LONDON IS BLUE
Senior Member
- Feb 26, 2020
- 106
- 129
LAMPARD ANAJIONGELEA TUU, HE KNOWS NOTHING ABOUT COACHING STAFFS. UKOCHA AWAACHIE WAKINA GARDIOLA, KLOP, CONTE NA WENGINEYO.Lampard speaks
LAMPARD ANAJIONGELEA TUU, HE KNOWS NOTHING ABOUT COACHING STAFFS. UKOCHA AWAACHIE WAKINA GARDIOLA, KLOP, CONTE NA WENGINEYO.Lampard speaks
Tulikuwa na mtu kama huyu alitusumbua sanaNdio maana unaandika kwa capital, wewe ndio mpuuzi usiyejitambua
Jamaa aondoke tu huyu huenda katika mechi 10 mbili tu ndio huenda akacheza vizuriHuyu jamaa lampard amuondoe tuu kwenye kikosi apumzike nyumbani asubirie mkataba wake uishe. Willan hana tena moyo wa kuendelea kuitumikia timu.
Sent using Cash Money Wings
Jamaa wanafanana kila kituWewe utakuwa threedoors wa humu
Mnaomtafuta Ollachuga Oc huyu hapa kaja kivingineView attachment 1369542
Sent using Jamii Forums mobile app










naona na wenzetu wamepata milango mitatu waohahaha bora yule wa arsenalJamaa wanafanana kila kitu
Chelsea watapata tabu sana
Na ameonekana baada ya Chelsea kufungwa
Jamaa aondoke tu huyu huenda katika mechi 10 mbili tu ndio huenda akacheza vizuri
Summer tunahitaj kusafisha wachezaj wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu aende tuChelsea offer me 2 yrs but I want 3 more yrs' - Willian admits he could leave
Sent using Jamii Forums mobile app


Kazi unayo mkuu,kwanini usingeandika tu CHELSEA PUMBA?????Lampard ukocha pumba , mount kiwango pumba, barkey kiwango pumba, Abraham kiwango pumba, Jognho kiwango pumba, odoi kiwango pumba, pedro kiwango pumba, wilan mzigo, azipuleta mzigo, Alonso mzigo, Emerson mzigo, christen mzigo, batshauyi pumba, girud mzigo.
Kweli hii kamati ya ROHO MBAYAKAMATI YA ROHO MBAYA TUNAOMBA RADHI KWA MASHABIKI WETU WA BUYERN MUNICH KWA KUFUNGA MAGOLI MACHACHE HILO TATIZO HALITAJIRUDIA KWENYE MECHI YA MARUDIANO
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point kubwa sana mkuu.Huyo Gnabry na Sancho ni sawa na akina Odoi, Mount, Abraham. Arsenal mlimdharau leo mnamwona lulu, Man City walimdharau Sancho leo kwao ni lulu
Hata sisi Chelsea tulikuwa na akina Salah, Lukaku na Debruyne leo tunawaona lulu
3doors on his bestHakuna mtu anakukatalia, sasa Lampard ana uhusiano gani na wachezaji. Wewe unajua kama Chelsea ilifungiwa kusajili tangu Lampard awe kocha, au wewe unajua kuwa Lampard hana maamuzi kwenye usajili isipokuwa ni mshauri tu!
Huyu mm namwelewa sana ,na inahitaji utulie sana ili uelewe hoja zake,,,,Yule wa Arsenal alikuwa anajenga hoja za kiufundi huyu anakandia tuu.
Kabisa,WILLAN AONDOLEWE
PEDRO AONDOLEWE
AZIPULETA AONDOLEWE AMESHACHOKA HANA JIPYA
BATSHUAY AONDOLEWE
ALONSO AONDOLEWE
EMASON AONDOLEWE
JOGINHO HUYU KILAZA AONDOLEWE
BARKLEY AONDOLEWE
KEPPA AONDOLEWE
MOUNT AENDE MKOPO
ODOI SUB
TAMMY SUB HILI KICHWA PANZI RUBBISH
Yani nmecheka sasa wabaki wakia nanWILLAN AONDOLEWE
PEDRO AONDOLEWE
AZIPULETA AONDOLEWE AMESHACHOKA HANA JIPYA
BATSHUAY AONDOLEWE
ALONSO AONDOLEWE
EMASON AONDOLEWE
JOGINHO HUYU KILAZA AONDOLEWE
BARKLEY AONDOLEWE
KEPPA AONDOLEWE
MOUNT AENDE MKOPO
ODOI SUB
TAMMY SUB HILI KICHWA PANZI RUBBISH
Ila cha kushangaza anaishiaga huku huku mtaani, haendi mbaliBayern smashed Barcelona 7- 0 aggregate in 2013
Bayern also smashed Roma 9-2 aggregate in 2015
Bayern smashed Arsenal 10 -2 in 2015 also
Bayern smashed Spurs 10-3 in 2019
Chelsea beware its currently 3-0
Sent using Jamii Forums mobile app