Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Baada ya kipigo cha jana sasa scout team ya Chelsea wanaanza kuondoa kengeza
RB Leipzig defender Dayot Upamecano is Chelsea's top defensive priority for the summer, according to the Mirror.
 
Kabisa,
Tatizo wajuaji watakuja kukukatalia hapa ila umeongea point moja nzito sana mkuu.

Binafsi nakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ramos aondolewe
Isco
Modric
Casemiro
Valvede
Csavajal
Mendy
Kroos

Acha kuungana na ujinga+upumbavu+ushubwada,+ulimbwi+ushapukuna+ushedeku this is football kufungwa kupo ndio maana ya kushindana
 
“It was a harsh lesson,” Lampard said, “a reality for the players of the level we want to go to.”

Kwa kauli hiyo ya Lampard, wachezaji watakaobaki Chelsea kwenye starting XI msimu ujao watakuwa ni wachache sana na hata baada ya misimu miwili, hawa wachezaji wa sasa wa strating XI wote wanaweza kuwa ni sub tu
Nimejiquote mwenyewe kukazia. Baada ya kipigo cha juzi sasa yameiva, wachezaji nane ni lazima waondoke Chelsea akiwemo Jourginho na Keppa

Jorginho and Kepa among players facing Chelsea axe
4 hours ago 02:13
Up to eight first-teamers could leave in Blues clearout
Jorginho, Kepa Arrizabalaga and Ross Barkley are among a host of Chelsea players who could be looking for a new club this summer, claims The Sun.
Tuesday's 3-0 Champions League defeat to Bayern Munich showed Frank Lampard just how far his side is behind Europe's elite, while the Blues have also fallen behind in the race for a top-four finish.
Up to eight first-team players could form part of Lampard's clear-out to whip his squad into shape, with Kurt Zouma, Willian and Pedro also potential casualties.
Full list ya watakaoondoka
  1. Kepa
  2. Kurt Zouma,
  3. Jorginho
  4. Ross Barkley
  5. Marcos Alonso
  6. Emerson
  7. .........
  8. .......
 
Waliofanya hii shopping ndio waliotumaliza
Chelsea new player signings since 2017
PlayersClubTransfer sum
Ross BarkleyEverton£15million
EmersonAS Roma£17.4million
Alvaro MorataReal Madrid£70million
Tiemoue BakayokoMonaco£34million
Danny DrinkwaterLeicester City£35million
Davide ZappacostaTorino£25million
Kepa ArrizabalagaAthletic Bilbao£71.4million
 
HAYA NDIO MANENO. WAONDOKE MARA MOJA, JOGINHO ANATUZUGA NA PASS ZAKE WAKATI ANAICOST TIMU SANA MVIVU KUKABA, MZITO KUKIMBIA, LINAJIONDOA MCHEZONI KWA MAHASIRA YA KITOTO. HALAFU KUNA MEMBERS HAPA WANAMSIFIA ETI ANAITULIZA TIMU UPUMBAVU HUU, ANAICOST TIMU ZAIDI ANAVYOITULIZA.

JOGINHO ALISHAICOST TIMU TANGU ENZI ZA SARI, KANTE ALIKUWA ANAYABEBA MAKOSA YAKE, MCHEZAJI WA OVYO SANA.
 
Waliofanya hii shopping ndio waliotumaliza
Chelsea new player signings since 2017
PlayersClubTransfer sum
Ross BarkleyEverton£15million
EmersonAS Roma£17.4million
Alvaro MorataReal Madrid£70million
Tiemoue BakayokoMonaco£34million
Danny DrinkwaterLeicester City£35million
Davide ZappacostaTorino£25million
JorginhoNapoli£57million
Kepa ArrizabalagaAthletic Bilbao£71.4million

HIZI NDIO POINT ZA KUONGEA, UKWELI LAZIMA USEMWE TUVUKE KWENYE MKWAMO. HIZO SAJILI ZIMETUCOST SANA. ZIMETUDISHA NYUMA HATUA 10. SCOUTING TEAM, KOCHA NA UONGOZI WASAFISHE HAYO MATIKITIKITI MAJI. TUFANYE SAJILI ZENYE MACHO. CHELSEA SIO TIMU YA KUFUNGWA NA MAN U MECHI 3 MFULULIZO.
 
Wanakuelewa taratibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiquote mwenyewe kukazia. Baada ya kipigo cha juzi sasa yameiva, wachezaji nane ni lazima waondoke Chelsea akiwemo Jourginho na Keppa

Jorginho and Kepa among players facing Chelsea axe
4 hours ago 02:13
Up to eight first-teamers could leave in Blues clearout
Jorginho, Kepa Arrizabalaga and Ross Barkley are among a host of Chelsea players who could be looking for a new club this summer, claims The Sun.
Tuesday's 3-0 Champions League defeat to Bayern Munich showed Frank Lampard just how far his side is behind Europe's elite, while the Blues have also fallen behind in the race for a top-four finish.
Up to eight first-team players could form part of Lampard's clear-out to whip his squad into shape, with Kurt Zouma, Willian and Pedro also potential casualties.
Full list ya watakaoondoka
  1. Kepa
  2. Kurt Zouma,
  3. Jorginho
  4. Ross Barkley
  5. Marcos Alonso
  6. Emerson
  7. .........
  8. .......
Watabisha wenzio hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ramos aondolewe
Isco
Modric
Casemiro
Valvede
Csavajal
Mendy
Kroos

Acha kuungana na ujinga+upumbavu+ushubwada,+ulimbwi+ushapukuna+ushedeku this is football kufungwa kupo ndio maana ya kushindana

ACHA UNAFIKI, KUFUNGWA KUPO SAWA LAKINI SIO KUFUNGWA MECHI 3 MFULULIZO NA MAN U MBOVU. HAPO UTASEMAJE?

KAMA MAN U MBOVU INATUFUNGA, BAYERN UTAMFUNGA? MAN CITY UTAMFUNGA? LIVER UTAMFUNGA?

BOURNEMOUTH, WESTHAM MBOVU KABLA YA MOYES, EVERTON MBOVU KABLA YA ACCELOTI, WALIFUFUKIA KWETU HAPO UTASEMAJE?

TIMU YETU KWA UJUMLA NI MBOVU, IMEJAA MAVICHWA PANZI WENGI. KOCHA MWENYEWE KILAZA NAMBA MOJA HAJUI KUPANGA KIKOSI, KUFANYA SUB, KUBADILI MBINU WAKATI MECHI INAENDELEA KAZI KUJIANGALIA KWENYE TV ZA UWANJANI.
 
CHELSEA NDIO TIMU YA PILI EPL KURUHURU MAGOLI MENGI YA KUFUNGWA MAGOLI 37, TUMEMUONDOA KEPPA GOLINI BADO TUU MAGOLI YANAZIDI KUINGIA.

WASAJILIWE BEKI WA MAANA LB NA CB, NA YULE TAKATAKA JOGINHO AUZWE MARA MOJA, ANAKABA NINI UPUMBAVU TUU ANAEXPOSE MABEKI. KANTE AFANYE KAZI YA UKABAJI NAFASI YAKE.

MAN CITY KUNA SILVA, FERNAND NA DEBRUNE, SILVA ANACHEZESHA TIMU, FERNAND ANAKABA, KDB ANAPORA MIPIRA NA KUPANDISHA MASHAMBULIZI MWA HARAKA.

CHELSEA KATIKATI TUNA KOVACIC, JOGINHO, KANTE NA BARKELY. KOVACIC NA KANTE NDIO WA MAANA. JOGINHO NA BARKEY WAMEOZA RUBBISH

VIUNGO HAWAFANYI KAZI YAO VEMA, MABEKI WAMETOBOKA HAPO LAZIMA TUFUNGWE MAGOLI MENGI. TIMU ISAJILI WACHEZAJI WA MAANA TUONDOE HAYA MAMIZIGO YANAYOTUHARIBIA TIMU.
 
KWANZA LAMPARD HAJUI KUFANYA SELECTION YA WACHEZAJI KIKOSINI, LAMPARD HAJUI KUFANYA SUB, LAMPARD HANA MBINU ZA KIUFUNDI KUSHINDA MECHI. TIMU IKIWA UWANJANI INACHEZA BORA LIENDE TUU, ANAFANYA VISUB VYAKE VYA UWONGO NA KWELI.
We kweli unaangalia mpira... lampard anatuangusha hasa katika selection lakini ngoja tumvumilie tu...na akiendelea na ujinga wake hata top 4 tunaweza tusiipate..
 
Mi hadi leo bado nina swali kichwani kwangu...hivi yule Barkley alipangwa kufanya nini kwenye ile mechi???

NIKISEMA LAMPARD NI KILAZA NAMAANISHA NI KILAZA BARKELY SIO WA KUPANGWA MUDA HUU ANGETAKIWA ACHEZE HUKO WATFORD.

BARKLEY NI ZERO HANA KIWANGO CHA KUICHEZEA CHELSEA, ANAPOTEZA MIPIRA OVYO, ANAKATA MOTO MAPEMA, MBAYA ZAIDI SIO MBUNIFU ANATUMIA NGUVU KULIKO AKILI. HALAFU LINAJIFANYA LIKO SERIOUS USONI HALAFU LINAFANYA MADUDU UWANJANI.
 
Msimu ujao twende kaziView attachment 1370527

Sent using Cash Money Wings

LAMPARD HATA APEWE KIKOSI HICHI WEKA MESSI NA RONALDO MBELE, BADO TUTAFAIL KUPATA MATOKEO KWA UKILAZA WAKE. LAMPARD SIO KOCHA WA TIMU KUBWA UWEZO WAKE MDOGO SANA, UWEZO WAKE NI WA CHAMPIONSHIP NAKO HUKO PIA ALIFAIL KUIPANDISHA TIMU DARAJA.

KOCHA UNAFUNGWA NA MAN U MBOVU MICHEZO MITATU MFULULIZO RUBBISH COACH. HUNA LA KUJIFUNZA?, HUNA LA KUREKEBISHA?, HUNA LA KUBORESHA?

ABROMOVICH TIMUA LAMPARD POOR CHELSEA COACH EVER
 
I agree lampard sio kocha, sema anajificha kwnye sababu y kutosajili. Nilishasema hapa nikaonekana sio. Tusubir msimu ujao kila mtu ataelewa kuwa yule sio kocha.

Kocha mzuri hata awe na kikosi kibaya, mbinu utaziona tu. Klop wakat anaingia liva kulikua hamna wachezaji wa maana ila ulikua ukiangalia wakicheza unaona kuna mbinu zipo. Sasa lampard hamna kitu. Hata leo hii apewe liva bado atapgwa pigwa hovyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom