DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Aiseeehhh huu ni uchawi...maana mm nlijiwekea zangu Over2.5 sasa hivi nasubiri pakuche ....nikachukue mpunga,hahahahaTukutane saa 5 mkuu.
Zikipungua sana leo basi ni 3.
Inaboa sana timu dhaifu kwenda kusindikiza champions league kijinga jinga kama hivi ya nini kugombania champions league wakati unakutana na wanaume wanakupa mambo unatulia kama mtungi?itabidi itungwe sera mpya timu ambayo itadhalilisha champions league kama chelsea inyimwe nafasi ya kushiriki Msimu unaofuata ni aibu aibu aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni shabiki wa liver lakini niliamini mtashinda maana hao msimu uliopita tuliwatoa kwao ujerumani kwa kuwapiga tatuBinafsi naona tumejitahidi
Au kuna mtu aliamini tutashinda?
Namuona Ox Chamberlain anacheekaNa siku nyingine muwe na adabuView attachment 1369257View attachment 1369258
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikosea sanaMimi ni shabiki wa liver lakini niliamini mtashinda maana hao msimu uliopita tuliwatoa kwao ujerumani kwa kuwapiga tatu
Namashaka na uwezo wako wa kufikiria kwenye mpiraMlifungiwa hadi kusajili January?
Yupo jamaa mmoja anajiita Ollachuga OcBinafsi naona tumejitahidi
Au kuna mtu aliamini tutashinda?
Daaah! Nyie watu nyie mbona hamna hurumaUlikosea sana
Hukujua golin kuna caballero au kepa?
Arsenal ilishawahi kuchukuwa ucl ata mara moja tangu ilivyokuwa inashiriki?London still red.....
Ukibisha nakuja na vielelezo kutoka kwa mwamba hapo juuView attachment 1369255
Sent using Jamii Forums mobile app