj na baadhi ya mastaa kama akina Salah, TAA na wengineo ilikuwa ikipokea vipigo miaka 4 mfululizo

Lampard hata hana msimu, karidhi magarasha mengi na ban juu bado mnamwita kiazi, nina hasira na watu wanaojitoa ufahamu humu
 
Kwa hiyo unamjudge lampard kwa kufungwa na man utd game 3
Ingekuwa tunafungwa na hakuna chance zozote zinakuwa created hapo ningedoubt uwezo wa kocha
Lakin unafungwa na mmecreate nafasi hapo sio kocha shida ni wachezaji au unataka kocha ndie akafunge magoal kama chance wachezaj wanashindwa kuzitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumjudge pia kwa kumfunga MOU mechi mbili mfululizo
 
ac-table-sport-kepa-in-prem.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom