Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi ni shabiki wa liver lakini niliamini mtashinda maana hao msimu uliopita tuliwatoa kwao ujerumani kwa kuwapiga tatu
Hata msimu huu Inshalah, Mungu yupo mtakutana nao muwatoe tena
 
Chelsea ya sasa hiv hakuna mchezaj hakuna mchezaji yyt creativ
Huwezi pata goal kama hauna wachezaj wanaoweza tafuta or wakatengeneza nafasi

Wenzako wana thiago alcantara ambaye mbele yake ana gnarby muller coman na lewandowski
Wakati wewe una barkley,mount na giroud utegemee labda utapata goal

Hembu tuache kudanganyana hapa hakuna clear chanc yyt tuliyotengeneza ukilinganisha na bayern coz bayern wako bora zaid yetu na hiyo imejiidhihirisha hiyo jana kwa kila idara ndani ya uwanja ilionekana jins bayern walivyo kuwa bora

Angalia fullback za bayern zilivyokuwa zinapanda kushambulia na za kwetu ni vitu viwil tofauti

Ilo goal labda upate kibahati bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliangalia kwenye streaming media
Chelsea walitengeneza nafasi nyingi sana hadi watangazaji wansema ugonjwa wa Chelsea bado kwenye umaliziaji
Willian na Pedor waliweka mipira mizuri hao forward butu wakashindwa kumalizia, wacha za James na wenzake

Chances jana za Chelsea zilikuwa sio chini ya tano
Kwa taarifa yako habari ndio hiyo
 
we shabiki maandazi huna point ya maana. jamani aise huyu mpotezeeni.msichangie hoja zake naona anajaza maserver na pumba na mashudu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wako wengi humu, sijui wanatokea wapi, timu ikifanya vizuri huwaoni ila ikifanya vibaya hata bila kujua background ya timu kufanya vibaya wanakuja na mitusi. Ukiwauliza hata Chelsea ilifungiwa lini kusajili na fIFA hawajui
 
Huyo Gnabry na Sancho ni sawa na akina Odoi, Mount, Abraham. Arsenal mlimdharau leo mnamwona lulu, Man City walimdharau Sancho leo kwao ni lulu
Hata sisi Chelsea tulikuwa na akina Salah, Lukaku na Debruyne leo tunawaona lulu
ODOI, MOUNT, ABRAHAM NI VICHWA PANZI, LEVEL YAO NI CHAMPIONSHIP, NI UPUMBAVU KUWAFANINISHA NA KINA SALAH, BRUYNE, LUKAKU KAMWE HAWATAKAA WAFIKIE LEVEL ZAO.
 
Na wako wengi humu, sijui wanatokea wapi, timu ikifanya vizuri huwaoni ila ikifanya vibaya hata bila kujua background ya timu kufanya vibaya wanakuja na mitusi. Ukiwauliza hata Chelsea ilifungiwa lini kusajili na fIFA hawajui
wengine ni wakuwapuuza tu
 
Wewe uliangalia kwenye streaming media
Chelsea walitengeneza nafasi nyingi sana hadi watangazaji wansema ugonjwa wa Chelsea bado kwenye umaliziaji
Willian na Pedor waliweka mipira mizuri hao forward butu wakashindwa kumalizia, wacha za James na wenzake

Chances jana za Chelsea zilikuwa sio chini ya tano
Kwa taarifa yako habari ndio hiyo
SAWA TULIPATA NAFASI TULIZIFANYIA NINI? MACHEZAJI YA OVYO YAMEJAA KIKOSINI
 
Wewe uliangalia kwenye streaming media
Chelsea walitengeneza nafasi nyingi sana hadi watangazaji wansema ugonjwa wa Chelsea bado kwenye umaliziaji
Willian na Pedor waliweka mipira mizuri hao forward butu wakashindwa kumalizia, wacha za James na wenzake

Chances jana za Chelsea zilikuwa sio chini ya tano
Kwa taarifa yako habari ndio hiyo
Mkuu game nimeangalia vizuri
Kipind cha kwanza tulijitahid but kwenye kutengeneza nafasi
Kipindi cha kimeanza tukapoteza nafas mount anakamatwa na davies japo kuwa alijarib kushoot, rebound ikamrudia barkley nayeye akashoot neur akadaka

Hiyo ndio only on target tuliyofanya 2nd half
Wakina pedro na willian walijarib kupenyeza mipira kwa tammy sema tammy mipira yote ikampita
Angalia chance walizotengeneza bayern ndio maana nasema hizo ndio clear chance kuanzia kwa save aliyofanya caba dhidi ya lewandoski, mpka kwa muller back header aliyopiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spanish TV channel El Chiringuito TV claim that Chelsea have made an offer to Atletico Madrid of €30million plus Kepa Arrizabalaga, in exchange for their keeper Jan Oblak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu anakukatalia, sasa Lampard ana uhusiano gani na wachezaji. Wewe unajua kama Chelsea ilifungiwa kusajili tangu Lampard awe kocha, au wewe unajua kuwa Lampard hana maamuzi kwenye usajili isipokuwa ni mshauri tu!

KWANZA LAMPARD HAJUI KUFANYA SELECTION YA WACHEZAJI KIKOSINI, LAMPARD HAJUI KUFANYA SUB, LAMPARD HANA MBINU ZA KIUFUNDI KUSHINDA MECHI. TIMU IKIWA UWANJANI INACHEZA BORA LIENDE TUU, ANAFANYA VISUB VYAKE VYA UWONGO NA KWELI.
 
Mkuu game nimeangalia vizuri
Kipind cha kwanza tulijitahid but kwenye kutengeneza nafasi
Kipindi cha kimeanza tukapoteza nafas mount anakamatwa na davies japo kuwa alijarib kushoot, rebound ikamrudia barkley nayeye akashoot neur akadaka

Hiyo ndio only on target tuliyofanya 2nd half
Wakina pedro na willian walijarib kupenyeza mipira kwa tammy sema tammy mipira yote ikampita
Angalia chance walizotengeneza bayern ndio maana nasema hizo ndio clear chance kuanzia kwa save aliyofanya caba dhidi ya lewandoski, mpka kwa muller back header aliyopiga

Sent using Jamii Forums mobile app
Bayern walitengeneza nyingi Zaidi ya Chelsea lakini Chelsea nao sio chini ya tano ambazo zingemkuta forward makini na wa kasi tungepata sio chini ya goli 3
Kumbuka chances created sio shot on target hivi ni vitu viwili tofauti
 
KWANZA LAMPARD HAJUI KUFANYA SELECTION YA WACHEZAJI KIKOSINI, LAMPARD HAJUI KUFANYA SUB, LAMPARD HANA MBINU ZA KIUFUNDI KUSHINDA MECHI. TIMU IKIWA UWANJANI INACHEZA BORA LIENDE TUU, ANAFANYA VISUB VYAKE VYA UWONGO NA KWELI.
Lampard hana wachezaji wa kuwachagua, wote ni pasua kichwa, tuna wachezaji wa kuweza kufight for top 4 tu lakini sio wa UEFA Championship au EPL title
 
Bayern walitengeneza nyingi Zaidi ya Chelsea lakini Chelsea nao sio chini ya tano ambazo zingemkuta forward makini na wa kasi tungepata sio chini ya goli 3
Kumbuka chances created sio shot on target hivi ni vitu viwili tofauti

STORI ZA KIPUMBAVU TUU HIZI TUMECHOKA KUZISIKIA. TIMU IMETENGEZA NAFASI IMETENGEZA NDIO NINI? HIZO NAFASI HAZISAIDII CHOCHOTE KWENYE MATOKEO MABOVU. ACHENI KUSHABIKIA MAMBO YA KIPUUZI
 
“It was a harsh lesson,” Lampard said, “a reality for the players of the level we want to go to.”

Kwa kauli hiyo ya Lampard, wachezaji watakaobaki Chelsea kwenye starting XI msimu ujao watakuwa ni wachache sana na hata baada ya misimu miwili, hawa wachezaji wa sasa wa strating XI wote wanaweza kuwa ni sub tu
 
STORI ZA KIPUMBAVU TUU HIZI TUMECHOKA KUZISIKIA. TIMU IMETENGEZA NAFASI IMETENGEZA NDIO NINI? HIZO NAFASI HAZISAIDII CHOCHOTE KWENYE MATOKEO MABOVU. ACHENI KUSHABIKIA MAMBO YA KIPUUZI
Ndio maana unaandika kwa capital, wewe ndio mpuuzi usiyejitambua
 
Lampard speaks
They outclassed us in pretty much every department, so it was quite sobering. Am I surprised? I think we could have done more, certainly. I’m disappointed we couldn’t have done better, but it was a real reality check for everyone in the dressing room. We have to take one on the chin, look at ourselves and look at the levels we want to attain, and that we have attained in the past. We’ll always play with pride and you should never say the door is closed. I’m more concerned about the bigger picture here and there’s a lot to be done.
 
“It was a harsh lesson,” Lampard said, “a reality for the players of the level we want to go to.”

Kwa kauli hiyo ya Lampard, wachezaji watakaobaki Chelsea kwenye starting XI msimu ujao watakuwa ni wachache sana na hata baada ya misimu miwili, hawa wachezaji wa sasa wa strating XI wote wanaweza kuwa ni sub tu

LAMPARD ANATAKIWA AONDOKE MWISHO WA MSIMU HUU HATUWEZI KUENDELEA KUWA NA KOCHA KILAZA
 
Huyu jamaa lampard amuondoe tuu kwenye kikosi apumzike nyumbani asubirie mkataba wake uishe. Willan hana tena moyo wa kuendelea kuitumikia timu.

Sent using Cash Money Wings
Aondoke tu, anajua akipewa huo mkataba mrefu atakuja kusinzia wala hatacheza ili apokee mshahara wa bure. Management ikimpa mkataba hata huo wa miaka miwili nitawashangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom