Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

naona vitoto vya chelsea vimeshikishwa ukuta usiku nusu naona,hahahaaaaa tena bila hata kukukuruka yaani inaonesha dhahiri vilivyokuwa vizoefu wa hiyo michezo,yaani vimetulia tu wanaume wanaweka.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulisimikwa mkono mzima. Kina Bellerin na Ox wanacheka cheka tu.
Tena nyinyi mnapigwa kipigo cha mbwa koko na bayern hii ya vitoto?
Je mngekutana na wale wazee Robben na Ribery si mngepigwa mchakae...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana chelesea wenzangu huyu tumkumbushe au tumuache hivi? Naona haijui Chelsea vizuri. Kijana kabla hujaongea kitu uliza kwanza.
Screenshot_20191216-193227_1576517159743.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vitoto vya Arsenal vinafurahia kwa sababu vyenyewe vilishindwa kwetu so kufanya ivyo vinahisi vinatukasirisha. Wakati huo huo wao wanasahau walishikishwa ukuta usiku mzima.

London is always blue.[emoji838][emoji838][emoji838]

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda London ya mbagala kibulugwa ndio blue, kule mkienda mtapigwa 7 kabisa na red card juu

Always London is red

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1369344

Sent from my iPhone using JamiiForums
Lampard level yake sio kocha wa kuifundisha Chelsea. Hana mbinu yeyote, unafungwa goli la kwanza unakalisha mapumb...., goli la pili unaendelea kukalisha mapumb...., badala ya kusimama na kuhamasisha wachezaji na kuwapanga, linaingia goal la tatu bado umekalisha mapumb..... yule mchezaji joginho ni kiazi sana hana hadhi ya kuichezea Chelsea kabisa anatupotezea muda aondoke. Barkey na mount level ya ni kucheza Burley sio chelsea. Yule Abraham jana angetakiwa awe nyumbani anaangalia mechi kwenye tv ovyo kabisa kichwa panzi. Chelsea kurudi kwenye ubora wake Lampard lifukuzwe.
 
. match ya jana Chelsea ata angefanyaje asingeweza kushinda kuna match lampard anazingua ila kwa match ya jna ile ilkuwa nzito kwake

Bayern kacheza with more than six experienced uefa players tena matured players unatgemea Chelsea angeshinda
 
unapanga middle wote unashindwa hat kupata goli moja hakuna cha akina cotinho timu haichezi kwa kujitoa na moral
Chelsea ya sasa hiv hakuna mchezaj hakuna mchezaji yyt creativ
Huwezi pata goal kama hauna wachezaj wanaoweza tafuta or wakatengeneza nafasi

Wenzako wana thiago alcantara ambaye mbele yake ana gnarby muller coman na lewandowski
Wakati wewe una barkley,mount na giroud utegemee labda utapata goal

Hembu tuache kudanganyana hapa hakuna clear chanc yyt tuliyotengeneza ukilinganisha na bayern coz bayern wako bora zaid yetu na hiyo imejiidhihirisha hiyo jana kwa kila idara ndani ya uwanja ilionekana jins bayern walivyo kuwa bora

Angalia fullback za bayern zilivyokuwa zinapanda kushambulia na za kwetu ni vitu viwil tofauti

Ilo goal labda upate kibahati bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wa kufikir unaingiaje hapo sasa.....Timu nyingine si zilisajir dirisha dogo... Au ndo njia ya kupotezea swali.... Narudia Hadi January mlifungiwa kusajiri?
Ulitegemea chelsea january isajili wachezaj wa 5 ambao huwezi wapata
Mfano mzuri ni ziyech ajax walikataa kabisa hawawez kumruhusu kuondoka january

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. match ya jana Chelsea ata angefanyaje asingeweza kushinda kuna match lampard anazingua ila kwa match ya jna ile ilkuwa nzito kwake

Bayern kacheza with more than six experienced uefa players tena matured players unatgemea Chelsea angeshinda
Lampard ajiuzulu ukocha uwezo wake mdogo kuifundisha chelsea, ametuingiza kwenye marekodi mabaya stanford bridge. Kocha gani huna mbinu, hajui kupanga kikosi, mmbaguzi, wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi, kocha hana mvuto. Rubbish kocha kuwahi kuifundisha Chelsea
 
Lampard level yake sio kocha wa kuifundisha Chelsea. Hana mbinu yeyote, unafungwa goli la kwanza unakalisha mapumb...., goli la pili unaendelea kukalisha mapumb...., badala ya kusimama na kuhamasisha wachezaji na kuwapanga, linaingia goal la tatu bado umekalisha mapumb..... yule mchezaji joginho ni kiazi sana hana hadhi ya kuichezea Chelsea kabisa anatupotezea muda aondoke. Barkey na mount level ya ni kucheza Burley sio chelsea. Yule Abraham jana angetakiwa awe nyumbani anaangalia mechi kwenye tv ovyo kabisa kichwa panzi. Chelsea kurudi kwenye ubora wake Lampard lifukuzwe.

Mkuu ukweli usemwe.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lampard ajiuzulu ukocha uwezo wake mdogo kuifundisha chelsea, ametuingiza kwenye marekodi mabaya stanford bridge. Kocha gani huna mbinu, hajui kupanga kikosi, mmbaguzi, wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi, kocha hana mvuto. Rubbish kocha kuwahi kuifundisha Chelsea
Yamekuwa haya tena ?

Hebu ngoja aje Ndugu yangu Cash Money Forever
 
Thiago alcantara kawapoteza jorginho na mwenzie Suleiman Kova ,

Kaufanya mpira uwe rahisi kama ngono

Bwana mdogo kutoka Canada , Alphonso Devies , winger machachari , Sasa hivi anakula fullback miaka 19,

Aliwafanya kitu mbaya sana

Gnabry home boy alikuwa atoke na hattrick anawangoja Alianz Arena
 
Lampard level yake sio kocha wa kuifundisha Chelsea. Hana mbinu yeyote, unafungwa goli la kwanza unakalisha mapumb...., goli la pili unaendelea kukalisha mapumb...., badala ya kusimama na kuhamasisha wachezaji na kuwapanga, linaingia goal la tatu bado umekalisha mapumb..... yule mchezaji joginho ni kiazi sana hana hadhi ya kuichezea Chelsea kabisa anatupotezea muda aondoke. Barkey na mount level ya ni kucheza Burley sio chelsea. Yule Abraham jana angetakiwa awe nyumbani anaangalia mechi kwenye tv ovyo kabisa kichwa panzi. Chelsea kurudi kwenye ubora wake Lampard lifukuzwe.
Me siwez mlaumu lampard coz hamna wachezaji wowote wale ambao utasema wangeweza badilisha mchezo

Lampard nitamlaum msim ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thiago alcantara kawapoteza jorginho na mwenzie Suleiman Kova ,

Kaufanya mpira uwe rahisi kama ngono

Bwana mdogo kutoka Canada , Alphonso Devies , winger machachari , Sasa hivi anakula fullback miaka 19,

Aliwafanya kitu mbaya sana

Gnabry home boy alikuwa atoke na hattrick anawangoja Alianz Arena
Kova jana alijitahidi sana, kiazi jog mpira ukamshinda hamna kitu mchezaji wa ovyo sana halafu anakwenda kumfokea refa halafu ana kadi ya njano akapewe nyingine anakosa mechi ijayo, quality ya wachezaji wa chelsea ni poor poor na kocha uwezo wake ni poorest sijui alipataje kazi Chelsea anaivuruga timu arudi huko derrby
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom