juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Kafundishe wewe mkuuKova jana alijitahidi sana, kiazi jog mpira ukamshinda hamna kitu mchezaji wa ovyo sana halafu anakwenda kumfokea refa halafu ana kadi ya njano akapewe nyingine anakosa mechi ijayo, quality ya wachezaji wa chelsea ni poor poor na kocha uwezo wake ni poorest sijui alipataje kazi Chelsea anaivuruga timu arudi huko derrby
Vitu vingine unalalamika utasema tim yako inawachezaji wa kupambana na bayern
Mpe wachezaj wazuri ndio uumjudge mtu sio unatim yakina barkley,alonso,pedro etc utegemee utapata matokeo dhidi ya tim kubwa
Ndio maana me nasema nitaanza kumjudge fl kuanzia msim ujao pale atakapoanza kufanya transfer za wachezaj anaowataka
Sent using Jamii Forums mobile app