Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

- Mbinu mpya za Lampard/Alichokileta Lampard Chelsea:-

Tangu Lampard atue ameintroduce mbinu ya wachezaji wetu kupress pale ambapo hawana mpira:-

1. Hawampi opponent uhuru wa kukaa na mpira muda mrefu
2. Wanamlazimisha opponent afanye makosa anapokuwa na mpira
3. Wanamlazimisha opponent afanye maamuzi ya haraka yatakayopelekea kufanya makosa.

Inapekea wakina Mount, Tammy, Kovacic kukamata na kupokonya mpira. View attachment 1371290

Mimi ni muumini mkubwa wa hii mbinu Man U naona kukosa hii kitu ndiko kunafanya vitimu vidogo vidogo vitudharau.

Inabidi kuwafanya wajue hatuna utani, yaani Man U tukiintroduce hiyo mbinu ukichanganya na zilizopo mbona tutakuwa fire.

Jana na Brugge ilitumika kidogo ila effect ilionekana wachezaji kupoteza mipira.
 
Halafu Kwani kuna timu ilijengwa overnight?
Lampard karidhi timu mbovu
Timu imewekwa kwenye ban msimu wa kiangazi ambapo tungepata wachezaji wanaofaa
Lampard hata hana sub wazuri, wale wabovu akiwaweka wanadai hajui kufanya sub
Nikiangalia usajili Man, Arsenal walioufanya tofauti na sisi na bado tumefanya vizuri dhidi yao ndipo utajua Chelsea ina platsic fans wengi
Tumpe Lampard nafasi na muda ili ajenge timu
Tatizo wao wanataka timu ishinde kila mechi na Chelsea haitakiwi kupoteza. Sasa unajiuliza kwani Chelsea inacheza na Manyema au Yeovil Town?

Basi walau wangekua wanajenga hoja Lampard anapofeli kutokana na wachezaji waliopo lakini mtu utasikia anasema hajui kipanga kikosi, ooh mara hajui kufanya sub. Hapo ndipo naanza kupata shaka wengi wa hivyo unakuta anaangalia matokeo tu unakuta hata game hajacheck.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Mbinu mpya za Lampard/Alichokileta Lampard Chelsea:-

Tangu Lampard atue ameintroduce mbinu ya wachezaji wetu kupress pale ambapo hawana mpira:-

1. Hawampi opponent uhuru wa kukaa na mpira muda mrefu
2. Wanamlazimisha opponent afanye makosa anapokuwa na mpira
3. Wanamlazimisha opponent afanye maamuzi ya haraka yatakayopelekea kufanya makosa.

Inapekea wakina Mount, Tammy, Kovacic kukamata na kupokonya mpira. View attachment 1371290
Tatizo la Chelsea tunawexa kumiliki mpira vizuri zikapigwa pass kadhaa mpaka tukafanya shambulio shida inakuja kwenye utafutaji upya wa mpira. Hawakabi kuanzia juu mpira ukifika kati ndio unaona wanaanza kutafuta. Willian anazunguka tu, Mount naye anaacha atleast unaanza kumuona Kova anajishughulisha kuanza kutafuta mpira.

Hiki kitu niliona kwenye mechi yetu na Tot. Tunahitaji active players dakika zote 90 mfumo wa Lampard ni kumpa pressure adui kuanzia mpira ukiwa kwake kabla haujavuka katikati. Angalia game ya Bayern tumepigwa counter attack kwa uzembe huo. Goli la 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea eye £42m transfer

Chelsea are reportedly ready to make a summer move for Lyon star Houssem Aouar.
However, the west London outfit are said to be battling Juventus to sign Aoaur and are keen on forcing through a deal in a bid to beat the Serie A side.

0_GettyImages-1193241351.jpg
Kinachofurahisha wachezaji tunaohusishwa nao ni vijana wadogo ambao wanafundishika. Huyu jamaa namfuatiliaga toka ananza kucheza Lyon ya wakubwa. Midfield mzuri anaweka mpira kwenye njia zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Chelsea tunawexa kumiliki mpira vizuri zikapigwa pass kadhaa mpaka tukafanya shambulio shida inakuja kwenye utafutaji upya wa mpira. Hawakabi kuanzia juu mpira ukifika kati ndio unaona wanaanza kutafuta. Willian anazunguka tu, Mount naye anaacha atleast unaanza kumuona Kova anajishughulisha kuanza kutafuta mpira.

Hiki kitu niliona kwenye mechi yetu na Tot. Tunahitaji active players dakika zote 90 mfumo wa Lampard ni kumpa pressure adui kuanzia mpira ukiwa kwake kabla haujavuka katikati. Angalia game ya Bayern tumepigwa counter attack kwa uzembe huo. Goli la 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachotakiwa ni board ikubali kumpa fl players anaowahitaji sio kununua wachezaji ambao hawapo kweny plan ya fl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu Kwani kuna timu ilijengwa overnight?
Lampard karidhi timu mbovu
Timu imewekwa kwenye ban msimu wa kiangazi ambapo tungepata wachezaji wanaofaa
Lampard hata hana sub wazuri, wale wabovu akiwaweka wanadai hajui kufanya sub
Nikiangalia usajili Man, Arsenal walioufanya tofauti na sisi na bado tumefanya vizuri dhidi yao ndipo utajua Chelsea ina platsic fans wengi
Tumpe Lampard nafasi na muda ili ajenge timu

HATUWEZI KUMPA MUDA HUYO KIAZI. KWA UBORA GANI ALIONAO WA KUFUNGWA MECHI TATU NA MAN U.

AKAFUNDISHE HUKO CHAMPIONSHIP
B:- Madhaifu ya Mbinu/mifumo ya Lampard:-

Kutokana na kitendo cha wachezaji wetu viungo kukabia juu inapekea kuacha gap kubwa katikati, na mabeki wetu wanabaki wazi bila ulinzi kinachofuata ni opponent kutupigia counter attack au penetration pass kwenda eneo tulioacha wazi. Mfano mzuri man u alitufunga kwa style hiyo, Leicester city pia.

Na hata morinho alishasema hilo kabla ya kuwa kocha Tote kwamba Chelsea inaacha gap kubwa katikati hakuna mbanano kati ya viungo wakabaji na mabeki wetu.

Na mbaya zaidi defensive yetu sio nzuri sana linapotekea shambulio la moja kwa moja wanachanganyikiwa kwenye kumark adui. View attachment 1371292View attachment 1371293View attachment 1371294View attachment 1371295View attachment 1371297

Sent using Cash Money Wings

KOCHA UNAFUNDISHAJE MPIRA WA HIVI WA KUACHA MAGAP KAMA SIO UKILAZA.
 
Ulichosema ni sawa ila sababu kuu ni kwamba hatuna viungo wa kuweza kutekeleza falsafa hiyo ya Lampard ya kupress na kupeleka mpira kwa haraka na ndio maana mara nyingi gap zinakuwa kubwa.
Sio kosa la kocha wala la klabu
Kinachotakiwa Lampard asikilizwe, apewe wachezaji wanaoendana na falsafa yake. Akina Marina wasilete much-know wasije ishia leta wachezaji kama wale wa 2017/18
Jorgninho, Kante wameshindwa kuendana na hiyo falsafa na ndio maana kuna wakati nilipendekeza Kante auzwe akiwa bado ana dhamani kwa sabau kule nje atafaa ila kwa falsafa ya Lampard hatafaa hata akifanywa DM. Jorginho naye kwenye mechi kubwa Jorgi anapwaya na kuwapa mzigo mkubwa wa ukabaji mabeki, naye auzwe.
Lampard aunde timu upya hata kama itachukua misimu miwili au mitatu

KANTE AUZWE KWA SABABU YA MIFUMO YA KUPUMBAVU? BODI HAIWEZI KUKUBALI HUO UOZO, LAMPARD ATAFUKUZWA ATUACHIE TIMU YETU ILIYOMSHINDA.
 
Hawa wanaosema Lampard ni kiazi wao ndio viazi vibovu
PEP na uzoefu wake misimu miwili na akina Zabaleta, Cabalero, Mangala, Sagna, Alexi Garcia, Samir Nasri, Jesus Navas, Wilfred Bony, na wengineo wakiwemo nyota wa sasa akina Aguero alikuwa akipigwa kama kichwa cha mwenda wazimu.
Klopp akiwa na akina Mingnolet, Moreno, Benteke, Daniel Sturridge pamoaj na baadhi ya mastaa kama akina Salah, TAA na wengineo ilikuwa ikipokea vipigo miaka 4 mfululizo

Lampard hata hana msimu, karidhi magarasha mengi na ban juu bado mnamwita kiazi, nina hasira na watu wanaojitoa ufahamu humu

FUNGA BAKULI HUJUI KITU WEWE ZUMBUKUKU WA MPIRA
 
Chelsea are looking to activate a clause to bring Jeremie Boga back to the club, only to sell him in another permanent deal this summer.
Marina ni mfanyabiashara tena machinga
 
Umeona sheria mpya ya wachezaji wanaotokewa kwa mkopo.

Hiyo sheria inasema ni marufuku club kutoa mkopo wachezaji zaidi ya 6 wenye umri kuanzia miaka 22 kuendelea.

Hii sheria imegusa moja kwa moja Chelsea yenye wachezaji wengi wa mkopo.

Hii sheria itaanza kufanya kazi mwezi Sept. (Source the Sun)

Kwahiyo tujitahidi kuuza magarasa yaliyopo kwa mkopo kabla ya septView attachment 1371723
Hao wote wa kuuzwa tu. Hakuna anayeweza kuja okoa jahazi katika situation tuliyonayo. Sema board inaogopa kuwauza yasije tokea ya De Bruyne na Salah hasa huyo Mario Pasalic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa anaeitwa london is blue me nahis ni mtu tu aliyekuwa yupo humu ndan kwa id nyingine sema tu kaamua aje na id nyingine
Stakib kuamini kuna mtu atafungua jf acc na hiyo hiyo siku aanze kutukana kwenye hii thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALONSO club nyingi zinamtaka Athetico Madrid, Juventus, Intermilan, unategemea atakubali kubaki Chelsea awe Sub?

Ukisema abaki mwenyewe tuuze Ermson, kumbuka Alonso ni injuries vulnerable muda wowote anapata majeraha

Usajili wa lazima kwa sasa ni CB, LB na STRIKER.
Kama tusiposajili ivyo itakuaje unadhani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom