Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimependa maoni ya shabiki huyu kabla ya mechi ya Leicester city na Chelsea

We are getting smoked.
Kepa dropped. But Caba is worse.
Willian dropped. But Pedro is worse.
Kovacic doesn't start. But he's been our best player.
Kante x Jorgi doesn't work.

Leicester winning this easy.

— Don (@CFCDon) February 1, 2020
 
Kuna mtu hapa anaitwa ENZO anafikiri yeye anaweza kutamka neno lolote la kukashifu au kutukana na akapewa like.
Anawachukia kuanzia Kocha hadi wachezaji wa Kiingereza hata kama wanafanya vizuri na mbaya Zaidi anasindikiza chuki yake na matusi juu na ndio maana mimi siwezi jibu wala kuweka like kwenye maandishi yake labda ajirekebishe. Na mimi ninapomkosoa mtu najumlisha nature ya tabia yake kwenye mazungumzo na pia nafanya utafiti mdogo kuhusu mada husika.

Lampard ni kocha pekee mwenye kufanya maamuzi magumu bila kuangalia utaifa wa mchezaji
Barkley alipovurunda kwenye ile penalty na Valencia aliondolewa kwenye chaguo la kwanza la kupiga penalti
Tomori alipofanya defensive error kwenye mechi kadhaa alidropiwa na nafasi yake sasa yuko Andreas Christensen kwa kubadilsihana na Rudiger
Lakini kuna mtu hapa Mount akikosea kidogo Lampard anawapendelea Waingereza
Barkley akiingizwa au kuanza, Lampard anawapendelea Waingereza

Kila mtu atakubaliana nami pamopja na Lampard
Hawa watoto
Akina
  1. Reece
  2. Tammy
  3. Mount
  4. Tomori
wana talent ndani yao. Wasipopewa nafasi wakaondoka tutarudia makossa yale yale ya Man city kumuachia Jadon Sancho, Chelsea kumuachia Debruyne, MO Salaha na Lukaku
 
Ila tuwe wakweli Lampard anambeba Sana mount hao wengine Sina tatizo nao Kuna mechi nyingi mount anaboronga still anakuwa first eleven lakini wengine anakuwa faster kuwatoa mfano mzuri kovacic.Kuna game kabisa unaona hazimuitaji mount kutokana na uchezaji wake especially kwenye team zinazodefend na zipo well organized muda mwingi cos mount sio mtu ambaye ana idrive team au kutengeneza nafasi kwa team za aina Hiyo mtu sahihi hapo ni kovacic cos nimbunifu ana uwezo wakuifunga defense ya team pinzani, ana control game Cha ajabu unakuta Lampard ana muanzisha mount instead of kovacic hapa ndio anaponishangaza Lampard.
 
A:- MAELEWANO UWANJANI YANAKATA YANARUDI YANAKATA YANARUDI.

Kovacic - Jognho - Kante
Pulisic - Tammy - Willan
Pulisic - Batshuayi - Willan

B:- MAELEWANO HAKUNA UWANJANI

Mount - Jognho - Kante
Mount - Jognho - Barkely
Mount - Kante - Barkely
Odoi - Tammy - Willan
Odoi - Tammy - Pedro
Mount - Tammy - Willan
Mount - Tammy - Odoi
Odoi - Batshuayi - Willan
Mount - Batshuayi - Willan

Mi nadhani matatizo ya chelsea uwanjani ni zaidi ya viwango vya wachezaji.

Inakuwaje wachezaji hakuna mawasiliano mazuri ya kiuchezaji? Tunakuwa kama tunabahatisha mifumo ya uchezaji

Angalia man city, liverpool wanaelewana sana sana kuanzia nyuma mpaka mbele ile flow ya mpira unaiona kabisa.

Sent using Cash Money Wings
Jorginho - kova hii ilikuwa imeclick
Sema mchezaj kama kante huwezi ukamuweka njee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka naomba uongelee umuhimu wa JOGNHO kwenye kikosi, ukirefer nafasi yake anayocheza sambamba na mifumo na mbinu za kocha wa sasa?

Sent using Cash Money Wings
Anatuliza temper ya game
Mechi nyingi huwa akianzia bench unakuta jins tunavyocheza tunapoteza mipira hovyo au akiwepo na tunaongoza kwa ushindi finyu unakuta mido yote inkuwa haijatulia, refer hizi mechi vs arsenal na valencia

Na angalia mechi zote ambazo tumecheza na jorgi na kova

Na ambazo tumecheza na jorgi,kova na kante
Ujue kante sio kiungo mshambuliaji tunamforce tu kucheza vile ndio ukiangalia mechi zote ngumu vs liverpool tulikuwa tunaanza na kante,jorgi n kova ilikupunguza tim pinzan kutotawala kiungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwaweke pembeni mount, kovacic na Kante tumuongelee huyu Jognho umuhimu wake kwenye kikosi kuna swali nimeuliza hapo juu, naomba tushare mawazo

Sent using Cash Money Wings
Kama uliangalia game ya arsenal na Chelsea ile ya Emirates Chelsea ilikuwa inapoteza mipira mingi hakuna utulivu kabisa ila baada ya kuingia jorginho Chelsea ikawa imecontrol game nzima na kukawa na utulivu eneo la Kati lakini akawa kiunganishi kizuri Kati yake na mabeki tofauti na mwanzo ambapo hakuwepo lakini pia akaipush team kwenda mbele kumshambulia.
 
Oky kwa mfano KANTE akarudi kucheza original position Defensive Mildfilder.

JOGNHO akaendelea kucheza nafasi yake.

Kovacic/Mount wakachezeshwa ATTACKING MIDFIELDER perfomance pale katikati itakuwaje?

Sent using Cash Money Wings
Original position ya kante anacheza jorginho hiv sasa lakini wakiwa na majukumu tofauti kante alikuwa na jukumu la kulinda defender kwa kukaba na kuzuia mashambulizi but jorginho kazi yake ni kudetect game, kucontrol game pamoja kuunganisha team.kwa maana Hiyo kante Kama akirudi nafasi yake inabidi jorginho atolewe Hiyo nafasi acheze kwenye nafasi ya kiungo wa pembeni anayocheza kante hiv sasa.Kwa upande wangu naona itafanya vizuri Sana Hiyo formation.
 
Ila tuwe wakweli Lampard anambeba Sana mount hao wengine Sina tatizo nao Kuna mechi nyingi mount anaboronga still anakuwa first eleven lakini wengine anakuwa faster kuwatoa mfano mzuri kovacic.Kuna game kabisa unaona hazimuitaji mount kutokana na uchezaji wake especially kwenye team zinazodefend na zipo well organized muda mwingi cos mount sio mtu ambaye ana idrive team au kutengeneza nafasi kwa team za aina Hiyo mtu sahihi hapo ni kovacic cos nimbunifu ana uwezo wakuifunga defense ya team pinzani, ana control game Cha ajabu unakuta Lampard ana muanzisha mount instead of kovacic hapa ndio anaponishangaza Lampard.
Sijakataa hilo lakini sio anawabeba waingereza, kwa sababu Barkely ni mwingereza, Tomori ni Mwingereza pia. Kwenye kila klabu kocha ana mapenzi na baadhi ya wachezaji na Lampard ana mapenzi sana na vijana wadogo of course ile ligi ya kwao ni lazima kama wako vijana wenye kuleta matumaini kama Moun t lazima wapendelewe na Lampard anajua limit ya kuwapendelea kwamba Chelsea ikifanya vibaya atafukuzwa hata kama mkataba wake alipewa timu isishuke daraja.
Lampard alishinikiza striker atafutwe kwa sababu ameona Tammy sio wa kumtegemea kwenye top 4 fight
Hata attacking midfield ameshinikiza atafutwe kwa sababu akina Kovacic, Kante, Mount, Barkley sio wa kuwategemea kwenye kuwa creative na kufunga.
Mimi nashauri tumpe nafasi Lampard aijenge timu, ni kocha chipukizi na ni mzuri. Huyu Lampard tutakuja kumjaza misifa kwenye mwaka wake wa pili au wa 3 akipewa ushirikiana na management hasa wa kusajili wachezaji anaowataka
 
Hahahah... mount alianza vizuri... ila sijui amekuwaje now...
Ila tuwe wakweli Lampard anambeba Sana mount hao wengine Sina tatizo nao Kuna mechi nyingi mount anaboronga still anakuwa first eleven lakini wengine anakuwa faster kuwatoa mfano mzuri kovacic.Kuna game kabisa unaona hazimuitaji mount kutokana na uchezaji wake especially kwenye team zinazodefend na zipo well organized muda mwingi cos mount sio mtu ambaye ana idrive team au kutengeneza nafasi kwa team za aina Hiyo mtu sahihi hapo ni kovacic cos nimbunifu ana uwezo wakuifunga defense ya team pinzani, ana control game Cha ajabu unakuta Lampard ana muanzisha mount instead of kovacic hapa ndio anaponishangaza Lampard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Original position ya kante anacheza jorginho hiv sasa lakini wakiwa na majukumu tofauti kante alikuwa na jukumu la kulinda defender kwa kukaba na kuzuia mashambulizi but jorginho kazi yake ni kudetect game, kucontrol game pamoja kuunganisha team.kwa maana Hiyo kante Kama akirudi nafasi yake inabidi jorginho atolewe Hiyo nafasi acheze kwenye nafasi ya kiungo wa pembeni anayocheza kante hiv sasa.Kwa upande wangu naona itafanya vizuri Sana Hiyo formation.
Kwenye 4-3-3 tu ndio Kante anacheza nje ya position yake ya zamani
ila kwenye 4-2-3-1 au 3-4-3 Kante anacheza role sawa na Jorginho
Mfano Chelsea VS Leicester city Kante alicheza na Jorgninho kwenye defensive role kwa kutumia formation ya 4-2-3-1
 
Refer game ya arsenal. Mimi naweza kusema Joginho ndio anayefanya chelsea inakuwa na gameplay nzuri. Refer game ya arsenal ile tuliyoshinda 2 - 1 . Pia unaweza kurefer game kadhaa pale katikati ambazo joginho aliwekwa benchi nini kilitokea.
Tuwaweke pembeni mount, kovacic na Kante tumuongelee huyu Jognho umuhimu wake kwenye kikosi kuna swali nimeuliza hapo juu, naomba tushare mawazo

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prediction ya lineup & formation Vs Man utd next weekend.. 4-3-3

Caballero

James
Azpilicueta
Chris/Zouma/Tomori
Rudiger

Kovacic. Jorginho. Kante/ Loftus Cheek (kama atakuwa cleared fit maana amecheza game ya reserves juzi.)

Pullisic. Tammy. Willian

Kwa 3-4-3

Caballero

Azpilicueta. Rudiger. Tomori/Zouma

Kovacic. Jorginho. Kante. Alonso

Willian. Tammy. Pulisic.

Kwa njia yeyote lampard atakuwa expected to lineup his strongest midfield options maana Man utd expect Labile Pogba to be fit kwa hiyo game joining kina fred, matic na Bruno.

Toa Caballero weka Keppa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewapata wakuu so Joginho ni HOLDING MIDLFELDER AU DEFENSIVE MIDFLIFER?

Sent using Cash Money Wings
Jogi na Kante ni pure defensive midfielders ila ni kama hawana Chemistry inayoendana
Ukiwaanzisha Jog, Kova na Kante timu inakose creativity kabisa. So lazima Mount awepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa midfielder watatu Kante anacheza advance role, Formation ya Conte ya 3-4-3 ilikuwa na midfilders wawili na wote walikuwa na defensive roles Kante akiwemo
Mara nyingi Lampard anachezesha 4-3-3 ambapo mwenye defensive role ni Jogi peke yake, hao wa pembeni wanakuwa na attacking roles. Mimi nachoona Kante hakupata chemistry nzuri kwa sababu hata wakati Lampard kutumia midfielders wawili Yaani 3-4-3 au 4-2-3-1 Kante hachezi vizuri kama wakati wa Conte. Hivyo basi Lampard anakazi pia ya kutengeneza hiyo Chemistry kuanzia kwa mabeki, katikati na mbele. Mfano anapocheza mbele Willian na Odoi wanaelewana vizuri Au Willian na Pulisic. Mount namuona kama hana Chemistry nzuri kule mbele halafu Mount sio mzuri kwenye midfield labda akicheza kama winga japo kwa sasa ningependekeza winga wawe akina Willian na Odoi au Pulisic
Japo Pulisic na Mount wote goi goi ila Pulisic siku akijituma anaweza kukaa na mpira na kufunga au kuasist
 
Prediction ya lineup & formation Vs Man utd next weekend.. 4-3-3

Caballero

James
Azpilicueta
Chris/Zouma/Tomori
Rudiger

Kovacic. Jorginho. Kante/ Loftus Cheek (kama atakuwa cleared fit maana amecheza game ya reserves juzi.)

Pullisic. Tammy. Willian

Kwa 3-4-3

Caballero

Azpilicueta. Rudiger. Tomori/Zouma

Kovacic. Jorginho. Kante. Alonso

Willian. Tammy. Pulisic.

Kwa njia yeyote lampard atakuwa expected to lineup his strongest midfield options maana Man utd expect Labile Pogba to be fit kwa hiyo game joining kina fred, matic na Bruno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kova tangu lini akacheza kama wing-back. Formation ya 3-4-3 ni ya wing-backs hapo pembeni katikati lazima Alonso na Reece wacheze kama wing-backs. Nyuma ni CB watatu tu ambao ni Rudiger, Christensen na Tomori au Zouma. Kwenye hiyo formation huwa hakuna LB wala RB na pia midfielders wanakuwa ni wawili tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom