Lets Get Together
JF-Expert Member
- Nov 26, 2019
- 258
- 431
Ngapi huko?
#I know It's too late
#I know It's too late
Yani umpate Oblak, Sancho, Upamecano, Werner wote kwa pamoja ... man wake up!! Baada ya Ziyech mshafunga hesabu hapo. Huyo Werner nyie mnapiga tetesi, Liverpool wamepeleka request tayari.Msimu ujao twende kaziView attachment 1370527
Mkuu,unavyoandika haya maherufi makubwa unanikumbusha mbali sana,enzi za 3doors na hii acc yako mpya ndio kabisa mzeebaba.....ACHA UNAFIKI, KUFUNGWA KUPO SAWA LAKINI SIO KUFUNGWA MECHI 3 MFULULIZO NA MAN U MBOVU. HAPO UTASEMAJE?
KAMA MAN U MBOVU INATUFUNGA, BAYERN UTAMFUNGA? MAN CITY UTAMFUNGA? LIVER UTAMFUNGA?
BOURNEMOUTH, WESTHAM MBOVU KABLA YA MOYES, EVERTON MBOVU KABLA YA ACCELOTI, WALIFUFUKIA KWETU HAPO UTASEMAJE?
TIMU YETU KWA UJUMLA NI MBOVU, IMEJAA MAVICHWA PANZI WENGI. KOCHA MWENYEWE KILAZA NAMBA MOJA HAJUI KUPANGA KIKOSI, KUFANYA SUB, KUBADILI MBINU WAKATI MECHI INAENDELEA KAZI KUJIANGALIA KWENYE TV ZA UWANJANI.
Linatifuatifua nyasi kama liguruwe pori lililonaswa na mtegoNIKISEMA LAMPARD NI KILAZA NAMAANISHA NI KILAZA BARKELY SIO WA KUPANGWA MUDA HUU ANGETAKIWA ACHEZE HUKO WATFORD.
BARKLEY NI ZERO HANA KIWANGO CHA KUICHEZEA CHELSEA, ANAPOTEZA MIPIRA OVYO, ANAKATA MOTO MAPEMA, MBAYA ZAIDI SIO MBUNIFU ANATUMIA NGUVU KULIKO AKILI. HALAFU LINAJIFANYA LIKO SERIOUS USONI HALAFU LINAFANYA MADUDU UWANJANI.
Kuna watu wanjifunza kushabikia. Wao hawajui kujenga hoja, wakikuta mada wanaungia juu kwa juu.We jamaa uwe na akiba ya maneno. Akisajiri then msimu ujao akafanya vizuri sijuiutaficha wapi sura yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi - Lampard Kufukuzwa
ARD CALL
Chelsea manager Frank Lampard could face the sack from Roman Abramovich after a transfer disagreement in January with Marina Granovskaia, according to the Express.
The Blues were battered 3-0 by German champs Bayern Munich at Stamford Bridge on Tuesday night.
Lampard's side were thoroughly outplayed, with questions being raised about the side after such a deflating result.
Granovskaia could persuade the club's Russian owner to part ways with the legendary midfielder if results continue to slide.
Journalist Duncan Castles spoke on the matter on the Transfer Window podcast.
He said: “If Granovskaia continues to have doubts about Lampard and he continues to have this lack of success in home matches and more importantly should that translate into missing out on the Champions League, then the chances of Abramovich being encouraged to twitch those fingers are certainly greater.”
Werner hawezi kwenda Liverpool, pale anajua hatapa namba. Huo ndio ukweli![]()
yani umpate Oblak, Sancho, Upamecano, Werner wote kwa pamoja ... man wake up!! Baada ya Ziyech mshafunga hesabu hapo. Huyo Werner nyie mnapiga tetesi, Liverpool wamepeleka request tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitaka kuwaleta akina Drinkwater type, Lampard akakataa, haya sasaTetesi - Lampard Kufukuzwa
ARD CALL
Chelsea manager Frank Lampard could face the sack from Roman Abramovich after a transfer disagreement in January with Marina Granovskaia, according to the Express.
The Blues were battered 3-0 by German champs Bayern Munich at Stamford Bridge on Tuesday night.
Lampard's side were thoroughly outplayed, with questions being raised about the side after such a deflating result.
Granovskaia could persuade the club's Russian owner to part ways with the legendary midfielder if results continue to slide.
Journalist Duncan Castles spoke on the matter on the Transfer Window podcast.
He said: “If Granovskaia continues to have doubts about Lampard and he continues to have this lack of success in home matches and more importantly should that translate into missing out on the Champions League, then the chances of Abramovich being encouraged to twitch those fingers are certainly greater.”
Huwa napenda kujenga hoja. Mimi huyo jamaa hata simfuatilii kwa sababu tayari ameshajishushia hadhi ya kusikilizika kwa sababu ya kauli zake za kejeli na matusi.Huyu jamaa anayeandika kwa herufi kubwa tunampa nafasi kutokana na uwezo wetu mdogo wa kujenga hoja na kufanya uchambuzi.
Tukubaliane members hapa tuna udhaifu wa kuchambua mifumo, mbinu, falsafa za kocha, wachezaji na timu kwa ujumla. Sisi hapa huwa tunapost taarifa za mitandaoni na kujadili matukio.
Lile jukwaa la man u nalikubali sana jamaa wanafanya uchambuzi sio mchezo wanajadili hoja ngumu ngumu.
Huyu 3 doors anayesema Lampard ni kiazi anapata wapi baseline ya kumponda kocha?
Embu leo tukipata nafasi tumchambue huyu Lampard:-
1. Historia yake ya ukocha
2. Chelsea ameleta kitu gani tofauti ukilinganaisha na makocha waliotangulia
3. Tuchambue mifumo yake, mbinu zake na falsafa yake
4. Ubora wake ni upi?
5. Madhaifu yake ni yapi?
6. Baada ya kujadili hayo je yeye kama yeye anaweza kutupa mafaniko?
7. Je lampard ukimpa timu ya Liverpool, man city, anaweza kupata matokeo wanayopata makocha wa hizo timu?
Nadhani tukimjadili huyu kocha in details tutakuwa tumemjibu huyo capital letters.
Sent using Cash Money Wings
Walitaka kuwaleta akina Drinkwater type, Lampard akakataa, haya sasa
Tuwaachie wenye mpira kwenye sekta yao. Lampard ndio anafaa Chelsea. Haya matokeo tunayopata yanatokana na timua timua ya makocha kila msimu. Kocha hapati muda wa kukaa na wachezaji ajenge timu ya ushindani kwa walau misimu mitano wanachotaka wao kila msimu aje kocha mwingine ndio maana tumefikia huku.
Kipindi cha Sarri ball tulipata matokeo mabovu lakini atleast alionyesha mwanga kwa mpira tuliocheza na mimi niliamini tunawexa jenga timu ya ushindani lakini niliumia sana alivyoondoka kwa sababu nilijua tunarudi kulekule nani kweli tumerudi. PLASTIC FANS sasa ivi ndio wanashikilia mabango FL aondoke. Kila mtu anumia tunapopoteza lakini tuangalie timu ipo nafasi gani? Top four tupo na uwezo wa kubakia bado tunao. Shida yenu ni nini nyie? Kwa wachezaji tulionao hata aje Klopp na Guardiola nao pia watahitaji muda kama ambavyo Lamps anahitaji.
Frank Lampard Is Our Past, Our Present, Our Future. FL DamuDamu Milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Kwani kuna timu ilijengwa overnight?Tuwaachie wenye mpira kwenye sekta yao. Lampard ndio anafaa Chelsea. Haya matokeo tunayopata yanatokana na timua timua ya makocha kila msimu. Kocha hapati muda wa kukaa na wachezaji ajenge timu ya ushindani kwa walau misimu mitano wanachotaka wao kila msimu aje kocha mwingine ndio maana tumefikia huku.
Kipindi cha Sarri ball tulipata matokeo mabovu lakini atleast alionyesha mwanga kwa mpira tuliocheza na mimi niliamini tunawexa jenga timu ya ushindani lakini niliumia sana alivyoondoka kwa sababu nilijua tunarudi kulekule nani kweli tumerudi. PLASTIC FANS sasa ivi ndio wanashikilia mabango FL aondoke. Kila mtu anumia tunapopoteza lakini tuangalie timu ipo nafasi gani? Top four tupo na uwezo wa kubakia bado tunao. Shida yenu ni nini nyie? Kwa wachezaji tulionao hata aje Klopp na Guardiola nao pia watahitaji muda kama ambavyo Lamps anahitaji.
Frank Lampard Is Our Past, Our Present, Our Future. FL DamuDamu Milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichosema ni sawa ila sababu kuu ni kwamba hatuna viungo wa kuweza kutekeleza falsafa hiyo ya Lampard ya kupress na kupeleka mpira kwa haraka na ndio maana mara nyingi gap zinakuwa kubwa.B:- Madhaifu ya Mbinu/mifumo ya Lampard:-
Kutokana na kitendo cha wachezaji wetu viungo kukabia juu inapekea kuacha gap kubwa katikati, na mabeki wetu wanabaki wazi bila ulinzi kinachofuata ni opponent kutupigia counter attack au penetration pass kwenda eneo tulioacha wazi. Mfano mzuri man u alitufunga kwa style hiyo, Leicester city pia.
Na hata morinho alishasema hilo kabla ya kuwa kocha Tote kwamba Chelsea inaacha gap kubwa katikati hakuna mbanano kati ya viungo wakabaji na mabeki wetu.
Na mbaya zaidi defensive yetu sio nzuri sana linapotekea shambulio la moja kwa moja wanachanganyikiwa kwenye kumark adui. View attachment 1371292View attachment 1371293View attachment 1371294View attachment 1371295View attachment 1371297
Sent using Cash Money Wings
Jorgi kwenye mechi ndogo anaonekana ila kwenye kubwa mfano ile ya Bayern, Jorginho ndie aliyepwaya kabisa na kusababisha timu ikalemewa