camily
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 268
- 653
90% ya mechi za chelsea za msimu huu nmeaangalia..Samani mzee baba hivi unaangaliaga mechi za Chelsea?
Sent using Jamii Forums mobile app
90% ya mechi za chelsea za msimu huu nmeaangalia..Samani mzee baba hivi unaangaliaga mechi za Chelsea?
Teh teh kweli unamjua Batshuayi, amekosa goli la wazi kabisa.Batshuay katika chamce 5 either apate moja or akosd zote huwa sijawahi mkubali
Sent using Jamii Forums mobile app
batshuay sijui hana confidence au anashida gan
Serious, Chelsea mna tatizo la foward. Mnacheza vizuri ila mbele kubovu sana.batshuay sijui hana confidence au anashida gan
Yani hata mkishinda bado ni wa saba [emoji23] [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1361239
Sent using Jamii Forums mobile app